Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mh. Dk. Hussein Mwinyi, amezihamasisha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa na Mifuko ya Maendeleo ya Petroli, (Petroleum Fund), ambayo...
Kamishina wa Jeshi la Polisi anayeshughulikia kamisheni ya operesheni na mafunzo CPA, Awadhi Juma amewaondoa hofu wananchi kuwa jeshi hilo litaendelea kuhakikisha usalama, amani na utulivu...
Kikao cha Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Meatu, Mkoani Simiyu kilichofanyika Machi 5, 2025, kiliibua hali ya sintofahamu baada ya kutokea mzozo mkali kati ya Katibu wa CCM...
Wakuu,
Akizungumza katika kumbukizi hiyo waziri wa fedha Dkt mwigulu nchemba amesema kwa sasa serikali imeanza kuchukua hatua ya kuondoa baadhi ya makato ya miamala unapolipia huduma kwa njia za...
Ukiwa na jamii ambayo inaweza ikala ng'ombe 400 kwa siku moja ni tafsiri ya utajiri.
Ng'ombe 400 ni tafsiri ya kukamilika kwa miradi ya maji, umeme, elimu na afya. Ni tafsiri kwamba Tanzania...
Mpendwa Mbunge wa Moshi Mjini,
Natumai uko salama na unaendelea vizuri.
Kama mwananchi wa Moshi, na mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM, Moshi Mjini, naandika barua hii kukujulisha kuhusu vipaumbele...
Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Musukuma, leo Machi 6, 2025, ameonesha magari 10 ya kubebea wagonjwa pamoja na moja kwa ajili ya Jeshi la Polisi, ambayo atawakabidhi wananchi wa jimbo lake ili...
Hii hoja isipuuzwe hata kidogo posho za madaraka wanazolipwa Hawa viongozi hazina maana yoyote ile. Mkuu wa shule na Mwalimu mkuu Huwa hawana vipindi vyovyote shuleni. Muda wote ni kutanga na njia...
Tundu Lissu amesema hayo baada ya kuwasili kwenye ofisi ya Makao Makuu ya CHADEMA tokea achaguliwe kuwa mwenyekiti wa Chama hicho.
Tundu Lissu amesema kuwa tuna uchaguzi Mkuu Oktoba, na tuna No...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha.
Kuna tetesi huenda Makamu wa Rais wa JMT ni Rais wa Zanzibar lakini wakubwa hawataki kutuambia ukweli. Hebu sikiliza mwenyewe hapo chini...
Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema wapenzi (couple) itakayopendeza kesho katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake itapewa zawadi maalumu.
Makonda ameyasema hayo leo Ijumaa Machi 7, 2025...
Jamani, kama kuna fedha kuibiwa, basi awamu ya sita inakabiliwa na wizi mkubwa kweli!
Uwanja huu, ambao umekarabatiwa kwa gharama ya shilingi bilioni 1.5, hauna thamani yoyote. Inashangaza jinsi...
Tangu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Jumla ya Madaraja makubwa kumi na tisa (19) yapo kwenye maandalizi ya kujengwa, madaraja hayo ni
Daraja la Godegode (Dodoma),
Daraja la...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Thabit Kombo (Mb.) ameagana na Rais wa Bunge la Cuba Mhe. Esteban Hernandez baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi nchini...
Kituo cha Ubia nchini kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPPC) kimeendesha Mafunzo maalumu kwa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( TAMISEMI )
Mafunzo...
Ukienda katika serikali zilizo serious na zinazotaka maendeleo ya kweli, Taasisi ya Rais zinakuwa makini sana katika kuteua watu makini, Wenye Ujuzi, Uzoefu na Weledi katika kada husika.
Ukienda...
Taifa letu la Tanzania limepiga hatua kubwa sana katika Demokrasia toka Rais Dkt Samia alivyoingia madarakani 2021 Ameimarisha demokrasia nchini.
Ameimarisha uhuru wa kujieleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.