Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mbowe alishaonyesha kila dalili ya kung'atuka.Gia imebadilika baada ya kauli tata za TL. TL katoka Ulaya na wala hakufika ofisi za chams kwanza tuhuma kuwa hakuna maandalizi ya uchaguzi. TL kama...
1 Reactions
1 Replies
129 Views
Habari zote kuhusu Mbowe kung'ang'ania madaraka zipo humu, kwa hiyo hakuna haja ya kurudia. Nimekuja hapa kutoa taarifa tu kwamba nimeshtukia hii deal ya Mbowe na CCM. Sisi sio wajinga wa kufanywa...
44 Reactions
124 Replies
2K Views
..Mashaka yangu ni hayo? ..genge la Mbowe linaelekea kudharau hisia, na akili, za Watanzania. ..kuna viashiria vya Mbowe na genge lake kutaka kuwarudisha Covid-19 katika chama. ..wanajijali wao...
6 Reactions
42 Replies
898 Views
Kwa hakika ulianza vizuri na sifa za dhati tukakumwagia. Hauna mtu wa kumlaumu, bali huku ndiko uliko tuchanganya: 1. Kauli yako kuwa katiba mpya isiwe kipaumbele chetu (wakati wewe ni mnufaika...
23 Reactions
94 Replies
8K Views
Kama Makonda alitoa kauli ambayo sio ya SERIKALI, ni nani anapaswa kuikana ? Ni Mchengerwa au Gerson Msigwa. Kikawaida ? , Ukitizama vizuri ndani yake kuna chuki kubwa dhidi ya Utendaji wa...
20 Reactions
113 Replies
6K Views
Naomba kutamka rasimu kuwa sina imani tena na Mbowe na ni wakati sahihi wa mimi kuachana na CHADEMA ya Mbowe(labda Lissu ashinde). Sitaraji uchaguzi wa haki katika kwa nafasi ya Mwenyekiti na...
56 Reactions
148 Replies
3K Views
Wakuu, Mbowe anasema wanaosema aachie madaraka wakome, hajachoka, bado ana nguvu za kutosha na kuweza kufanya mikutano 8 kwa siku bila kula, kama kuna mtu ana nguvu kama yeye ajitokeze. Mbowe...
6 Reactions
96 Replies
2K Views
AWESO AIPANGUA DAWASA, AIWEKA CHINI YA UANGALIZI MAALUM Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA), Kiula Kingu akae...
2 Reactions
56 Replies
3K Views
Wakuu naomba kwa yeyote anayejua anisaidie namna ya kuhama kutoka kuwa mtanzania wa Tanzania bara na kuwa mtanzania wa Zanzibar yaani kuwa mzanzibari Nataka kuwa mzanzibari wa kuhamia ili niwe na...
21 Reactions
62 Replies
2K Views
Tatizo liko wapia haswa na lilianzia wapi pale chadema? au nani amemuona mwingine ni tatizo pale chadema kwenye harakati za mageuzi? na kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa, kwa viongozi wa aina...
3 Reactions
36 Replies
677 Views
Chadema kama cha Kikuu cha Upinzania Tanzania kimeiva na kiko tayari kuongoza nchi, Umma kwa asasa unakiamini, na hata wafanyamaamuzi kwa sasa wanakiamini chama hiki. Kisiasa Chama cha siasa...
19 Reactions
62 Replies
6K Views
Twende taratibu, Leo baada ya kukamilisha zoezi la kampeni kwa muda wa miezi miwili, naomba nitoe upembuzi wa kiutafiti kwanini Tundu Lissu atamshinda kwa mbali John Magufuli. Iwe kwa tume hiihii...
45 Reactions
84 Replies
8K Views
Nimeona watu wanashangaa polisi kuja na taarifa za mtu aliedhaniwa katekwa kuwa kafa kwenye ajali ....siko hapa kuwatetea polisi ..wala kushutumu lakini ningependa kuongea Kwa uzoefu wangu...
48 Reactions
107 Replies
3K Views
Umakini unahitajika wizara Tatu, upigaji wa Rostam Aziz na kutumia picha alizopiga na Rais kutisha wawekezaji wazawa. (1). Wizara ya Kilimo, wizara hii sitashangaa na sikushangaa sakata la sukari...
1 Reactions
13 Replies
758 Views
William Lukuvi- Miaka 30 Job Ndugai-Miaka 25 Mussa Zungu-Miaka 20 Ahmed Shabiby-Miaka 20 George Mkuchika-Miaka 20 George Simbachawene-Miaka 20 Luhaga Mpina-Miaka 20 Maida Hamad Abdallah-Miaka 20...
5 Reactions
21 Replies
940 Views
Wanabodi, Mada kama hii niliileta 2015 Kuelekea Octoba 2015: Je, Sasa ni Wakati wa Media Zetu Kufanya Endorsement ya Wagombea? Mfano mzuri wa endorsment ni huu...
3 Reactions
16 Replies
522 Views
Rostam Aziz anasemekana kuwa na kampuni hidden 80, kweli una nia njema na Serikali ya Dr. Samia una kampuni zaidi ya 80 za siri why? Lazima Rostam Aziz aangaliwe watanzania tusije kulia mbeleni...
14 Reactions
91 Replies
5K Views
Nipo live naona Mbowe anafanya maandamano muda huu kwenda kurudisha fomu. Ila nimejiuliza imekuaje Polisi wameruhusu haya maandamano?. Ninaanza kuhisi ipo siku Lissu ataanza kupigwa vita na Polisi...
23 Reactions
151 Replies
4K Views
Wakuu habari za Dominica, Moja kwa moja na mimi nawiwa kuwamegea kile ambacho nimekigunduwa baada ya Mbowe kutangaza kugombea nilipita mitandaoni na siri ni hii, usifuate mkumbo. Freeman Mbowe...
20 Reactions
94 Replies
3K Views
Katika mwanasiasa mwenye wafuasi wengi hapa tanzania ni lissu yaani kama itatokea Leo akaanzisha chama chake basi kitakua na fanbase kubwa sana kuzidi vyama vyote nashangaa anaendelea kupoteza...
20 Reactions
115 Replies
2K Views
Back
Top Bottom