Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Humu jf kuna bifu kati ya mashabiki wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu na machawa wa pande zote. Wengi ima hawajui mchezo wa siasa au hawana hata chembe juu ya demokrasia. Chadema, tofauti na CCM ni...
5 Reactions
7 Replies
248 Views
Tazama hii barua hapo chini pichani, huu utamaduni ni vyema ukafuatwa na viongozi wetu wa kiafrika
2 Reactions
4 Replies
279 Views
Hellow Tanganyika!! Uliyoyasikia kuhusu wewe kuchoka Si mwili pekee, Bali Fikra za kuleta uono Mwema wa chama na Nchi chini ya uongozi wako. 1. Kupoteza kumbukumbu ni kiashiria kikuu Cha Mkt...
10 Reactions
29 Replies
829 Views
Sasa hivi wanachama wa CHADEMA wamegawanyika makundi mawili, kundi la Mbowe na Kundi la Tundu Lissu. Kundi la Mbowe wanaitwa CHAWA wa Mbowe. Nakumbuka neno hili lilitumika sana kuwatusi wafuasi wa...
4 Reactions
12 Replies
370 Views
Taifa linapoteza nguvu kazi kwa kasi ya mchongoko si kwa mapenzi ya Mungu bali kukosa maarifa. Ni mwendawazimu pekee anaweza kujiaminisha kuwa hizi ajali tunazozishuhudia ni mapenzi ya Mungu...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Wanabodi, Iwapo itathibitika pasipo shaka, (proven beyond reasonable doubt), kuwa viongozi wakuu wa CHADEMA, walijua, walishiriki, na walihusika kwa namna moja au nyingine, katika kupanga au...
19 Reactions
114 Replies
10K Views
Miongoni mwa Sekta amabazo zimfanya rais Kikwete kukumbuka ni sekta ya miundo mbinu iliyochini ya Dk. John Pombe Magufuri aka Tingatinga, ambapo katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Nne...
4 Reactions
47 Replies
8K Views
Tuko hapa Machame, wilayani Hai mkoani Kilimanjaro na hivi, ndivyo tunavyozitumia pesa za kikoba cha mjomba. Asitokee mtu wa kutaka kukipora kikoba chetu, labda akaanzishe chakwake. Makamanda...
10 Reactions
43 Replies
1K Views
1. Hili la diplomats kutokukaguliwa (screening and security checks) airports ndo chanzo cha biashara pendwa kutokwisha. Yaan mtu si anajiamulia Leo abebe kilogram (kg) ngapi tu? Maana ana uhakika...
8 Reactions
65 Replies
5K Views
1. Kama mnavyojua sekta ya USAFIRISHAJI imekua kwa kiasi kikubwa. Lakini la kusikitisha mabasi yaliyo Mengi huagizwa China, Brazil na Kenya. 2. Je haiwezekani kuwalazimisha wenye viwanda hivyo...
8 Reactions
73 Replies
1K Views
Wanabodi, Hiki ni kipindi cha Hard Talk cha BBC https://youtu.be/k8VtAND6718?si=AbTE7UXdro-reN-n Declaration of Interest Naomba ku declare interest kuwa japo mimi nina chama na sio chama cha...
69 Reactions
558 Replies
60K Views
Wazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia. Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji. Mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji ili kuweza kule maendeleo Kwa mkoa na Taifa Kwa ujumla Hi dhana Kwamba...
10 Reactions
120 Replies
7K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu Ndugu Lisu kwanza napenda nianze kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Najua hatujuani, lakini hilo haliwezi kuwa sababu ya mimi kuacha kukushauri...
11 Reactions
65 Replies
2K Views
Nimekutana na message kwenye Whats App kwamba Msigwa ndiye aliyemlipua Mzee Kibao eti kuwa ndiye strategist wa Chadema kwenye mikutano yake ye hivi karibuni. Kama ni kweli hivi Msigwa atakuwa...
14 Reactions
97 Replies
10K Views
Hofu isiyoonekana ni ugonjwa wa akili mbaya sana sana, Hofu inahitaji tiba ya kisaikolojia, Jambo linaloisumbua Chadema ni hofu ya kumpa uenyekiti wa chama mtu tofauti na Freeman Mbowe Wana...
1 Reactions
8 Replies
629 Views
Nchi hii haikosi vituko. Ukiamua kununa ni wewe mwenyewe tu umeamua. Kuna kila aina ya vichekesho nchi hii kuanzia kwa viongozi mpaka kwa wananchi. Lakini kinachochekesha zaidi ni kuwa...
8 Reactions
63 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu Baada ya kutumika kumchafua Lisu hadharani kwa lengo la kutaka kumdidimiza kisiasa, au kumkatisha tamaa ya kugombea uenyekiti wa Chadema taifa, sasa ni wazi kuwa mbinu...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Habari wana JF ,hivi kuna haja gani kwa Chama kushika Nchi zaidi ya miaka 45 na bado nchi nzima kukawa bado ukosegu wa Huduma za Msingi kama Maji safi ,Afya na miundombinu mibovu kwa Nchi yenye...
14 Reactions
73 Replies
3K Views
Chama kikuu Cha upinzani Lakini hakina kiongozi wa Juu mstaafu hata mmoja Kwa mfano CCM Kuna Kikwete, Malecela, Msekwa, Makamba, Mangula, Kinana, Chongolo, Mpogoro, Dr Bashiru, Polepole, Nape...
6 Reactions
23 Replies
634 Views
WanaChadema wanaomkosoa Mbowe wamekosea timing kwani nini sasa ni sio enzi hizo kama kweli alikosea ? Wanaonekana wana cheap propaganda za uchaguzi Lisu kaunda kamati ya fitina na majungu yeye...
2 Reactions
14 Replies
296 Views
Back
Top Bottom