Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu. Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Nimemsikia Waziri wa Ujenzi, Abdalla Ulega akigombana na Makandarasi wa kichina wanaotekeleza miradi kadhaa ya DART(Dar es salaam Rapid Bus Trasnport), inayohusu ujenzi wa barabara za mwendo kasi...
9 Reactions
38 Replies
1K Views
Kwanza Kabisa nampogneza Ndugu Pascal Mayalla kwa kuifanya Kazi yake ya uandishi wa habari Kwa muda mrefu . Kwa ambao tunamfahamu Pascall Mayalla wa miaka 20 nyuma ni tofauti na huyu wa sasa ...
54 Reactions
76 Replies
3K Views
“Mheshimiwa Rais, huu ndio Mkoa [Arusha] ambao kaka yangu Dkt. Nchimbi atakuja kukuletea idadi ya kura nyingi zilizopatikana kwenye uchaguzi. Haya nayasema kwa sauti ya unyenyekevu kwa sababu...
1 Reactions
5 Replies
229 Views
Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho, Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula ametoa wito kwa wale wanaomshikilia baada ya kumteka kijana Method Damian Kumdyanko na kuacha kuitisha familia na...
3 Reactions
13 Replies
655 Views
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, sisi kama wananchi tunayo mengi ya kujifunza. Tunayo haja ya kuchuja sera zao kwa upana kwa maana wao hawa wanasiasa ndio huamua bei za vitu...
2 Reactions
95 Replies
1K Views
Nimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul. Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe...
19 Reactions
71 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wazazi na walezi kuhakikisha wanalea kizazi chenye maadili mema, heshima, na uwezo wa kujenga hoja, ili kuimarisha...
1 Reactions
10 Replies
363 Views
MIAKA 5 IMEPITA LAKINI Dr. BASHIRU BADO HANA MPINZANI! Miaka 5 iliyopita, siku kama ya leo, Dr. Bashiru Ally, akiwa Katibu Mkuu wa CCM, alisema maneno mazito. Kwa maoni yangu, hayajajibiwa mpaka...
17 Reactions
71 Replies
3K Views
Wajumbe wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mara (RCC) wamepitisha Jimbo la Uchaguzi la Serengeti kugawanywa na kupata majimbo mawili ya uchaguzi ambapo majina ya majimbo yanayopendekezwa ni...
1 Reactions
13 Replies
587 Views
Kuna watu ambao kwa bahati mbaya wengine ni wanachama waandamizi wa CHADEMA, wanabeza msimamo wa Lissu wa kusimamia maamuzi ya vikao vya chama kuwa "No reforms No election" kuwa ni jambo...
7 Reactions
17 Replies
846 Views
The best ever one man army John Joseph Pombe Magufuli ulale kwa amani, uliona mbali kwa kutokucheka na kima hilo lilisababisha kupewa majina mabaya ya kuudhi ila leo kazi tunaiona hata kabla ya...
47 Reactions
114 Replies
6K Views
Mbunge Kanyasu Akabidhi Kompyuta zenye thamani ya Tsh Mil 9. Geita - Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Constantine Kanyasu, ametekeleza ahadi yake kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Ihanamilo kwa...
0 Reactions
3 Replies
163 Views
Kuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa rehema zake na Upendo usio kifani. Ameruhusu lililotokea litokee. Inafurahisha pia kuona jitihada za kunusuru maisha ya majeruhi watatu (sijui ni...
4 Reactions
72 Replies
6K Views
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema alishiriki wazi kumpinga Freeman Mbowe wakati akiwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, akisisitiza...
2 Reactions
11 Replies
536 Views
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesisitiza kuwa mwaka 2025 ni mwaka wa mageuzi na wanawake hawatarudi nyuma katika mapambano ya kudai haki zao. Akizungumza katika Kongamano la...
0 Reactions
3 Replies
113 Views
Leo ni siku ya wanawake duniani, chadema wamefanyia katika ukumbi uliojaa fahari kuu na anasa-Mlimani City. Kuna Msimbazi Centre ya mwanachadema Padri Kitima na nyingine nyingi, kwa nini chama...
3 Reactions
16 Replies
413 Views
https://youtu.be/y8KzIdDQTRY?si=h48lxjkU07dTz-9S Kule Samia na taarabu, huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya Watanzania..
4 Reactions
9 Replies
421 Views
Mwanasiasa msanii sana huyu, wakati wa bunge la katiba alimkashifu sana Baba wa Taifa, aliwaudhi watu wengi sana kwa kauli zake dhidi ya Mwalimu Nyerere. Alivyo mnafiki ameonekana kule uganda...
8 Reactions
49 Replies
1K Views
Back
Top Bottom