Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini.
Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa...
Kwa mwenye ufahamu kinachoendelea Zanzibar baada ya kuundwa kwa Shirika la Mawasiliano Zanzibar ni nini?
Mimi nijuavyo mambo ya mawasiliano ikiwemo Posta na Simu ni mambo ya Muungano.
Hata...
Kwa jicho la kawaida , bila matumizi ya akili nyingi, ni wazi kabisa itakuwa heri endapo Lisu ataibuka mshindi dhidi ya Mbowe katika kuwania kiti cha uenyekiti CHADEMA TAIFA. Ni kwa nini?
Mosi...
Nilimtembelea rafiki yangu mmoja ambaye ni mhadhiri pale Udsm na katikati ya maongezi likaja suala la uwezekano wa mtu kupata PhD bila kupitia taratibu sahihi.
Hapo akasema kuna uchunguzi...
Ndio hivyo taarifa ya Kambi ya Freeman Mbowe chini ya Mratibu Mkuu ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria Mh Ntobi
Uchafuzi ungefanyika leo, Mbowe angeshinda kwa 94%
Ukurasani X...
Ukiwa Arusha mjini, mitaa ya Unga Limited, sasahivi yamebakia kuwa magodown, ila wazazi wetu wanatuambia miaka ya 70 na 80 kulikuwa na utitiri wa viwanda vingi sana. Na hiyo ni Arusha; ukienda na...
Baada ya kusota rumande kwa zaidi ya miaka minne kabla hajaachiwa hivi karibuni, hatimaye mfanyabiashara maarufu nchini, James Rugemalira ameanza harakati za kuzishtaki kampuni na taasisi za fedha...
Ndugu wanajukwaa, kwanza pongezi juu yenu wote kwa kukaribia kuuaga mwaka 2014.
Ndugu zangu nchi hii toka miaka ya 2000+ imepita katika kizazi cha Ulafi kisicho na huruma hata kidogo...
Wadau, katika kile kinachoonekana kuwa huenda Bunge likaingia tena kwenye mgogoro na Mahakama juu ya sakata la ESCROW, Leo Mwanasheria wa IPTL na PAP, Joseph Makandege amesema kuwa wamepeleka...
Mtuhumiwa wa uhujumu uchumi mzee Rugemalira amesema yeye hajalipwa fedha yoyote kutoka account ya Escrow bali alilipwa na PAP.
Rugemalira amesema amemuandikia barua Gavana wa benki kuu Prof...
Kwema Wakuu!
Kadiri siku ziendavyo mioyo ya watu waliobakia kwa Mbowe inazidi Kufa na wanaamua kujisalimisha kwa kuamua kumpumzisha Mwenyekiti ili kukinusuru chama.
Kila siku lazima atoke...
Baada ya bunge kwenye kikao cha asubuhi kusema swala la Escrow limeingizwa kwenye ratiba na ripoti itawasilishwa kuanzia jioni ya leo. Tujumuike kwa pamoja kuhabarishana yanayojiri jioni hii...
Wakati Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wakichachamaa wakisema hawatakubali Bunge hilo kuingiliwa na mhimili wa Mahakama, Mahakama hiyo imejiweka kando na tuhuma hizo.
Sakata hilo...
Wanabodi,
Preamble
Mtu mwenye akili na mwenye busara, anapojikwaa na kuanguka, anaangalia mahali alipojikwaa, ili kuipata sababu iliyomfanya ajikwae na kuanguka, badala ya kuangalia alipoangukia...
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake IPTL -Independent Power Tanzania Limited.
Hukumu hiyo imetolewa na mahakama ya inayoshughulika na migogoro ya uwezekaji, ICSID...
Tumesikia toka kwa wanachama wa CHADEMA kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo.
Tunauliza, Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, hawa viongozi wa serikali walioruhusu mabilioni ya Tegeta Escrow Account kutolewa Bank Kuu (BOT) kwanini hawajaunganishwa kwenye kesi ya jinai ya...
Huyu alikuwa Mwanasheria Mkuu awamu ya nne. Anasema nchi imepitia magumu sana awamu ya Magufuli.
Kwamba Rais alitumia vibaya madaraka makubwa aliyopewa kwenye katiba iliyopo.
Utangulizi:
Katika jamii zetu za Kiafrika, dhana za usultani, umangi, na uchifu zimekuwa na mchango mkubwa katika utawala na usimamizi wa mambo ya kijamii. Hata hivyo, wakati mwingine, mifumo hii...
===
Billionaire wa Kihindi na tajiri namba mbili barani Asia Mr Gautam Adani anayetajwa pia kuwa ni miongoni mwamatajiri kumi ( 10 ) duniani anakabiliwa na tuhuma za kuahidi kutoa rushwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.