Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Baada ya kina boni yai,yericko, Ntobi kuleta ubwanyenye miaka nenda Rudi. Nimefuraha tangu juzi Vijana wengi wa kamati kuu wameinuka na kupambana live, mpaka kina Boni Yai ambao wanahisi wao ndio...
2 Reactions
4 Replies
254 Views
Tangu mwaka 1992 hadi sasa katika makatibu wote wa CHADEMA ni Dokta Slaa pekee alikuwa na msimamo na speech zenye msisimko. Mashinji na Mnyika ndiyo wauza sura zaidi hawana ishu.
2 Reactions
12 Replies
377 Views
Popote ulipo Abdul njoo hadhani kwa kuitisha press useme ukweli juu ya fedha za mama Abdul. Tundu Lissu na Wenje wameshasema ya kwao kuhusu fedha za mama Abdul. Sasa ni zamu yako na wewe kusema...
1 Reactions
1 Replies
167 Views
Ukifuatilia mitandao ya kijamii utagundua CHADEMA ndicho chama chenye wafuasi au wapambe wengi sana katika mitandao ya kijamii nchini, katika hili utakosea sana ukifikiri uwakilishi mitandaoni...
15 Reactions
39 Replies
846 Views
2025 , kuna dalili nyingi sana ambazo zinaonesha kuna uwezekano wa Upinzani kuchukua dola . Kuna dalili 2025 kuna wana CCM kindaki ndaki wataihujumu CCM Kuna dalili 2025 vyombo vya dola vikawa...
10 Reactions
47 Replies
1K Views
Watu wanao taka Lisu awe Kiongozi ni kwa kutaka awaandamaie wao wenyewe wakiwa wamekaa kwenye Tv. Kenya kinacho wafabya wakina Raila Odinga na wengineo watambe ni Raia wa Kenya. Wakenya hata...
3 Reactions
3 Replies
223 Views
Matukio, mwenendo na mitazamo ya wengi kwa sasa yamejikita kwenye mchakato wa kupata Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA. Tunachokiona kwa sasa nimnyukano mkali ambao ulianza kama tetesi na hususan...
3 Reactions
24 Replies
439 Views
KWELI KUNA WANACHADEMA HAMNAZO. UTAWEZAJE KUPIGANIA HAKI BILA KUWA NA KIONGOZI MWANAHARAKATI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa kweli Wanachadema wamenishangaza Sana. Uchaguzi huu...
16 Reactions
81 Replies
1K Views
Wakuu salam, kila mmoja kwa imani yake wajf popote mlipo. Leo ni leo vipenga kwa pande zote vimelia ,Mbowe anagombea ,lissu anagombea kazi kwenu wajumbe kutuletea mtu Mhimu kwa wakati muhim...
2 Reactions
1 Replies
191 Views
Waziri Mchengerwa amethibitisha kwamba yeye ni mwanasheria. Ameiletea sifa kubwa taaluma yake ya Sheria. Baada ya Makonda kuwapomgeza wananchi waliokuwa wanawadhalilisha viongozi wao, Mchengerwa...
10 Reactions
46 Replies
3K Views
Mbowe kutangaza tu kuwa atagombea tayari kuna wanachama mmetangaza kukiacha chama!, hata uvumilivu hamna!. Kwani wapi amevunja sheria ya kwamba haruhusiwi kutangaza nia yakugombea..? Hata hivyo...
3 Reactions
6 Replies
200 Views
Baada ya Mh Mbowe kutangaza rasmi kuwa atagombea Uenyekiti wa chama, naahidi kumpigia kampeni Lissu mpaka ashinde. Na nikiona anafanyiwa figisu nitamshauri ajitoe awe mwanachama wa kawaida.
2 Reactions
2 Replies
325 Views
Lisu hajui katiba ya Chadema katiba haitoi ukomo wa kiongozi na yeye kama kiongozi alipitisha kwenye vikao akiwa mmojawapo wajumbe Sasa anaposema ohh Mbowe kakaa sana atoke ana maana gani? Kwa...
0 Reactions
6 Replies
145 Views
Analalamikiwa mtu mmoja tu mpokeaji RUSHWA lakini MTOAJI hasemwi hiyo iko sawa?Au siasa za kuchafuana
1 Reactions
0 Replies
61 Views
***** 1.Kanda ya kusini yenye mikoa ya Ruvuma Mtwara Lindi ni kanda ya mwisho kabisa kwenye akili za Mbowe au haipo kabisa ni muda sana aliamua kuizika kwa kuingia biashara ya jumla na wapinzani...
0 Reactions
4 Replies
276 Views
Heh! Mama Fatma kafunga safari kutoka Zanzibar hadi Arusha kumpongeza tu au kuna ujumbe mwingine kampelekea? Mama Fatma Karume amefika Mkoani Arusha mapema Jumamosi ya Disemba 21, 2024 na...
1 Reactions
0 Replies
142 Views
Yaani Mtoto wa Rais ndio unaenda kumuuliza Tundu Lisu atalipwaje Madai yake? Huo ndio utaratibu kweli? Halafu Chadema wanatamba kushika DOLA wakati Hakunaga wanachojua? Hapa sitawalaumu polisi...
7 Reactions
105 Replies
2K Views
Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome. Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035. Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha...
20 Reactions
235 Replies
14K Views
NIlikuwa nasikia tu na kuona kwenye TV aisee MH mama SAMIA kwa treni hii niliyopanda dar n Moro baadae Moro Dom MH mama una mi 5 Tena inakusubiria MUNGU akupe uhai na upendo WA kuendelea...
3 Reactions
11 Replies
287 Views
Mpo Salama kabisa! Naona Team Lisu mmekwaza, mmekata tamaa lakini pia Wanachadema ambao sio team Lisu lakini mnahitaji mabadiliko mapya na uongozi wenye mawazo na mbinu Mpya. Poleni Sana. Ndivyo...
1 Reactions
8 Replies
280 Views
Back
Top Bottom