Ninawagawa wapiga kura katika makundi makuu matatu
1. Viongozi waandamizi
2. Baraza la wanawake
3. Baraza la vijana
FAM anatarajiwa kushinda kwa kutumia kundi la kwanza na la pili maana ndio...
Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli.
Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana...
Mwana JF nguli, Akihojiwa Radio DW Pascal Mayala, amemchambua Dr Bashiru. Amesema Dr Bashiru kapata ajali kubwa sana kisiasa na hatoinuka tena. Pia kadai Magufuli amiini usiamini alikuwa...
Inadaiwa Halima Mdee alivuliwa uanachama na Kamati kuu ya Chadema.
Kuvuliwa uanachama maana yake Halima Mdee alipoteza Ubunge automatically.
Sasa ilikuwaje tena Freeman Mbowe amtafutie kazi...
Katika kukiunganisha chama na kuondoa tofauti zetu, tafadhali sana Mh. Freeman Mbowe, mara baada ya kushinda kwa kishindo katika nafasi ya uenyekiti, mteue ndugu Halima Mdee kuwa katibu mkuu wa...
Tokea tupate uhuru nchi imekuwa ikiongozwa na serikali za chama kimoja tu, CCM [TANU].
Katika hii miezi mitatu ya utawala wa Magufuli tumeshuhudia uozo wa aina nyingi ukifunuliwa.
Nina imani...
Picha: Dkt. Willbrod Slaa
Mwanasiasa Willbrod Peter Slaa amefanya mahojiano na kuzungumza mambo mengi kuhusu siasa, mahojiano haya ni mwendelezo ya interview aliyofanya wiki iliyopita.
TAARIFA...
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki...
Huyu Mzee Ali. M. Kibao aliwahi kuwa Mwanajeshi kwa nafasi yenye hadhi kiasi flani. Hakuwa mtu wa mitandao sana. Huwezi msikia akipinga jambo la Serikali au kukemea. Alikuwa silent sana.
Na...
Nashindwa kum define Lisu my once favorite politician!
Nashindwa kumwelezea Lisu, mwanasiasa niliyempenda sana hapo awali!
Pengine anaweza kufafanuliwa kama mtu mwenye mgawanyiko...
Hellow!!
Najiuliza, hivi Inawezekana vipi kumtuliza kirahisi Simba au faru aliyejeruhiwa Kwa risasi Kwa vipande vya Fedha?
Ama Kweli ,RUSHWA hupofusha ufahamu.
Karibuni 🙏
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati bwana Dotto Biteko amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia Imefuta zaidi ya tozo na kero 370 Kwa lengo la kukuza biashara na uwekezaji Nchini.
Bwana...
Binafsi huwa natamani sana siku moja kumuona Tundu lissu akiwa na mafanikio makubwa sana katika siasa sababu naamini ni mzalendo na msema kweli.
Lakini kwa namna nilivyowasikiliza Makonda na...
Mhe Tundu Lissu tunajua utashinda Uchaguzi huu kwa zaidi ya 80%
Ombi letu sisi wafia chama tunaomba mara baada ya kushinda Mrudishe Zaynab Ashraf pale Makao Makuu ya Chama,
Tatizo la Mbowe ni...
Ilikuwa ni kama utamaduni wa jumba jeupe kufanya hivyo kwa mahospitali, vituo via yatima au wazee.
Labda mnikulu yuko bize, amesahau kufanya hivyo krismas hii
Moderators spare this clip
Lisu ni kigeugeu.
Hafai kuwa kiongozi.
Akili zake zimekwenda tenge kidogo amesahau clip hii! akili haiko sawa
Msikilize please maana amewananga wenzake kuhusu...
Uchaguzi wa mwenyekiti CHADEMA (T) safari hii na awamu ni very unique...
Ni wa kipekee kwa sababu awamu nne (2004, 2009, 2014 na 2019) ambazo mwenyekiti wa sasa Mh Freeman Mbowe alikuwa akishinda...
Mwigulu ameeleza kuwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndo sababu ya CAG kama taasisi/ofisi kuongezewa bajeti zaidi ya 60% ya awali ili aweze fanya ukaguzi kila kona na kila angle.
Leo hii CAG wa...
Nawasalimu Wakuu,
Nchi inaenda pabaya wakuu, TISS msaidieni mama. Hivi inakuwaje waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?
Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.