Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
IGP Kanja amesema Wao hawateki Watu na wala hawawajui hao watekaji Kanja amesema kazi ya police ni kukamata Wahalifu siyo kuteka Watu na Utekaji ni Uhalifu na watekaji tukiwapata lazima...
1 Reactions
3 Replies
245 Views
Kwa sasa Utajiri wa nchi na wafanyabiashara wakubwa na wanaotambulika RASMI upo chini ya wasomali, wahindi na waarabu! Rarely au hakuna kabisa kumkuta Mtanzania amepenya hapa. Kama Mtanzania...
4 Reactions
9 Replies
272 Views
Wakili maarufu na mwanaharakati wa haki za binadamu, Onesmo Olengurumwa, ameandika ujumbe wa kipekee katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X, akitoa wito wa upatanisho kati ya Freeman Mbowe...
2 Reactions
4 Replies
432 Views
Miaka 20 iliyopita ya harakati za kiasiasa za Chadema, ama niseme ilitokea kwa bahati mbaya au ni kushindwa kwa viongozi wa Chadema, wachaga walijikuta wamejeuka kuwa 'collateral' ya kuvishwa...
5 Reactions
10 Replies
373 Views
Unadhani ni kwanini Hawa Wazee wa Lumumba wanatafakari namna hii? Mungu ni mwema wakati wote 😃
4 Reactions
17 Replies
696 Views
Uchaguzi ni jambo la kawaida katika nchi inayofata Karina na misingi sheria na Demokrasia. Lakini kinachoonekana kwa chadema sasa siyo uchaguzi ni Vita. Vitisho kuumbuana na mwisho ni...
1 Reactions
4 Replies
143 Views
Mwamba tuvushe Mwamba tuvushe Mwamba tuvushe Sacoss yetu inaenda kuharibiwa na toto tundu Mwamba tuvushe Mwamba tuvushe Mwamba tuvushe Sacoss yetu inaenda kufa kifo cha mende Mwamba tuvushe Mwamba...
9 Reactions
21 Replies
446 Views
Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini...
4 Reactions
8 Replies
245 Views
Na Mhere Mwita Nimeona chapio la rafiki yangu Yericko Nyerere ambalo amelipa kichwa Cha Habari ya Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini chadema haifi hivyo basi hoja zake zimenifanya...
13 Reactions
31 Replies
1K Views
Ikiwa Imebaki siku Chache tu au Wiki kadhaa Kwenye Chama cha Siasa Cha CHADEMA kuingia kwenye Uchaguzi Wa Viongozi Wa Juu sana.. Viongozi waandamizi kutoka Chama cha Demokrasia kutoka shinyanga...
13 Reactions
43 Replies
3K Views
Mwenyekiti Mbowe amesema unapozungumzia swala la Ukomo wa Uongozi Kwa msingi wa Demokrasia ni pale Kiongozi anapokataliwa na Wanachama na si vinginevyo Mbowe amesema vyama vingine vimeweka Ukomo...
4 Reactions
3 Replies
200 Views
1. Nianze kwa kuwapa pole wafiwa na majeruhi wote katika ajali ya Azerbaijan airlines iliyotokea jana huko Kazakhastan. 2. Natumaini ni somo tosha kwa ndege pendwa ATC kuzingatia hatua zote za...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
1962 mondlane aliasisi chama Kikongwe kwa ajili ya kuikomboa msumbiji kutoka kwenye makucha ya wareno !kutoka na Hali ya msumbiji nyakati hizo iliwalazimu frelimo kuweka makao yake makuu jijini...
5 Reactions
16 Replies
737 Views
Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa chama cha CHADEMA, amesema akioata madaraka, kitu cha kwanza atakachofanya ni reforms. Amesema chama kinatakiwa kiwe na katiba...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu Salaam sana! Nimejaribu kufuatilia hotuba ( mara tatu) ya mwenyekiti wa CHADEMA, ndg FAM wakati akitangaza nia yake ya kugombea tena katika nafasi ya uenyekiti CHADEMA TAIFA , lakini...
12 Reactions
64 Replies
1K Views
Wanabodi, Wengi wanafikiri kwamba serikali ya Tanzania ni gandamizi lakini ukweli wa mambo ni kwamba serikali ya Tanzania sio gandamizi bali ina itikadi ya kuwa na influence kubwa zaidi kwenye...
1 Reactions
1 Replies
93 Views
Uongozi ni kipaji si kila mtu anaweza kuwa kiongozi anaweza kuwa mtendaji mzuri lakini asiwe kiongozi mzuri. Sisemi chama kisifanye uchaguzi au kiengue wagombea hapana, bali wajumbe wawe makini...
8 Reactions
67 Replies
1K Views
Hiyo ni character assassination. Tangu Lissu atangaze nia ya kugombea sijawahi kumsikia akiwapongeza viongozi wenzake waliopo as if hakuna kitu walichofanya, yeye ni lawama tu. Lissu angekuwa na...
8 Reactions
33 Replies
705 Views
Ni wazi kwenye nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa anayogombea, anapingwa vikali sana kwenye chama chake, na kwahiyo tunaweza kuhitimisha kwamba hataweze kupewa ridhaa hiyo na wajumbe wa mkutano...
4 Reactions
88 Replies
1K Views
Mpaka Sasa Mawakili wote Tanzània bila kujali I tikadi zao wanamuunga mkono TUNDU LISSU,
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Back
Top Bottom