Kitu kimoja ambacho wengi wanamlaumu Mbowe ni kuwa amekuwa Mwenyekiti kwa muda mrefu sana. Wanasema hiyo imemfanya akose mbinu za kupambana katika mazingira ambayo ni tofauti sana na...
Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye CCM wamemshindwa na sasa wameamua kutumia Polisi kumdhibiti, Freeman Mbowe, Amehutubia Wananchi wa Boda ya Kasumulu katika mkakati wa kuwanadi Wagombea wa Chama...
Huyu Lisu simuelewi mimi, mwanzo alisema alifuatwa nyumbani kwake na Mfuko wa Pesa ili ahongwe aache kumsema sema vibaya Mama yake na Abdul. na ameenda mbali kusema alie mpeleka Abdul ni Ezekiel...
Uchaguzi una matokeo mawili makubwa, kushinda na kushindwa, na katika hayo kuna mambo mawili pia, kuridhika (kukubali) na kutoridhika (kukataa kukubali).
Lissu ninayemfahamu, huwa haamini katika...
Muda huwa ni Mwalimu sahihi kwa lolote jambo, Mfalme mpya bwana Mbowe yampasa atambue.
Bwana Mbowe anaweza kuhonga pesa kwa wapambe akidhani atabadiri upepo umtakao aondoke.
Bwana Mbowe anaweza...
Wakuu,
Katibu wa Chama cha wananchi (CUF -The Civic United Front) mkoa wa Mbeya Ibrahim Mwakwama amesema wapinzani wanatakiwa kuachana na maslahi binafsi badala yake waungane ili kuhakikisha...
Kuna hoja za kijinga ambazo Machawa wa Mbowe wamezianza kuwa kuna mpango wa mapinduzi Chadema. Ni hoja ambazo waliziibua tena mwaka 2013 na bila kujua tuliziunga mkono.
Kipindi hiki zimekuja tena...
Wakuu,
Ya Clubhouse yanazidi kujitokeza kadri tunavyoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, ClubHouse ilipigwa pini toka 2023 nadhani (kama sijakosea), Telegram ikafata mkondo huo, na yenyewe ni...
Jamani moyo wangu umefurahi sana baada ya kuona wanachadema na watanzania wanaendakupata mwenyekiti mpyaaaaaaaaaaaa baada ya miaka 20 na zaidi kupita.
Hii kwangu na kwa watanzania wenye akili...
Nasema hivi Chama hawezi achiwa Lissu. Mimi namkubali sana Lissu lakini sio aachiwe Chama. Hapo NO kabisa aisee.
Staili ya kuchafua wengine ili upate uhalali wa kuwa mwenyekiti hapo hapana...
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James amewataka wananchi wilayani humo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura huku akisisitiza kuwa kufanya...
Mtanisamehe sijui kuandika vizuri lakini natamani ujumbe wangu uwafikie viongozi wale wote waliopewa dhamana ya kuongoza kutafuta hekima ya uongozi hususan katika maneno na kauli wanazotoa...
Najua ni ngumu.Najua maelezo yatakuwa mengi.Najua ndani ya nafsi unaona kama kuingia kwenye uchaguzi ni kukinusuru Chama.Najua unaumia kwa kuona uliowaamini kukugeuka na kukupiga marungu bila...
Great Thinkers,
Nimerejea hotuba za wagombea wawili wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA, Haya ndiyo mambo ya msingi ambayo kila mgombea ameyatabainisha kama sababu zilizomsukuma kuwania...
Kwa wakongwe kama mimi, wanajiuliza, nini tutaona mageuzi ya maana na ya kweli. Walipofanya kweli Kenya, Malawi, na Zambia tulidhani ni wimbi na wingu vya kupita. Juzi tu, tuliona moto wa mageuzi...
Hizi taarifa za kuwepo kwa majasusi/vipenyo(spies) kwenye vyama vya siasa, taasisi za kidini, timu za mpira, makampuni na taasisi nyingine nyingi za umma zina ukweli gani? Mfano katika vyama vya...
YOHANA 1: 4 -- 6.
mtu pekee mwenye nuru inayomlika nadi ya CHADEMA ✌️ na ndani ya CCM NA SERIKALI YAKE.
MH. TUNDU LISSU aliyejaa neema na kweli, Mtu peeke tuliyepewa zawadi kutoka kwa Mungu. SIKU...
Ilishaelezwa inayoweza Kupinduliwa ni DOLA na si vinginevyo sasa huyu mtafsiri wa Vitabu vya Hadithi za kijasusi hata hilo halijui?
Siyo vema kutumia Haka Kauchaguzi la Chadema kupotosha Wananchi...
LISSU NA MBOWE: ZAIDI YA KUGOMBEA UENYEKITI, KUNA NINI KINGINE?
Anaandika Apiov Lwiwa, PhD.
Tumeshuhudia mwendelezo wa mnyukano mkali wa Kisiasa ndani ya CHADEMA (CDM), kati ya Mwenyekiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.