Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao...
21 Reactions
108 Replies
3K Views
Mbeba maboksi here I come with my two cents from a distance. Nianze kwa kuwatakia heri ya Krismasi kwenu waumini wa Kristo. Kwa wasio waumini, nanyi nawatakieni sikukuu njema na mapumziko mema...
25 Reactions
59 Replies
2K Views
Wanabodi, Naomba kukiri kumfahamu Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, tangu kitambo kidogo kwa Paul kutambulishwa kwangu nikiwa mjini Dodoma, pale Dodoma Hotel, kiukweli nilimuona kama ni...
18 Reactions
167 Replies
25K Views
Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi, kumekuwa na utaratibu wa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa. CCM imekuwa ikichukua lion's share. Hapohapo mkulima wa Tanzania anayezalisha chakula hapati...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Katika kipindi cha miaka 30 ya vyama vingi, tumetumia mabilioni ya pesa za walipa kodi ili kusaidia vyama ambavyo vingine haviko tena mitaani. Vingine vipo kama maboya tu ya kupitishia ajenda za...
0 Reactions
2 Replies
400 Views
Mwaka 2006, Katiba ya Chadema ilifanya marekebisho yaliyoruhusu wanachama kugombea uongozi bila ukomo wakati awali, waliruhusiwa kugombea kwa vipindi viwili vya miaka mitano. Tukikumbuka...
1 Reactions
9 Replies
298 Views
Vyama vyote vya siasa hapa nchini ni vyama vya viongozi, siyo vyama vya wanachama. Vyama vyetu vya siasa hapa nchini vina tatizo moja kubwa, ni vyama vya viongozi sio vyama vya wanachama. Matashi...
4 Reactions
4 Replies
420 Views
Mpambe mkuu wa Mwenyekiti wa Chadema Mh Ntobi amesema Wajumbe wanaomchagua Mwenyekiti wa Chadema wako zaidi ya 1200 Na Kwamba Ubwabwa wa Kushiba Huonekana Kwenye Sinia My take;Nadhani huu...
2 Reactions
17 Replies
911 Views
Chama rafiki FRELIMO wamecheza na uchaguzi sasa vurugu kama zote wafungwa zaidi ya 6000 wametoroka gerezani. Ni suala la muda tu Msumbiji mpya inazaliwa.
13 Reactions
38 Replies
2K Views
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo...
19 Reactions
274 Replies
5K Views
Wakuu, Inaonesha Mbowe anaenda kuachia kijiti, anaongea kwa uchungu kama Lucas Mwashambwa anavyobubujikwaga machozi ya huzuni :BearLaugh: :BearLaugh: Au ndio anatuonyesha ile historia yake...
6 Reactions
23 Replies
953 Views
Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa. Na...
19 Reactions
213 Replies
10K Views
Vijana wa CHADEMA kutoka Kanda ya Kaskazini walijumuika kusherehekea Sikukuu ya Krismasi nyumbani kwa bibi yake Deusdedith Soka, huko Kibosho. Hafla hiyo pia iliadhimisha siku ya kuzaliwa ya Soka...
3 Reactions
10 Replies
697 Views
Naona Kafulila sasa ameamua --- Baada ya kusuasua kiuendeshaji, hatimaye Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (Temesa), imetangaza kubadili mfumo wa utekelezaji wa majukumu yake, kwa kushirikiana...
24 Reactions
78 Replies
2K Views
Wanabodi, Toka kutekwa kwa Adul Nondo,kiukweli nikikumbuka ya Mzee Kibao,nikawa nasali kimya kimya yasitokee kama yale Leo baada ya kusikiliza mahojiano...
15 Reactions
50 Replies
2K Views
Nimeona taarifa zikisambaa kule Twitter kwamba Wakili Msomi Peter Kibatala amesema yupo tayari kumtetea mahakamani meneja wa TRC kanda ya Dar Es Salaam ndugu Jonas Afumwisye Mwangunga alitefukuzwa...
10 Reactions
78 Replies
6K Views
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kimekuwa chama kikuu Cha upinzani Tanzania kwa muda wa miaka kumi na nne Sasa. Ni muda wa chama Cha CHADEMA kujifunza kutoka kwa kilichokuwa Cha kikuu Cha...
14 Reactions
47 Replies
1K Views
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe Ikulu Mkoani Dar Es Salaam. Rais Samia amesisitiza kuwa kuna...
64 Reactions
527 Replies
32K Views
Na; Garatwa Francis Nimemsikiliza Wenje akijitetea mbele ya chombo kimoja hivi cha habari kuhusu ule ushenzi wao wa kuhongwa pesa na wakafanya jaribio la kutaka ku-balance stori kwa Tundu Lissu...
4 Reactions
48 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Star TV, leo Agosti 17, 2024, amesema Mtoto wa Rais Samia aliyemtaja kwa jina la Abdul alitaka kumhonga...
23 Reactions
170 Replies
8K Views
Back
Top Bottom