Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela.
Enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa...
Tatizo kubwa sana hili kwa watanzania kushabikia siasa kama vile wanashabikia mpira wa miguu.
Jambo hili limefanya siasa za Tanzania kuwa ushabiki usio na manufaa kwa Watanzania.
Hii ina madhara...
Rais wa TLS Mh BAK Mwabukusi amesema kabla ya Maridhiano huanza na Muafaka vinginevyo Bila muafaka hayo Maridhiano yanabaki kuwa domestic arrangements hayana nguvu ya kisheria wala Uhalali wa...
Hivi karibuni tulisikia namna chadema walivyotoa taarifa kuhusu ufuatiliaji wa simu ya Ali Kibao na wakatoa hadi namba ziliziwasiliana naye mara ya mwisho.
Je, utaalamu huu wa kufuatilia simu...
Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli.
Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
Ninatoa raia ya kwamba tusiwabeze wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA Kwa kuonesha kwamba wanashinikizwa kufanya maamuzi kwa njia ya Rushwa. Wajumbe wa mkutano mkuu hawawezi kuhongwa maana wanajua...
Raial Odinga amkeuwa kiongozi wa chama chake miaka na miaka na hadi juzi kamkabidhi Gava wa Kisumu ili aongoze ODM kwa sababu yeye anagomvania cgeo kule AU, kumbuka cheo cha Raial hakigombaniwi...
Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi...
Until the wine he made has finished its ferment,until the crop he planted is harvested,the span of someone’s life is only the core of their actual existence." Hivi ndivyo Hayati Rais John Magufuli...
Uwepo wa maridhiano umewajibika vipi katika haya?
1. Watu waliotekwa, kuteswa na kuuawa
2. Watu waliopigwa risasi na manyanyaso mengine wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.
3. Hujuma...
Mbowe akijibu swali kuhusu tuhuma za pesa za Abdul asema hazina ushahidi wowote na kwamba mwenye ushahidi anatakiwa kuupeleka kama alivyoambiwa.
Na kuongeza kuwa Lissu kufanya hivyo ni...
Historia
Freeman Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Jina lake la kwanza "Freeman" waliwahi kupewa vijana wengi tu waliozaliwa mwaka ambao Tanganyika ilipata...
Miaka 10 baada ya kifo cha mumewe, mjane wa aliyekuwa mbunge wa Tarime, Chacha Wangwe, Ghati, ameiomba Serikali kufanya uchunguzi kubaini chanzo cha kifo cha mumewe ili haki iweze kutendeka...
Nimeitafakari sana kauli ya Zitto aliyoitoa kipindi kile ana mgogoro na kilichokuwa chama chake cha CHADEMA mwaka 2014. Akijaribu kumaanisha kuwa huenda kifo cha Chacha Wangwe kilikuwa na walakini...
Huyu mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga anatakiwa ashauriwe asiongee yote akasahau kesho. Mwanzo alisema CHADEMA walimpitisha Lissu kugombea Urais huku wakijua hawezi kushinda. Hii kauli...
Ukikaa na Watanzania utagundua ni watu waoga sana, ni watu wanao taka wasemewe yaani watetewe wakiwa wamekaa raha mustarehe.
Watanzania wanataka wapiganiwe sio watoke front line hapana wapiganiwe...
Wanabodi,
Japo siku zote Nabii huwa hakubaliki nyumbani, hili nalijua na litabezwa, na nimeisha lisemea humu
TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie...
Wanabodi, leo kuna msomi mmoja Bw. Kidawi Limbu, amethibitisha pasi shaka kuwa uchaguzi wa Zanzibar wa 2015, kama usinge futwa, Maalim Seif Shariff Hamad, wa Chama cha Wananchi CUF ndie angelikuwa...
Wanabodi,
Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama kada tuu wa kawaida wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.