Watuhumiwa watano akiwamo katibu wa Mbunge wa jimbo la Kilolo Kefa Walles, Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi kupitia CCM wilaya ya Kilolo Hedikosi Kimwaga, Diwani kata ya Nyanzwa Boniface Ugwale...
Sio kwamba navidharau hivi vyama vingine ila wasipojitathimini, wakaamua kujiunga na moja wapo wa hivyo vyama viwili vikubwa.
Tanzania kwa sasa, wataishia kuzunguka hapo hapo mambo yajayo...
'Je ni kwa nini mpaka sasa zaidi ya miaka 20 ya Vyama vingi.
Chama kikuu ya Upinzani CHADEMA Hakijakubalika Upanda wa Tanzania Visiwani-Zanzibar....?
Hata huku bara kwenyewe kimekubalika kwenye...
Kwanini Kinana alirudisha majeshi CCM, kujiuzulu?
Na Luqman Maloto
Julai 29, 2024, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la Abdulrahman Kinana...
Naomba nianze kwa kushukuru Mungu kwa kuzaliwa kwa mkurugenzi wa Jamii forum hakika kwa life span yangu Sasa ni miaka zaidi ya 39 ya kuzaliwa Nina karibia robo ya maisha yangu nimekuwa member wa...
Baada ya kuwasikiliza wakazi na viongozi hawa wa tarafa ya Ngorongoro, nimegundua yafuatayo:
1. Kuna agenda mbaya ya siri dhidi ya Wamasai hawa wa Ngorongoro inayofanywa na serikali ya CCM chini...
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa , Pimeni wenyewe.
Flyings Medical Service wanafanya shughuli za utabibu kwa njia ya anga maeneo ya mkoa wa Arusha na Manyara tangu nwaka 1983. Mamlaka ya Usafiri...
Najua Chini ya uongozi dharimu wa CCM Raisi analindwa akiwa hai hadi kaburni. Sasa huu utaratibu wa kumsimanga hyati umeamzia wapi. Je, CCM inapata faída gani na haya yanayoandikwa au tuamini...
Ni ngumu sana kumtetea Magufuli kwa mdomo mtupu.
Mambo yaliyoendelea katika utawala wake dhidi ya haki ya kutoa maoni, dhidi ya haki ya kuishi na kufikia hatua ya kudhuru wengine, ni dhahiri...
Ndugu na mwanangu Lucas Mwashambwa na Makamanda wengine wa Chadema Mwenyekiti wa chadema Mh Freeman Mbowe anaposema Yeye ni Safu ya Mwisho ya Ulinzi anamaanisha nini?
Na kama habishani Majukwaani...
Mwaka 2015 nature au universe ilizungumza na watu na watu wakazungumza na nature .
Nature ilihitaji mabadiliko kupitia Kwa viongozi waadilifu na ambao wapo tayari kuongoza nchi.
Walichokosea...
Tutapuuzwa kwa upuuzi wetu kitaifa
Na Ben Saanane
16 Dec 2015
WIKI iliyopita niliandika makala yenye kichwa cha habari "Rais Magufuli na Slack Management Style; Ni utekelezaji mbaya wa...
Mjumbe wa tume ya Katiba Dr. SENGONDO MVUNGI, amevamiwa usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Na amejeruhiwa kwa kukatwa katwa na mapanga amelazwa MOI kwa sasa.
=========================
Picha...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huwa naweletea makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni kuhusu dhana ya kitu kinachoitwa "Life after Life", ambapo najikita...
Wanabodi,
Huu ni wito tuu kwa wana jf kuhusu ukosoaji wa Rais wa nchi, Mhe. Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ufanyike kwa staha kwa kutanguliza mbele uzalendo, na maslahi ya taifa mbele, ukiwemo...
Kwa ushahidi wa mahojiano ya viongozi waandamizi wa Chadema Taifa hususani Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti Taifa, ni wazi hekima na busara inahitajika ili kuinusuru Chadema kwenye kupasuka na...
Anthony Diallo, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza katika mahojiano yake na Aloyce Nyanda wa Star TV amefunguka haya kuhusu awamu iliyopita na mabadiliko ya utawala yaliyotokea
1. Furaha imeanza...
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.
Ikitokea Ben au...
Mwembechai killing kilipigwa marufuku kuingia nchini wakati wa Rais Mkapa. Kitabu kilochoandikwa na Professor Njozi, aliekuwa mhadhiri muandamizi Udsm. Kitabu chenyewe ni
.....
Mwembechai Killings...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.