Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ukweli ni kwamba Mbowe atashinda. Si kwasababu anakubalika sana na WanaCHADEMA hapana, ila ni kwasababu mirija ya chakula ya wajumbe walio wengi imefungamanishwa naye. Hivyo akishindwa kula yao...
21 Reactions
63 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote Kichwa cha habari chahusika Madai ya rushwa hayana ushahidi akamatwe na kushtakiwa Sikukuu njema
5 Reactions
86 Replies
2K Views
Wasalamu Kama uzi unavyouliza yuko wapi huyu bwana sioi sumary mkwe wa marehemu lowassa maana siku hizi haonekani na wala kwenye msiba wa mkwewe sikumuona kwenye familia ya wafiwa.
1 Reactions
0 Replies
151 Views
Kumbe Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, na sasa ni marehemu. Ilibidi nitafute taarifa za wajumbe wa kamati kuu ambao wamefariki kabla ya kikao cha kamati kuu kilichojadili...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Viongozi Wakuu wa Chadema Mh Freeman Mbowe na Mh Tundu Lisu wanavuna walichopa nda Wakati Ntobi na Yeriko wanamtukana Shujaa Magufuli hawakuwahi kuwakemea Poleni sana lakini hakuna namna 🐼
3 Reactions
18 Replies
327 Views
Askofu Dr Malasusa anesema Watanzania wamepita Katika kipindi kigumu lakini Mungu amekiondoa kipindi hicho na kwamba hajawahi kuona watu wakitekwa tangu azaliwe ila safari hii Aidha Askofu Dr...
2 Reactions
13 Replies
624 Views
Waandishi wa habari wa bongo ni wakuda sana. Wote wameufyanta mkio hakuna hata mmoja aliyethubuti kumtafuta Abdul na kumuhoji juu ya sakata la fedha za mama Abdul. Wazee inabidi mbalansi story...
19 Reactions
60 Replies
2K Views
Kwa Watanzania na Wanamageuzi wenye mapenzi mema na CHADEMA na Taifa letu. Kwa vijana wanaotamani kufanya siasa za Upinzani kwa miongo kadhaa ijayo. Lissu is the way! Hawezi kuwa mkamilifu kama...
12 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu, Baadhi ya Viongozi wa dini katika kata ya Kigwa wilaya ya Uyui mkoani TABORA wametaka viongozi wa serikali za vijiji na vitongoji katika kata hiyo waliochakuliwa katika uchaguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
172 Views
Hii ni Sawa na kusema ukichimama nchale na ukikimbia nchale yaani lazima ufe tu Tuzidi kuwaombea Chadema Merry Christmas
7 Reactions
13 Replies
398 Views
Habari Wakuu! Ukifuatilia kwa umakini uchaguzi huu. Utagundua Wasomi wengi na watu wanaopenda elimu wengi wao wanamuunga Mkono Tundu Antipas Lisu kuwa Mwenyekiti. Hii ni tofauti na upande wa...
13 Reactions
30 Replies
527 Views
I’m continuing to read the tea leaves from Tundu Lissu’s Clubhouse appearance. Lissu aliulizwa swali kuhusu Mbowe kuibeba CHADEMA kifedha. Akafunguka na kusema kuwa kuna nyakati kamati kuu ya...
10 Reactions
32 Replies
912 Views
ACT WAZALENDO TUNAMTAKA DR. MWINYI ATENGUE UTEUZI WA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA, NA IDARA MAALUM ZA SMZ Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa...
2 Reactions
2 Replies
729 Views
Mwanasiasa na nabii Godbless Lema ameweka video kwenye ukurasa wake wa X ikiwa na ujumbe wa kusisitiza kutoamini mwanasiasa yoyote. Tunajua Mawazo alikuwa akilalamika kuna watu ndani ya chama...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
amani iwe kwenu, Kwa wale wote mliowahi kuwa karibu na David Kafulila kwa nyakati na sehemu tofauti tofauti nje na ndani ya siasa mtusaidie kujibu maswali haya, 1. Je, ni kweli kwamba huyu...
25 Reactions
198 Replies
3K Views
Wakuu, Lissu anaongea club house sasa hivi kujibu hoja za wenje na kuongelea mambo mengine. Kati ya aliyosema ni kuwa hajawahi kumtuma Wenje kuhusu madai yake kabisa na kwamba ni uongo. Lakini...
14 Reactions
219 Replies
7K Views
Huyu jamaa katika kipindi chote ametumikia chama chake kwa uaminifu mkubwa mno. Anafaa kupewa nafasi nyingine tena, Namuunga Mkono na nina imani wapiga kura wenzangu wanamuunga mkono pia.
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakuu,hivi lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumuingizia kipato?
3 Reactions
66 Replies
1K Views
Kwa yoyote alobarikiwa kua na Uwezo wa kukisia mambo Fulani Fulani ya nyakati zijazo. Kuna Makosa yalifanyika 2015-2020 , Ufalme akaanguka, Licha ya Ufalme kufanya mambo makubwa yaliyoonekana...
2 Reactions
12 Replies
631 Views
Kuna clip mbalimbali mitandaoni wanachama wa Chadema wanadai Mbowe kashairiwa na viongozi wa dini atetee nafasi yake ya Mwenyekiti Ndio tunauliza kashairiwa na Bakwata? Maana Bagonza na Kitima...
1 Reactions
9 Replies
201 Views
Back
Top Bottom