Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
MIJADALA inayotawala sasa hivi kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu uchaguzi wa Chadema ngazi ya taifa, huku mchuano ukiwa kati ya mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na makamu wake, Tundu...
0 Reactions
1 Replies
152 Views
Ukiachilia mbali kutukanwa na Viongozi wenzake akina Ntobi, Yeriko nk Lakini hili la Ubangaizaji ni madharau yaliyotuka Ukishindwa na kubaki Chadema Mh Tundu Antipas Lisu utajikuta unadharirika...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Hawa jamaa walitunga katiba ambayo inampa haki Mbowe agombee na amegombea, Lissu kagombea. Hakuna aliyevunja katiba. Kwa nini wanaona Mbowe kugombea ni tatizo? Lissu anataka mteremko? Si apiganie...
3 Reactions
13 Replies
393 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, katika...
0 Reactions
1 Replies
185 Views
Wakenya wamembwagukia Rais wao bwana Ruto Kwa kutoa Kauli ambayo hawajaipenda. Bwana Ruto alisimika akimpongeza Rais Samia Kwa kuiwezesha Tanzania kuipita Nchi yake ya Kenya kwenye Biashara...
7 Reactions
51 Replies
3K Views
Huu ndio ushauri wa Kigwangwala kwa Mbowe.
0 Reactions
4 Replies
428 Views
Kujitolea kwa hali na mali kwa wengine ni kujiwekea hazina ya hali na mali mioyoni mwa wanufaika wa majitoleo yako baadae. Mathalani kwenye uchaguzi wa chadema, tunashuhudia faida za kujitolea na...
0 Reactions
2 Replies
192 Views
Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", na Leo ni kuhusu uzalendo wa kujitolea kuisaidia serikali yako na nchi yako, pale unapoona imeshindwa na inahitaji msaada, je...
57 Reactions
271 Replies
17K Views
Katika Kura za maoni zilizoendeshwa na Jambo TV Kwa Nani awe Mwenyekiti wa Chadema Kati ya Mbowe na Tundu lisu , imeonesha Lisu anaongoza Lakini uchaguzi utahusisha Wajumbe 1200 tu siyo Wewe...
6 Reactions
40 Replies
1K Views
Barua hii hapa chadema wafungiwa umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani tawi la Afrika USSR
2 Reactions
30 Replies
956 Views
Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani...
1 Reactions
8 Replies
396 Views
Jana, Mbowe kwenye hotuba yake, alitumia muda mwingi kuzungumzia maridhiano. Na yeye mwenyewe alisema kuwa angetumia muda mrefu kuongelea maridhiano. Kwa hotuba ile ya Mbowe, ni dhahiri chini ya...
8 Reactions
17 Replies
596 Views
Watu wanaoilinganisha CHADEMA na CCM wanakosea na wana uelewa duni wa siasa . Kimuundo au kiutendaji huwezi kuipima CHADEMA dhidi ya CCM, haifai kulinganisha hivi vyama kwa mambo hayo. Utofauti...
2 Reactions
4 Replies
162 Views
Dunia ilimsikia Magufuli akimuahidi Lissu Cheo, akawaomba hadi wazee wa Singida waongee na kijana wao. Leo Mwenda zake ameenda zake, hatukumsikia Lissu akiirudia kauli ile ya Magufuli ili...
4 Reactions
9 Replies
286 Views
Mpaka sasa watumishi wa umma wengi wao wanaochukulia mshahara NMB hawajapata mishahara wakati wanaochukulia mshahara Bank zingine walishapata tangu juzi Jumamosi. Kuna nini hapo?
1 Reactions
7 Replies
326 Views
Ndani ya miezi miwili yakusanya shilingi bilioni196 ikiwa ni zaidi ya kiasi kilichokusanywa katika mwaka wa fedha 2015/2016 cha shilingi bilioni 161 Waziri Mavunde apongeza Maafisa Madini Wakazi...
0 Reactions
2 Replies
212 Views
Kumekuwa na tetesi viungani kwamba Lissu kaamua "kurusha taulo" na anaomba refa amalize pambano, kulikoni? Kwamba anataka Wenje ajiondoe kugombea umakamu, na yeye ajiondoe kwenye uenyekiti arudi...
1 Reactions
20 Replies
742 Views
Kwakuwa Watanzania tumeshindwa kupambana dhidi ya kila uovu unaofanywa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA na sasa kwenye kuhujumu wagombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa...
3 Reactions
8 Replies
438 Views
Za ndani kuna mkakati unaandaliwa chadema kubebeshwa tuhuma za utekwaji na mauaji ya Mzee Wetu Ally Mohammed Kibao na viongozi wa CHADEMA watakamatwa na CHADEMA itafutiwa Usajili sababu kuna wana...
0 Reactions
8 Replies
340 Views
Sekta ya madini ni muhimu kwa uchumi wa Tanzania, ikichangia kwa kiasi kikubwa katika Pato la Taifa na ajira. Mchango wake uliongezeka hadi asilimia 9 mwaka 2023 kutoka 7.3% mwaka 2021, na kuunda...
1 Reactions
10 Replies
545 Views
Back
Top Bottom