Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mheshimiwa popote ulipo,tambua tu hivi sasa wewe na timu yako kwa pamoja mnaandika kitabu huku wewe ukiwa ndio kiongozi wa jopo la waandishi,Mhariri Mkuu na Mmiliki pekee wa kitabu hicho ambacho...
21 Reactions
49 Replies
6K Views
Kama Nchi zilizoendelea watu wanagombea vyeo na madaraka ya Kisiasa ,Kuna ubaya gani hapa Tanznaia kina Mbowe,CCM na wengineo wakihombea madaraka na kukataa kuondoka madarakani? Sio tuu huko...
0 Reactions
17 Replies
454 Views
Hizi ndiyo habari za kufungia na kufungulia mwaka: La kuvunda halina ubani. Wakimeza, wakitema ni shauri yao!
5 Reactions
42 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi pikipiki na viti mwendo (wheelchairs) 100 kwa watu wenye uhitaji...
0 Reactions
3 Replies
236 Views
Kama siyo Mchungaji Msigwa kuhamia CCM Watanzania wangependelea Kudanganywa kuwa Chadema ni Chama halisi cha upinzani wakipigie KURA October Ahsante Mchungaji Msigwa tunaomba utueleze na Habari...
0 Reactions
1 Replies
101 Views
Heri ya mwaka mpya wanajukwaa, tukielekea uchaguzi mkuu wa chadema ngazi ya taifa nimekua najiuliza sana kwanini Tundu Lissu hajasimamisha mgombea wa makamu mwenyekiti?. Ipo wazi wenje ni...
8 Reactions
46 Replies
1K Views
Wanabodi Tangu kukamatwa kwa Mwandishi wa habari za kiuchunguzi Eric Kabendera, na kukamatwa kule kukahushishwa na makala zake, na kwa vile ni mimi niliyekuwa natafsiri makala za majarida ya nje...
71 Reactions
374 Replies
32K Views
Wakuu, Eric Shigongo - MBUNGE WA BUCHOSA Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kura: 20,581 Mpinzani: Mwambino Julius Isack (CHADEMA) – 11,285 Elimu: Shahada ya Uhusiano wa Umma (Public Relations)...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa niliyosikia akisema Erick Kabendera, halafu unasikia mtu anabeza maridhiano na kuyaita upuuzi. Taifa lote tusimame na kumpuuza kwa nguvu zote. Kama nchi, tumepiga hatua kubwa kutoka katika...
0 Reactions
5 Replies
193 Views
1. Nitashangaa ikiwa CHADEMA itashiriki Kwenye uchaguzi Mkuu 2025 kwa tume Ile Ile wanayoipinga. 2. Mkishinda (kiti kimoja cha ubunge wa Jimbo) mnaanza drama tena. Miaka mitano inapita kwa...
4 Reactions
18 Replies
615 Views
Nimemsikia mjumbe wa kamatikuu Ya Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) Na mwenyekiti wa kanda ya Victoria, Mh Ezekiel Wenje akiwa Wasafi kwenye kile kipindi kinacho muogopa Tundu Lisu...
6 Reactions
54 Replies
2K Views
Mwana mama jasiri asiyeogopa, Pamela Massay leo akichukua fomu ya kugombea nafasi ya katibu mkuu Bawacha taifa. Amekemea rushwa adharani na ameapa kukomesha rushwa inayofukuta Bawacha. Watu...
2 Reactions
8 Replies
476 Views
Kutokana na maelezo kupitia chanzo kimoja wapo cha habari. Kuna maelezo ameyatoa wenje nimehisi tofauti na mtazamo wa wengi ama laa mtoto wa Rais uwenda akawa na mamlaka makubwa kuliko ama sawa na...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
MAONI YANGU Tuna uzoefu mkubwa wa watu kuitikia michango inayoitishwa na Chadema katika kushghulikia wanachama/wapenzi wanaopata madhira kwa sababu ya kuwa upinzani. Tumeona ushirikiano mkubwa...
0 Reactions
4 Replies
279 Views
Huu ndio ushauri wangu kwani naamini kupitia mahojiano ya aina hiyo, Kabendera ataweza kufunguka zaidi na maelezo yake yatasaidia watu kupata picha halisi juu ya tuhuma hizi. Sitegemei ataweka...
3 Reactions
22 Replies
753 Views
Napenda kutoa pongeze za dhati kabisa kwa niaba ya Watanzania wenzangu wapenda unadhifu kwa kambi ya jeshi ya makutopora-Dodoma kwa jinsi mnavyoipendesha barabara kuu ya Dodoma Arusha kipande cha...
1 Reactions
3 Replies
259 Views
Kawe pamoja na kuwa ni Makazi ya viongozi wa Serikali lakini Wananchi wa kawaida walipendelea zaidi mabadiliko Ila sasa Upinzani umekufa Kabisa Kabisa Happy New Year 😄
2 Reactions
37 Replies
686 Views
Spencer Lameck kuwa makini kuanzia sasa na nyendo zako,kuna watu "wanakuwinda".Sina namna ya kukupata ili nikupe ujumbe huu,lakini napitia JF kukupa "tetesi" kuwa uwe makini,kuna watu...
72 Reactions
136 Replies
17K Views
CCM , CHADEMA,NCCR MAGEUZI na vyama vingine vyote vinaundwa na watanzania ingawa hawa watanzania wanakuwa na mitazamo tofauti kulingana na sera za vyama vyao . Kipindi nakua nlikuwa naichukia...
1 Reactions
1 Replies
124 Views
Back
Top Bottom