Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Watu wa mara ni watu strong sana sina wasiwasi nao, heche amesema watanzania wanatakiwa kupata CHAMA mbadala kitakacho pinga Rushwa kwa vitendo. Na amesema ataoa msimamo wake hivi punde. Mungu...
1 Reactions
9 Replies
445 Views
Husika na maada tajwa hapo juu, Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu...
8 Reactions
72 Replies
2K Views
Ila hii dunia ina watu Waongo jamani Yaaani mfano humjui kabisa Muhozi Mu7 kisha unatambulishwa tu direct unaanza kushusha malalamiko dhidi ya Yoweri Uongo mwingine uishiage huko huko Ufipa...
5 Reactions
24 Replies
896 Views
Hahahaha! Nimeona niwasalimu kwa kicheko. Miaka kadhaa iliyopita, ndugu zangu ambao baadhi Yao ni wananafasi za uongozi huko CCM walikuwa wakichukizwa Sana na Tabia yangu ambayo kwao waliona...
0 Reactions
9 Replies
242 Views
Licha ya kwamba ni uhuru na haki ya kila mwana CHADEMA kuwania nafasi ya uongozi kulingana na sifa, vigezo na masharti ya kikatiba yaliyopo ndani ya chama hicho. Je, ni nani hasa wa kulaumiwa kwa...
1 Reactions
26 Replies
639 Views
Kuna habari za kuaminika kabisa,kutoka kwa chanzo tiifu sana ambacho kina ukaribu wa hali ya juu mno na hawa Miamba mitatu……chanzo kinasema kuna makabrasha tayari yapo mezani na Mzee wa “ubweche”...
17 Reactions
83 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu Kwa kauli hizi ndugu zangu, kuna sababu ya mtu mwenye akili timamu kuacha kushabikia mpira kweli?
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Habari ndio hiyo toka kwa mie Kagoshima. Tusichoshane. Japo nimewahi kuwa na kadi ya ccm chuoni kama fashion, Sijawahi kuunga mkono chama kingine zaidi ya chadema.. mwisho wangu itakua siku huyu...
2 Reactions
7 Replies
224 Views
Hii nchi usimtegemee Mwanasiasa na Pia ukiwa Mwanasiasa usimtegemee kijana mwenye njaa kwenye harakati zako..
8 Reactions
18 Replies
280 Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali la tathmini kuhusu upinzani kuweza kuchukua nchi uchaguzi wa 2020. Kwa upande wa huku Tanzania Bara, ulizungumzia upinzani ni unazungumzia Chadema, hivyo hili...
26 Reactions
309 Replies
28K Views
Wakuu, Na Msigwa alianza hivi hivi, baadaye tukasikia huyoooo anazima nyingine na kuwasha kijani! ===== Mbowe anasema serikali ya nusu mkate haijawahi kuwa ajenda ya chadema mahali popote, yeye...
2 Reactions
8 Replies
505 Views
Mimi nilikuwa muumini makini wa Chama makini cha upinzani kilichojijenga taratibu mpaka kuonekana kuwa pengine kinaweza kuwa mbadala wa CCM. CHADEMA ilikuwa taratibu bila misukosuko mingi mpaka...
20 Reactions
212 Replies
22K Views
Leo ndio tumekamilisha Awamu ya kwanza Kwa mafanikio makubwa Hongera sana Lucas Mwashambwa, chiembe na @tahtah Kwa kazi nzuri ya kupambana hadi Freeman Mbowe kakubali kubakia Madarakani Sasa...
2 Reactions
6 Replies
222 Views
Wakuu, Kuna vitu bila kujitoa akili huwezi kufanya :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: yaani kijana barobaro na akili zako unapita na kuhamasisha watu kuchagua ubwabwa! Kupata taarifa na...
1 Reactions
2 Replies
274 Views
Mchungaji Msigwa ametangaza kwamba makubaliano yameshafikiwa kwamba CCM iendelee kuongoza na Jemedari hatabadilishwa katikati ya Vita hivyo Mpendwa wetu Mh Rais Samia ataendelea hadi 2030 bila...
0 Reactions
5 Replies
177 Views
Hiyo ndio Falsafa yao kuu tofauti na chama dume CCM kinachoamini Katika kuachiana madaraka ya Uongozi Baada ya kumsikiliza Mbowe Leo ni Mtu Mpumbavu tu atakayemshutumu Shujaa Magufuli na Job...
5 Reactions
11 Replies
247 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe, kwa mara nyingine ameibuka kidedea baada ya kutetea kiti chake kwa ushindi wa kura 118 kati ya 120 katika uchaguzi uliofanyika...
1 Reactions
4 Replies
309 Views
Huu ni Mwaka wa Uchaguzi kwa Chadema na Katiba ya chama inampa haki Mwenyekiti wa sasa kugombea tena Nani ana ubavu wa kupambana na Freeman Mbowe kidemokrasia Kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki...
1 Reactions
32 Replies
1K Views
Wadau salaam.. Baada ya Mh Tundu A. Lisu kuonyesha nia ya kuwania nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa tumeona mambo mengi na matamko mbalimbali, matamko mengi ambayo hayakutegemewa ni namna Lisu...
7 Reactions
19 Replies
775 Views
Salaam, Shalom!! Nimesoma Uzi ulioletwa na Roving Journalist unaohusu jibu la TUNDU Lisu kukanusha tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na mwana JF. Soma: Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na...
4 Reactions
61 Replies
2K Views
Back
Top Bottom