Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Siyo Sahihi kumwambia Tundu Lisu eti ahame Chadema kwa Sababu hakuiasisi Prof Lipumba hakuiasisi CUF alihamia tu lakini Leo ndiye nguzo ya Chama Vivyo hivyo Kwa Sasa Tundu Antipas Lisu ndiye...
1 Reactions
1 Replies
124 Views
Happy new year . Leo napenda kutoa ushauri mdogo Kwa vyama vya siasa hasa Chadema ambao wamekuwa wakipambana na kujaribu kuingia madarakani. Katika siasa kinachohitajika zaidi sio Good plan...
5 Reactions
12 Replies
250 Views
Mi nina wito sana wa kuwa nun ila baba yangu mzazi ni padre na hataki ajurikane kama yeye ndo baba yangu. Sasa nikituma maombi si lazima details zangu zote wazijue? Na je itakuwaje
1 Reactions
4 Replies
141 Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kigoma. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu katika Mkoa wa Katavi ni 1,152,958; wanaume 569,902 na wanawake 583,056. Mkoa wa Katavi una Halmashauri tano (5) na...
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Inasikitisha sana Mtu kusema Kupewa Ruzuku ni Matunda ya Maridhiano yaani tumeiweka mbele Fedha kuliko UTU Analia Dr Lwaitama Ukurasani X Heri Mtu aliye Huru kuliko aliyepewa Jengo Happy New...
0 Reactions
3 Replies
193 Views
Mojawapo ya jukumu la Mkuu wa Mkoa ni kuhakikisha Amani na utulivu unatamalaki. Mkoa wa Arusha uliwahi kusifika kwa uhalifu na hususani uhalifu nyakati za sikukuu na nyakati za usiku. Kwa mara ya...
3 Reactions
11 Replies
340 Views
Naona Wenje kaamua kumkalia kooni Tundu Lissu anafumua kila kilichojificha! Je anayoyasema yanaukweli kiasi gani ? au ndiyo kampeni za kuchafuana. Ila aweke akiba ya maneno maana sisi ni People...
7 Reactions
59 Replies
2K Views
Kama kuna kiongozi aliekuwa anawakemea watawala wanapoboronga tens hadharani, basi Nyerere alikuwa kiboko. Kama kuna kiongozi aliekuwa anakemea rushwa ndani ya chama chake(CCM) tena hadharani...
1 Reactions
2 Replies
137 Views
jamani nafsi na roho yangu vinanishudia kuwa Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa chadema, nimeumia sana baada ya kuona hili jambo linaenda kutendeka, ukisoma vzr sana walaka wa marehemu "chacha...
4 Reactions
22 Replies
736 Views
Jinai ni jinai tu, hata kama jinai hiyo inatendwa ili kumsaidia mjane wa kigogo. Kwenye clip hii (kuanzia dakika ya 1 na sekunde 3), Jerry Slaa anakiri kushirikiana na Msama kufanikisha mpango wa...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Umri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani. CCM kimekamata % kubwa ya Watanzania. Hata kura zihesabiwe kwa haki...
3 Reactions
25 Replies
438 Views
Ni mauaji ya yule kijana wa CCM kule Njombe. Wagombea udiwani wawili na Katibu mwenezi wa kata wote wa CHADEMA na dalali wa mbao wamekamatwa kwa kuhusishwa na mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu...
2 Reactions
116 Replies
14K Views
Magufuli alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuweza kuua upinzani lakini akatumia nguvu ndio maana yake akashindwa. Samia kaingia kwenye mfumo katika kipindi ambacho upinzani/wapinzani wameshakuwa...
0 Reactions
4 Replies
168 Views
Anonymous (fb8b)
Mimi ni Mwl. Kutoka Manspaa ya Moshi ambaye ni muhanga wa matukio machafu yanaofanywa na Kiongozi wa idara ya Elimu Ndugu NICHOLAUS NGONYANI. Nimeandika ujumbe huu kwa uchungu na masikitiko...
36 Reactions
207 Replies
17K Views
Baada ya John Heche kuonyesha kumuunga mkono Lissu na Godbless Lema kuonyesha nia ya kugombea na kumuunga umakamu, huu ndio mtazamo wangu wa itavyokuwa CHADEMA chini ya Lissu iwapo Lissu...
8 Reactions
26 Replies
931 Views
Nipo hapa mlimani city Iko shida kwa wateja wengi tuliopata usumbufu. Wafanyakazi waache kutoa huduma kwa mazoea.
3 Reactions
5 Replies
302 Views
Wakuu, Rais Samia ametangaza kuchangia Milioni 20 Ujenzi wa kanisani la Feel Free Church la Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji. Soma pia: Rais Samia Achangia Milioni 100 katika Ujenzi wa Kanisa la...
3 Reactions
13 Replies
825 Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya...
0 Reactions
0 Replies
250 Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mwanza. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Back
Top Bottom