Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

  • Redirect
Muda wa kurudi majimboni sasa na kutoa chochote kitu. Ndiyo muda wa wananfunzi kuahidiwa wali nyama shuleni === Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh.Kassim Majali ametoa shilingi...
0 Reactions
Replies
Views
Kwanza niipongeze WASAFI FM, nadhani ndio chombo cha habari huwa wanajadiligi ishu za msingi sana. Ni ngumu sana kwenda nchi za watu kukuta maujenzi ya barabara kila mwaka hususani maeneo ya...
2 Reactions
8 Replies
340 Views
Katika maonyesho ya wazi ya udhaifu wa ndani, CHADEMA imejidhihirisha katika mchezo wa kukamata misaada ya kigeni, jambo linalofichua kutokuwepo kwa mipango madhubuti ya kujipanga mbele ya...
0 Reactions
4 Replies
261 Views
Katika fuatilia zangu, nimegundua kuwa kuna upigaji mkubwa sana kwenye miradi ya ujenzi hasa majengo mbalimbali na barabara nchini Tanzania. Kiukweli barabara nyingi nchini zinajengwa chini ya...
19 Reactions
121 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete, amewahamasisha wanawake kote nchini kujitokeza kugombea nafasi za udiwani na ubunge, huku akiwataka kuwaunga mkono wanawake wenzao kwa kura nyingi...
5 Reactions
42 Replies
708 Views
Kwa sasa tumefika pagumu wote tunajiuliza nini tatizo kwenye uchaguzi wetu. wapo wanaodai kuwa uchaguzi ulifanyika kwa haki na wapinzani kushinda miaka ya 2010 hadi 2015 kupitia sheria hizi hizi...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Huyu jamaa ni zaidi ya Royal Tour, ziara yake ya siku chache tena bila gharama kubwa ya kuumiza Nchi, Imezaa matunda ya kutisha! Hapa akiwa na Mbunge wa Jimbo Hapa akiwa na Mstahiki Meya
12 Reactions
86 Replies
3K Views
Viti Maalumu vimekua ni nafasi za wachache kujimilikisha Mali tu. Hata kama ni Mtaji wa Biashara, miaka mitano haitoshi?? Vijana wako mtaani ,Moja haikai Wala Mbili !!. Hata wa Makundi maalumu...
3 Reactions
4 Replies
259 Views
Wadau za leo, Kama kichwa cha habari kinavyoelezea na kuuliza wewe Mtanzania kutokana na changamoto unazopitia au kuziona katika jamii yako leo, Je, katika kipindi hiki kuelekea katika Uchaguzi wa...
1 Reactions
20 Replies
305 Views
Wakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa. =========================================================...
23 Reactions
186 Replies
11K Views
=== Akizungumza na Waheshimiwa madiwani wa Ilemela waliofika ofisini kwake kwaajili ya kujifunza mambo mbalimbali yahusuyo PPP kwenye kituo hicho cha PPPC Tanzània, Mkurugenzi Mtendaji...
19 Reactions
66 Replies
2K Views
Kuna mambo kwa kiburi chetu Cha uzima tunaweza kubishana lakini si-utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Nani asiyejua hii PPP ilianza tangu enzi na enzi lakini chini ya mama huyu matokeo...
23 Reactions
122 Replies
3K Views
Changamoto ya watoto hasa wa kike kutomaliza shule mbunge wa Rorya Jafari Chege akamalisha madarasa kunusuru hali iliyopo kwa sasa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
104 Views
==== Wakati Tanzania na Watanzania kwa gharama kubwa wakiendelea kujiimarisha kifedha, kitaasisi na kirasimali watu ili kupambana na rushwa na Ufisadi nchini kwenye baadhi ya miradi na taasisi...
39 Reactions
218 Replies
5K Views
Rais Samia akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025. Rais Samia amewataka viongozi wenzake wa Kikanda kuchukua hatua madhubuti kuhusu hali...
5 Reactions
150 Replies
6K Views
== Katika hotuba yake bora ya kihistoria ya kufunga mwaka wa 2024 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameitangazia Tanzània na Dunia kuwa mwaka 2025...
24 Reactions
98 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amefika nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa zamani na mbunge wa Rorya, Profesa Phelemon Sarungi (89) kutoa salamu za pole. Profesa...
0 Reactions
5 Replies
495 Views
==== Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi Tanzània (PPP-Centred) Bw. David Kafulila ametoa wito kwa Sekta binafsi au watu binafsi wenye mitaji, teknolojia na...
28 Reactions
111 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa chama cha CUF, Prof Lipumba bhana alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi Tv ameeleza kuwa hakutaka kabisa kuendelea na suala la uenyekiti wa CUF Taifa baada ya kuongoza kwa miaka 25...
0 Reactions
21 Replies
565 Views
Nimekuja Tena kama mwananchi wa kawaida kuipongeza CCM kwa makubwa iliyoyafanya nchi ila ni mda wao wapumzike WAKAE pembeni wajipange upya Waruhusu uhuru wa demokrasia, vijana wasitekwe na...
1 Reactions
4 Replies
125 Views
Back
Top Bottom