Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya Masache Kasaka ameshiriki katika maadhimisho ya siku ya Mwanamke duniani ambapo kiwilaya ya Chunya yamefanyika ukumbi wa Halmashauri Sapanjo...
Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Pwani Comrade Iddi Ntonga amefanya ziara yake ya kazi wilayani bagamoyo ambapo ametembelea vikundi ambavyo vimenufaika na mkopo wa asilimia 10 ya...
Nimeangalia Clip Moja inayoonesha jinsi makomando wa Yanga walivyokuwa wanazuia timu ya Simba kuingia uwanja wa Mkapa kufanya mazoezi usiku wa Jana ikanifikirisha Sana.
Pale kwenye eneo la tukio...
Wakuu,
Nilikuwa napitia pitia CV za wabunge hapa wakuu.
Hawa ndio wabunge, ambao wana degrees na masters kutokea kwenye hicho chuo cha Open University:
Assenga Abubakar Damian – Mbunge wa...
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umewataka Wananchi wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma kuwaogopa Viongozi wanatokana na vyama vya upinzani akiwemo...
Makonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.
Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali...
Watu kama Tundu Lisu, wangekuwa nchi ambazo hazina uchawa angepewa phd ya heshima, huyu ni tunu ya Taifa, kichwani yupo vzr, lugha yupo vzr sana, speaking skills yupo vzr sana huyu ni hazina ya...
Kada wa CCM na mwanamuziki wa Kizazi kipya mh Harmonize amesema baada ya Rais Samia kwenda Korea na Wasanii wa maigizo ni Imani yake safari Ijayo atasafiri na Wanamuziki wa Kizazi kipya...
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly ameahidi kukabidhi mabeseni Mia Moja (100) kwa kila kituo cha Afya kilichopo katika Jimbo la Sumbawanga Mjini.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
Waziri wa Fedha, Mwigulu amejigamba Mbungeni kuwa "Anayeonge ndiye Waziri Fedha, mikirudi Majimboni waambieni Wajumbe wenu hakuna awamu tumetoa pesa kama awamu hii ya Sita
Kupata taarifa na...
Wanawake wa Jamii ya wahadzabe wanaoishi katika eneo la Eyasi wilayani Karatu Mkoani Arusha wamepaza sauti katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kwa kumuomba Rais Samia Suluhu awasaidie...
Ilikuwa mbwembwe za hali ya juu kwa rubani mkuu wa shirika la ndege ufipa alipoamua kujiokotea abiria na wengine hakuwajua tabia zao, Aliondoa ndege hiyo uwanja wa ufipa.
Ndege hiyo ya mabua wapo...
Mzee Lowassa ni vyema ukazunguuka nchi nzima makamanda wakushukuru kwa kuwasaidia kuwapa kumbukumbu ambayo haitoweza kutokea tena kwa wingi wa kura,hata wao wanakiri kuwa bila wewe maisha yao yote...
Nawaona CCM na vibaraka wao wanapiga kelele sana kudai No Reform No Election haitafanikiwa kwa sababu vyovyote vile hakuna Watanzania watakaoweza kuwaunga mkono CHADEMA.
Kelele hizi zinapigwa...
Sio Lissu wala nyalandu mwenye uwezo wa kusimama na magu na akashinda 2020 kwa hivi sasa bado sana baada ya Lowassa kwenda harijojo 2015 Chadema wanaonekana kuchanganyikiwa zaidi na hii hata...
Kila kiongozi,mwanachama,shabiki na hata wanaotaka kuingia chadema huja na kiki ya katiba,
akiulizwa swali vipi kuhusu kuitoa ccm madarakani jibu huwa rahisi tu aah tatizo ni katiba tu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.