Mfanyabiashara wa jijini Dar, Raphael O. Ongangi anadaiwa kutekwa siku ya Jumatatu tarehe 24 Juni, 2019 na watu wenye silaha akiwa anaelekea nyumbani kwake maeneo ya Masaki.
Raphael alikuwa...
Simple mathematics.
Mbona Seif Sharif Hamad hakuwa mwenyekiti baki katibu mkuuna alishine.
Wafuate mfano wa Putin na Medinefev wanaswutch tu vyeo vyao bila conflict
Mimi kwa mawazo yangu huyu wenje ni pandikizi la Mbowe tuombe mtu mwingine achukue fomu kama Heche kwa nafasi hiyo mbona kimya.
Nawatakia Krismas njema
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje...
Mara baada ya rais Magufuli kuwasili kuhani msiba wa general Mbowe huko Salasala alipotaka kutoka mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alimuomba amuombee kwa Mungu rais kwa kuongoza vizuri nchi...
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.
Vyama vya upinzani hasa CHADEMA kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati...
Leo habari ya mjini ni story za abunuasi zilizotungwa na psycho mmoja anaeijiita mwandishi wa habari za uchunguzi.
Tulimwambia Lissu hana watu wa kumuunga mkono awa oyaa oyaa wa mitandaoni wao ni...
Tarehe 4, july, 2024 nikiwa kwenye treni ya umeme (SGR)ya Dar - Morogoro ambapo abiria wanatumia saa moja na dakika 49 tu kufika, hivyo kuokoa muda mwingi wa uzalishaji uliokuwa unapotea...
Leo nimeukmbuka wimbo wa Super Rainbow ulioimbwa na Eddy Sheggs ¶akafatia na kuweka chumvi kwenye chai,tulikuwa na wageni wakatoka bila kuaga,akafatia na kuweka sukari kwenye mboga tukaona...
Kama unabisha muulize Mrangi Ova wa hapo Chadema Makao Makuu
Wavuta Bangi ndio Waliitwa " Mwamba" au " Mtemi"
Wavuta Bangi hawakupenda Uonezi Kabisa na Walipendwa sana nyakati hizo
Kama ni...
Baada ya JPM kuingia madarakani kama tunavyokumbuka alichelewa kuunda serikali yake,
Kwa majuma kadhaa wlifanya kazi yeye na PM Kassim Majaliwa na Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue...
MAMBOSASA AMEIBUA MASWALI MAGUMU 12 KUHUSU KIFO CHA LWAJABE
Juzi niliandika kuwa Leopold Lwajabe, aliyekuwa Mkurugenzi wa miiradi ya Umoja wa Ulaya nchini (EU) katika Wizara ya Fedha na Mipango...
Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si...
Hata hivyo, sura zaidi ya sekeseke hili zinatarajiwa kujitokeza ikiwa ni pamoja na sura ya kizalendo na ile ya ukibaraka, nazo zitachukua mkondo wake kwa wakati muafaka.
Mpaka sasa,
tayari kuna...
Ezekiah Wenje ambae anagombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa Chadema taifa na ambae ni mfuasi wa Mbowe anasema "ndani ya Chadema huwa tunasema kama huna cheo basi utakuwa mkunja ngumi tu"
Kwenu...
Tumesikia operation( Operesheni) nyingi lakini hii ilikuwa kiboko.
Sikuwahi kusikia hii Operation, nyinyi wenzangu mliisikia? Au ni uongo wa hawa waandishi wa kuokoteza habari vichochoroni?
Sawa...
Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao.
Pia soma: Makonda kutoa mafuta lita 20,000 kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama
Hayo yalisemwa na Mkuu wa mkoa wa...
Ni dhahiri Sasa Kuna Chadema mbili ile ya Matajiri inayafadhiliwa kwa c/I ya Wenje na hii Asilia ya Wakunja Ngumi ambayo Mzee Nyanga Bob Makani aliwaachia Bure Nyumba yake iwe ndio Makao makuu...
The – book – I – Read, 2024
Ni wakati mwingine tena wa mwisho wa mwaka, tunapoelekea kuhitimisha mwaka 2024, na kuimba ule wimbo maarufu wa “Auld Lang Syne, tukimaanisha ‘For the Sake of Old...
Miezi kadhaa imepita sasa Tunapenda kuhoji kama mradi wa SGR kipande cha Mwanza kimesimama au mradi unaendelea Maana siku zimepita bila kushuhudia wakandarsi wakifanya kazi katika mradi huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.