Tazama clip hapo chini. Serikali inatakiwa ichukue hatua za haraka kwenye suala hili na kufanya uchunguzi wa kina kabisa ikiwemo na kuwahoji watoto wanaosoma hizi shule maana hivi tunavyoona...
"Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana...
Enyi Wapiga Kura wa CHADEMA tuleteeni TAL kwa kuwa ndio mtu SAHIHI wa kuleta MATOKEO CHANYA ya kutuokoa Watanzania zidi ya UDIKTETA.
Mkimrejesha mtatufanya wengi turejeshe nia ya kupiga kura...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, amewataka Wataalam wanaoshughulika na usimamizi wa miradi ya maendeleo hususan miundombinu ya barabara, kuhakikisha inakidhi vipaumbele vya Mkoa wa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amesema Maandalizi ya kumpokea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan yamekamilika na kueleza kuwa Rais Samia ni Mwanamke wa Mfano duniani hivyo wao kama Mkoa wanajivunia...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amepongeza juhudi za Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha haki inapatikana kwa wote kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia...
Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, hakuna mfano bora wa mwanamke shupavu, mwenye maono na anayevunja vikwazo kuliko Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu...
Akizungumza leo Machi 5, jijini Dar es Salaam katika Mkutano wa Tume na wadau wa Uchaguzi, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Bw. Kailima Ramadhani Tume Huru ya Taifa...
.
Ilikua ni asubuhi Jacob Mlay (pichani) alitoa nguo zake nje ili azifue ghafla akapokea sms kutoka kwa Deusdedith Soka, Soka akamwambia Mlay Kaka salama naomba unisindikize Polisi Chang'ombe...
Siasa achana nayo tu jamani.......siasa ni nyoko.
Kila nikiwasikiliza na kuwaona na kurejea taarifa ya 'kusanyaji' kadhaa huko nyuma, naona kabisa hapa hii miamba inatafuta au imelenga bilioni...
Umoja wa Wanawake UWT Wilayani Masasi Mkoani Mtwara wamefanya kongamano la kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Dr. Samia Suluhu Hassani kwa kuteuliwa na mkutano mkuu maalumu...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa March 06, 2025 amegawa mitungi ya gesi kwa zaidi ya wanawake 3000 ili kuunga mkono jitihada za Mheshimiwa Rais za matumizi...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma ndugu Oddo Mwisho amewataka viongozi wa chama hicho ngazi ya kata,tawi mpaka shina kuacha tabia za kuanzisha migogoro katika jamii ambayo...
WASIRA AZUNGUMZA NA SPIKA WA JAMHURI YA CUBA, OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA.*
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Ndg. Stephen Wassira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa...
Hamjamboni wote!
Unapokuwa Mwanasiasa watu ni sehemu ya mtaji katika Kazi yako hiyo. Watu kukukubali ni jambo kubwa na la muhimu kwenye siasa na utawala.
Pesa zinaweza zisiwe na umuhimu Sana...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kanda ya Kusini, yaliyofanyika Machi 6, 2025 katika viwanja vya Maegesho, Nachingwea mkoani...
Mkuu wa mkoa wa Pwani Alhaj Abubakari Kunenge amezitaka Wakala wa barabara Tanzania TANROADS na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini TARURA, kushughulikia barabara ambazo waliahidiwa Wananchi...
Kunenge alitoa agizo hilo katika mkutano wa Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Pwani uliofanyika Kibaha, ukiwahusisha wadau wa maendeleo na wataalamu wa sekta hiyo.
Alisisitiza umuhimu wa kuwa na mpango...
Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh.Kassim Majali ametoa shilingi 4,000,000 kwa wanafunzi wa shule ya Msingi Nachingwea Girls iliyopo wilayani Nachingwea.
Majaliwa ametoa fedha hizo...
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Lindi kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Maimuna Pathan, amegawa Mitungi ya Gesi kwa Wanawake wa Wilaya ya Liwale kwa kuunga mkono juhudi za Rais Dkt Samia Suluhu Hassan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.