Maria Sarungi ni mkosoaji wa muda mrefu wa juhudi za chama na serikali iliyopo madarakani. Ni mwasisi wa mijadala mikali ya X toka kipindi cha JPM.
Je, kwa ukosoaji huo anaoufanya akiwa nje...
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu Tundu Antiphas Lissu amesifu zoezi zima la upigaji kura lilivyoenda muda mfupi baada ya kupiga kura majira ya Saa 8 na nusu...
Chama cha Mapinduzi kimejotenga na Prof. Sarungi 100%. Sidhani kama wakati akiwa hai alifahamu huu ugomvi uliopo.
Lakini chakushangaza nikuona hata Mzee Wasira ambaye ni ndugu na mzee aliyekua...
Mwenyekiti wa CHama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Rukwa Bi. Silafu Jumbe Maufi amemtaja Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly kuwa Mbunge Msikivu na anayewajali wananchi waliompa dhamana...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, mkoani Simiyu, Luhaga Mpina, ameiomba Serikali kupitia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuridhia na kupitisha sheria kali, ikiwemo adhabu ya kunyongwa kwa mtu...
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku.
Leo Tundu Lisu ameuthibitishia uma wa Watanzania na Dunia kwa ujumla kuwa yeye yupo serious katika kuleta ukombozi wa mara ya pili dhidi ya...
Habari wadau
Huu ni ukweli mchungu
1. Magufuli kaikuta Air Tanzania ikiwa haina ndege hata 1. Ila kaifufua na kainunulia ndege za kutosha
2. Magufuli kakuta shirika la reli TRC linaelekea...
MBUNGE wa Jimbo la Chato mkoani Geita, Dk Medard Kalemani ameomba mamlaka zinazohusika kutoa ufafanuzi wa kile kilichopelekea ndege za abiria kuacha kutua uwanja wa ndege wa Chato.
Dk Kalemani...
Ifike mahali huu utaratibu wa kuadhibu watoto shuleni kwa viboko vikali upigwe marufuku maana hauna maana yoyote ile.
Viboko havisaidii lolote ni ujinga tu kuendeleza huu upuuzi.
Tuna elimu...
Kundi la mabinti kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini leo limetangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kudai kutoridhishwa na nafasi ya wanawake ndani ya Chama cha Demokrasia na...
Katika hatua ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, wachoma nyama mkoani Arusha wameahidiwa kupewa majiko yanayotumia nishati safi kwa ajili ya kazi yao.
Hayo yamesemwa leo Ijumaa Machi 7...
Salamu za Kwaresima toka kwa Baba Askofu Bagonza (PhD).
DHAMIRI SAFI, DIRA YA TAIFA
Tuongozwe na Katiba?
Tuongozwe na Mtu?
Tuongozwe na Dhamiri?
Tuongozwe na Chama?
Tuongozwe na Vyombo...
Ndugu zanguni,
Siku hizi kila mwanasiasa akipanda jukwaani anatumia kauli mbiu ya ukosefu wa ajira kwa sababu tayari limekuwa tishio kwa taifa. Wanasiasa hao kutoka pande zote, upinzani na tawala...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amezungumzia mabadiliko mapya ya sheria kuhusu haki za Wafungwa kupiga kura ambapo...
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly ametoa pongezi kwa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya kutoa msaada katika Kituo cha Afya Mazwi na Zahanati ya Kizwite.
Kupata matukio na...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mwanza umeunga mkono Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) na kuitaka serikali kutoa ajira.
Akizungumza siku ya Ijumaa mbele ya...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amewakosoa vikali wanasiasa na viongozi wa Afrika kwa tabia yao ya kung'ang'ania madaraka kwa maslahi binafsi.Akizungumza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.