Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Machi, 2025.
0 Reactions
15 Replies
493 Views
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuanzisha Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, akibainisha kuwa kampeni hiyo imekuwa msaada...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Utangulizi; Ninapenda kuwajulisha rasmi kwamba Davis Mosha, ambaye ni bilionea na mfanyabiashara maarufu, atagombea ubunge katika jimbo la Moshi Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
2 Reactions
46 Replies
2K Views
Wakuu, Mwaka 2022 Mahakama ilibatilisha kifungu cha 11 (1) (c) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi kinachoweka zuio kwa wafungwa wanaotumikia adhabu ya kunyongwa na wanaotumikia adhabu ya kifungo cha...
8 Reactions
35 Replies
639 Views
Tukiangalia majina karibia yote ya mikoa yana asili ya hapa kwetu iweje jiji kubwa nchini na Africa Mashariki tubaki kungangania jina la kikoloni lenye historia ya kitumwa ? Jina la jiji kubwa...
26 Reactions
248 Replies
5K Views
Kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, kimetoa rai kwa wanawake kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
103 Views
SIKU YA WANAWAKE YAWA AGENDA ILIYOPORWA NA MFUMO MPYA WA KITABAKA NDANI YA TABAKA Ni muhimu kurejesha mwelekeo wa siku hii ili uweze kutumikia lengo lake la awali la kutetea haki za wanawake...
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Wakuu Serikali imemaliza tatizo la maji katika Kijiji cha Buswelu, Kata ya Nyanzande, Jimbo la Buchosa, kwa kujenga kisima kirefu kinachotumia nishati ya jua kusambaza maji kwa wananchi. Ahadi...
5 Reactions
30 Replies
580 Views
Tunaendelea na mada zetu za mwezi huu ambao ni mwezi wa Mungu . Kwenye uongozi wa awamu ya 5, haki za kikatiba, ikiwemo haki ya faragha ilipuuzwa , viongozi wote wa sasa na wastaafu , wakiwemo...
8 Reactions
89 Replies
4K Views
Mheshimiwa Waziri, Napenda kukuandikia tena kuhusu changamoto za utendaji wa kazi katika Makao Makuu ya NHIF, Dodoma. Bado Ombwe la Kanuni Zinazotabirika Linasumbua Makao Makuu ya NHIF. Hivyo...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
Bado tungali tunaendelea na nyuzi za mwezi wa Mungu . Dkt Bashiru Ally Kakurwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa ccm na wateule waliojiona wako karibu na Mamlaka ya Uteuzi , walijipa utukufu ambao hakuna...
9 Reactions
57 Replies
2K Views
  • Redirect
3 Reactions
Replies
Views
Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha...
14 Reactions
186 Replies
5K Views
Katika mwendelezo wa nyuzi zetu kwenye mwezi huu wa 3 , ambao unaitwa Mwezi wa Mungu , Hatimaye tumemfikia Ndugu Humphrey Polepole , Mjumbe wa kamati ya kuratibu Maoni ya Wananchi ya Mchakato wa...
16 Reactions
63 Replies
2K Views
Ramadhan Kareem, Kwaresma Njema. Jana Chuo Kikuu cha Makerere Nchini Uganda kimeturudisha nyuma kidogo enzi za siaaa za Hoja na Zenye Tija. Kimeturudisha kwenye zile siasa za Critical Thinking...
13 Reactions
55 Replies
1K Views
  • Redirect
https://youtu.be/_sgUopSlStY?si=cYoU6pBTlApxiQZX
9 Reactions
Replies
Views
Ndugu zangu niwashikishe kinachoendelea kwa sasa Nchini Uganda. Hon Tundu Lissu kwa sasa yuko Nchini Uganda akihutumia watu wa Nchi Mbali mbali ktk Chuo Kikuu Kikubwa Afrika Mashariki cha...
22 Reactions
94 Replies
4K Views
Leo tumeona kulifanyika kikao cha baraza la mawaziri. Kikao hiki mara nyingi kimekuwa reflection ya future strategies za chama na serikali. Tumemsikia SSH alimsamehe Makamba huko Bumbuli...
2 Reactions
16 Replies
512 Views
Hivi haiwezekani kutafuta maeneo mapya na ikajengwa Hospitali Mpya kuliko kukarabati Hospitali moja kila baada ya muda mfupi? Au mimi kuna kitu sielewi?
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom