1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana?
2. Ambush ya mwezi mmoja (kuwakamata, kuwaonyesha hadharani na kuwapeleka mahakamani)...
Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025 Arusha
https://www.youtube.com/live/1noAQDGD9e8?si=MT9ZfW_E_QbmTDZl
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda akitoa...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameshiriki kikao muhimu cha wadau wa biashara ya nafaka pamoja na AMCOS kilichofanyika tarehe 27 Januari 2025 katika...
Wakuu
Unaambiwa joto la ubunge Kinondoni linazidi kupanda! Wengi wanapanga kurusha karata zao, lakini kwenye mchuano wa wakali, majina yanayotajwa kwa nguvu ni pamoja na mbunge wa zamani Idd...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akifanya utambulisho wa wabunge wa mkoa huo amemuuliza, Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo huku akisisitiza huenda amekaa jukwaa la wananchi wa kawaida...
Wakuu,
Huyu Katibu Mwenezi wa BAWACHA bila shaka alikuwa ni Team Mbowe,
Yaani kweye speech nzima kamtaja Mbowe tu, Lissu kamtaja mara moja tu tena huko mwishoni.
Lissu na kamati kuu CHADEMA...
Nilitaraji basi kuwe na Mabango ya wanawake wengi walio wahi kutoa mchango wao kwenye hili Taifa. Ila inaonekana mwanamke ni mmoja tu ni Mama, Wengine wote labda ni wanaume kwa mujibu wa chawa...
Wanabodi,
Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye sifa na uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu kisiasa kutokana...
Kama ni kweli makomandoo walizuia wazee walioambatana na mbuzi kuingia uwanjani....
Kama kweli polisi walishindwa kuwadhibiti makomandoo....
Kama kweli hakuna tukio lililoripotiwa polisi kuhusu...
Ni Muhimu sana kwa viongozi wa Nchi kuheshimu Sheria walizoziweka wenyewe kwa matakwa yao.
Hii ni kwa sababu hatukuwalazimisha kuziweka, na ili sheria hizo ziheshimiwe na Wananchi wote basi ni...
Wakuu,
Kama mnavyojua leo ni siku ya wanawake duniani na huko mitandaoni nimeona baadhi ya viongozi wa CCM wamevaa mavitenge yenye picha za Rais Samia.
Vitenge kama mnavyojua ni fabrics za...
Hawa watu nimeona wanasaga soli za viatu wakiwa na makada wa chama wa CCM wilaya na mkoa, hawana posho wala mishahara na ndio engine ya utekelezaji wa ilani yetu ya uchaguzi!!
Ni lini Serikali...
Ndio ndio,mtu hawezi Ua mlemavu wa ngozi Ili awe mwalimu,Daktari,polisi,profesa au kupata profession yoyote ile Bali Kwa Imani za kishirikina anaua ili apate kazi yenye pesa nyingi kama...
Wakuu,
Yaani mpaka Oktoba inafika tutaona zawadi na manjonjo mengi kutoka kwa hawa wanasiasa.
Hii ni rushwa au zawadi?
=====================================================
Meya Mstaafu wa...
Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana
====
Aliyoandika Kabendera
Wale mliouza mali zenu kupata pesa za kuhonga kusaidia plea bargain zenu zikubaliwe mjitokeze...
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema BAWACHA, Sharifa Suleiman, amesema kuwa tarehe 8 Machi baraza hilo linatarajia kudhimisha siku ya wanawake Dar es Salaam.
Hayo ameyasema leo tarehe 23...
Baraza la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo BAWACHA limewataka wanawake kujitokeza kwa wingi kushiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 8, 2025, katika...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mwanza umeunga mkono Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) na kuitaka serikali kutoa ajira.
Soma Pia: Walimu wasio na Ajira (NETO)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.