Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hao ndio CCM bhana wako busy na uchaguzi mkuu ujao Chadema wanagombania vyeo uchaguzi ukifika wanadai wameibiwa kura 😂 Dr Nchimbi amewapongeza Bashe na Kigwangalla Kwa namna wanavyoshirikiana...
6 Reactions
17 Replies
489 Views
Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu...
39 Reactions
155 Replies
4K Views
Uchaguzi ndani ya chadema umeonyesha sura halisi ya Mbowe na wafuasi wake, nimeshanga sana kusikia Mbowe anasema" eti akiona CHAMA kinazamishwa anaingia mzigoni" wewe kama nani? Mwenye hati miliki...
10 Reactions
72 Replies
2K Views
Kwa hali ilivyo wananchi na wanachadema wote wanaomba uchukue fomu kwa ajili ya Makamu Mwenyekiti. John unazo sifa zote kuliko Wenje na mwingine yeyote kwa nafasi hiyo. Ni mwanachama Asili wa...
2 Reactions
6 Replies
384 Views
Kwani walikuwa awajui kwamba kuna wanachama wao wameanza kampeni? Lakini mbona kama njia zao maana tumeshuhudia baadhi ya viongozi wakubwa nao wakijipigia kampeni mapema! ================ Chama...
0 Reactions
1 Replies
258 Views
Ndugu zangu , nawasalim tena , kila mmoja kwa imani yake wanajf popote mlipo. Ndugu zangu, mada hapo juu yajieleza. Binafsi sikukuu kwangu ni jambo muhim sana, ila nimejikuta nimekua zezeta...
11 Reactions
37 Replies
1K Views
Uchaguzi ndani ya vyama vyote kugombea uenyekiti ni mgumu kuliko urais sababu unatakiwa kuwa na network kubwa ndani ya chama kuku support upite uongozi wa chama Lakini ugombea uraisi waweza okota...
1 Reactions
5 Replies
137 Views
Wanabodi Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu haki zao na wajibu wao. Kujitolea kuwa mwalimu somo la katiba, na sheria...
28 Reactions
80 Replies
3K Views
Vyama vya siasa asilimia kubwa vimekuwa na uongo mwingi sana, je, serikali haioni umuhimu wa kuwa na mgombea huru, ambaye hana chama cha siasa. Nimepitia CV ya mtu anajiita Tundu Lissu nimeona...
5 Reactions
12 Replies
286 Views
Nape amefutahishwa na ukiri wa Mwenyekiti wa Chadema Mh mbowe kuwa Maridhiano yameleta Faida kubwa sana Kwa Wananchi Nape amemquote Mbowe " mtu ambaye baba yake alifungwa Jela maisha Leo...
3 Reactions
8 Replies
478 Views
Moja ya mambo ambayo huwa ni ngumu kwa mwanadamu, " ni kujua muda na nyakati sahihi kwenye kutofanya au kufanya aina Fulani ya mambo. Nyakati au muda Fulani uamua kifanyike kipi na kipi...
5 Reactions
6 Replies
211 Views
Mwisho wa mwaka huo unaelekea ukingoni. Leo tutaangalia baadhi ya wanasiasa waliojitahidi kuzingatia miiko ya siasa kwa kutanguliza maslahi ya raia (wananchi) mbele bila kuzingatia maslahi yao...
4 Reactions
28 Replies
601 Views
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kitowo Kijiji cha Mengwe Juu wilayani Rombo mh Augusta Lyakurwa kupitia Chadema amekihama chama hicho na kutimiza CCM Lyakurwa amesema Upweke ndio umemfanya ahame...
2 Reactions
27 Replies
540 Views
Ezekia Wenje amekiri mwenyewe kwamba kuna video recording ya mjadala wa tuhuma dhidi yake na wenzake kupokea pesa za Abduli na mama yake. Ni kweli. Walirekodi kikao hicho chote kwa video. Ili...
6 Reactions
69 Replies
2K Views
GTs, Hakika ukiyasikia ya miaka hii ya utumishi wa umma na kustaafu utashangaa hivi kwanini watu wanang’ang’ania ofisini baada ya muda wa utumishi kuisha? Kuna mtumishi mmoja hapa Dar alistaafu...
10 Reactions
27 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu kachukua fomu kugombea uenyekiti wa chama. Mwenyekiti anayemaliza muda wake, Freeman Mbowe nae Leo katangaza nia ya kugombea uenyekiti. Ajabu ni kwamba wafuasi...
2 Reactions
8 Replies
311 Views
Mwaka huu chadema waliandaa maandamano Dar el salaam. Ni Mbowe na binti yake tu ndio waliandamana. Hakuna cha Lissu, Mwabukusi, Heche wala Pambalu. Hao wanaojitutumua kwamba wanapenda mabadiliko...
0 Reactions
33 Replies
438 Views
MBOWE wa CHADEMA ametangaza kuendelea kugombea nafasi ya uenyekiti Taifa CHADEMA. Najaribu kujiuliza... (1) Je, akikabidhiwa na wananchi kiti cha urais wa JMT kupitia chama chake atakubali...
2 Reactions
16 Replies
503 Views
Njaa mbaya sana kosa yootee sio njaa KUNA wah walienda kwa mwenyekiti WA chadema wakitaka agombee tenaa. Wale jamaa ukiangalia kuanzia sura zaoo na maneno yao. utaona Hawa jamaa waganga njaa...
5 Reactions
18 Replies
527 Views
Kuendelea kuwa CHADEMA kuipinga CCM inayobadili Mwenyekiti wake wa Taifa kila miaka 10 wakati wangu anamiaka 21 madarakani. Je, nihamie chama gani?
4 Reactions
18 Replies
412 Views
Back
Top Bottom