Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nilifanikiwa Kushiriki Kwenye Mapokezi Ya Ndege Mpya (Boeing 737 - Max 9) Ya Shirika La Air Tanzania (Air Tanzania Company Limited) Ambapo Mgeni Rasmi Katika Mapokezi Hayo Alikuwa Waziri Mkuu...
5 Reactions
79 Replies
3K Views
Mada hii itakuwa na 'Updates' za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Lindi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite...
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Tunaelekea Mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani Kadri tunavyokaribia mwaka wa uchaguzi mkuu, tutashuhudia mengi kutoka kwa viongozi walioko madarakani na hata wale wanaotaka...
1 Reactions
1 Replies
157 Views
Hii ndio Taarifa yangu ya leo ninayoileta hapa JF, Naomba tuvumiliane, Hii ni kwa sababu kuwatakia heri Wanachadema peke yao haijawahi kuwa kosa kisheria. Haitawezekana Mimi nikiwa na akili...
10 Reactions
43 Replies
744 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Mh Tundu Lisu amesema ashukuriwe hayati Ali Hassan Mwinyi kwa kuweka Msingi wa kubadilishana madaraka kwa hiyari Bila kusubiri kufukuzwa Source Jambo TV Happy New Year 😄
0 Reactions
3 Replies
217 Views
Kwa haya yanayoendelea Chadema nimekumbuka Kauli ya hayati Mrema kwamba Watanzania wanaoamini Vyama vya upinzani Akili zao Hazina Akili Nazidi kuitafakari Kauli ya hayati Mrema kwa kuwaangalia...
1 Reactions
2 Replies
139 Views
1. Alimkaba Magufuli kuhusu makinikia tukadanganywa na hela ya Noah kwa kila mbongo 2. Alimkaba Kila mla Rushwa wa Escrow 3. Kawakaba wabunge wenzake 4. Sasa yuko na Abdul na wenje 5. Viti maalumu...
11 Reactions
48 Replies
1K Views
Wabunge wa Nzega ni Hussein Bashe na Dr Hamis Kigwangalla Namshauri Wenje aende Kwa Dr Kigwangalla akajifunze mipango ya siasa, Bashe yuko busy hawezi kumuona Nimemsikiliza vizuri Wenje na...
3 Reactions
16 Replies
458 Views
1. Ahadi ya Kwanza ilikuwa ni Ikifika July 2024, manunuzi ya luku yatakuwa automated yaani ukinunua umeme hutokuwa na haja ya kuingiza token……zitaingia directly to your meter device Hapa...
3 Reactions
9 Replies
323 Views
Ni Katika kuwekana Sawa tu Mahakama kama Muhimili mkuu wa kutoa HAKI nchini ndio umemwachia huru George Sanga Wengi wanafananishwa kuachiwa Kwa Mbowe Kwenye Kesi ya ugaidi na mahakama kuu...
9 Reactions
28 Replies
933 Views
Uwa siandiki Mara nyingi Kumbukeni wananchi Chama kilijengwa kwa jasho na damu za watu! Na tukapata legitimacy kukemea kila kitu, tukakatishwa tamaa 2015 baada ya ujio wa Lowassa kugombea...
20 Reactions
53 Replies
1K Views
Aliyekuwa Mbunge wa CHADEMA katika Bunge la 11 ( 2015-2020) Mhe Marwa Ryoba Chacha amesema Ezekiah Wenje ni kiongozi muongo muongo sana. Michango yao kama wabunge kwenda kwenye chama ilikatwa...
1 Reactions
9 Replies
413 Views
Huyu mtu bwana hana shukrani, Yeye mwenyewe kwa kinywa chake aliwahi kukiri kuwa yeye na Magufuli waliwahi kuwa marafiki wazuri tu siku za huko nyuma na kuna majina yao ya utani nimeyasahau...
1 Reactions
21 Replies
724 Views
Nakushauri tu tuambie waliomchangia Mbowe hizo 250m alizotoa badala ya 50m alizopangiwa na Kamati Kuu.
1 Reactions
3 Replies
258 Views
Dkt. Slaa ni mwana CCM, aliwasambaratisha chadema kwa kuwakimbia wakati UKAWA wakikaribia sana kuikamata nchi. Slaa akapelekwa hotelini Rwanda akapewa mabinti wa kihima, baadae ubalozi. Leo Dk...
5 Reactions
38 Replies
1K Views
Sheria ya vyama vya siasa inataka vyama kupeleka taarifa zao za kifedha kwa msajili kila mwaka; kwakuwa vyama hivi vina maslahi kwa nchi, ningependekeza ofisi ya msajili kuzitoa taarifa hizo kwa...
6 Reactions
42 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Najikita moja kwa moja kwenye mada husika. Naiomba serikali iboreshe mfumo wa ukataji tiketi kwenye tren yetu ya mwendokasi SGR. Nalisema...
1 Reactions
6 Replies
332 Views
Mkoa wa Dodoma unapatikana katikati ya Tanzania, unapakana na mikoa ya Manyara, Morogoro, Iringa na Singida. Mkoa wa Dodoma una ukubwa wa takriban kilomita za mraba 41,310. Dodoma ni mji mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
326 Views
Makamu Mwenyekiti wa chadema Mh Tundu Lisu anesema ni vigumu sana kuwaelezea mafanikio ya maridhiano ndugu wa Mzee Kibao, baba yake Chaula au Bibi yake Deus Soka Lisu amehoji au Kuna namna Watu...
8 Reactions
45 Replies
1K Views
Wazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda, mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao, kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa. Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote...
28 Reactions
167 Replies
9K Views
Back
Top Bottom