Nimeshangaa juzi kumsikia MTU anayejiita Mbowe , Kwa kusema moja ya faida ya maridhiano ni chama kupata ruzuku ambayo ni bil 1 .6 iliyotumika kununua jengo ambalo ndo ofisi ya chadema na makao...
Je, Tundu Antipas Lisu atavumilia kubaki mtiifu na mvumilivu kuishi katika upweke wa kutokua na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chadema tunapoelekea uchaguzi mkuu Oct. 2025?
Au atavuka boda na...
Tuhuma za Lissu kuhusu Abdul kuhonga watu zinaacha maswali mengi na tata sana,
1. Kwa nini Abdul ndiye anahonga watu na sio watu wa CCM au serikali?
Kwa nini hawakutumika watu magwiji wa hiyo...
Kwanza nimpongeze Waziri Bashe kwa kuona umuhimu mkubwa wa hili. Waziri Bashe ni mmoja katika Mawaziri wachache wenye maono kwenye serikali yetu na naomba asichafuliwe aendelee, kwani Tanzania...
Kampeni za Lissu zinaonyesha ana visasi na ugomvi na baadhi ya viongozi, zinaonyesha kwamba hana nia njema kabisa.
Anaingia kama mtu mwenye kisasi sidhani kama hata siku ya uchaguzi itafika akiwa...
Siyo kwamba Chadema tu ndio Kuna mgogoro la hasha ila vyama vingine havina Wahuni Wahuni kama akina Ntobi na Boni Yai
CCM ndio Kuna mgogoro mkubwa sana kwa sababu Wabunge wao ni wa Viwango vya...
Hii ni tahadhari yangu kwa Mbowe kuwa ustaarabu na uvumilivu wake sasa ufike kikomo, vinginevyo kuna siku watu watakuzomea kama ilivyokuwa kwa Masauni leo kwenye msiba wa Mzee Kibao.
Wenzako...
Heri ya Christmas Wanajamvi.
Mjadala wa CHADEMA, kwa sasa ndio habari ya mjini, hata kwa wasiofuatilia Siasa.
Imefikia hatua hata uteuzi na uapisho uliofanyika Ikulu ndogo ya TUNGUU uliofanyika...
Pokeeni Salam za Christmas kutoka Kwa Rais wa TLS Mh BAK Mwabukusi Kwa Watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi Yetu hii nzuri sana
Salaam Maalum Ukurasani X
Ahsanteni Sana
Merry Christmas 🌹😃🐼🔥
kwa jicho la mbali naweza sema Lissu alipanga haya yanayotokea siku nyingi, pengine hata zaidi ya miezi 12 nyuma, na aliamua wapumbaza team Mbowe.
Kwa hali ilivyo sasa Team Mbowe wanacheza game...
Siku moja tu baada ya Lissu kutumia masaa 4 akiwahutubia Watanzania na kuwapa sababu za kwa nini anatangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, huku nyuma Mbowe akaibuka na igizo la kuvamiwa na watu...
Amani wadau.
Wengi wanahoji kwa nini serikali ya Tanzania haijafanya lockdown kama zilivyofanya nchi za Kenya, Rwanda ,Uganda ,USA etc.pia wadadisi wanajaribu kulezea madhara ya kutokufanya...
XxxxxX
Twende Pamoja, kwa muda mrefu wapinzani wetu kisiasa wamekuwa wanasema udini na ukabila zaidi kwa swala la Ukabila wanalengwa watu kutoka mkoa wa Kilimanjaro anakotokea Mwenyekiti wetu wa...
Kwa akili zao wanajua hapo Chadema ipo madarakani sasa na watashitukia 2025 hii hapa wanapokea kipigo kikali tena.
CCM mpya ya awamu ya tano haikuishia kuongoza kwenye kuwaletea maendeleo...
Tulionya kuwa huyu hafai kuwa kiongozi wa taasisi kama hiyo lakini bado akina Fatuma , Lisu and wasomi wazuri wengine wakampigia kampeni. Ona sasa hawezi kufungua mdomo kukemea haya yanayoendelea...
Nimekuwa nikishauri sana CHADEMA wazuie makada na viongozi wao kuropoka hovyo na badala yake awepo msemaji kama ilivyo kwa CCM wakawa hawanielewi. Leo hii chawa wa Mbowe ndugu Yericko Nyerere...
Kuna tetesi kutoka viunga vya watu wakubwa kwamba mfumo (dola) imemtishia mzee Mbowe kuwa endapo hatagombea uenyekiti, basi wataweka hadharani asali yote aliyoilamba (miamala yote aliyopokea toka...
Wanabodi,
Kwanza kabisa, tukubaliane kwamba CHADEMA ya sasa hivi imepoteza kwa kiasi kikubwa Imani kutoka kwa wananchi na ushawishi wa chama hiki kwenye masuala mbalimbali nchini ni mdogo sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.