Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kijana Deus Soka umeipambania Chadema kwa jasho na damu. Mara kadhaa umekaa jela, umepigwa, umeumizwa umepitia madhila mengi ukiamini unapigania mabadiliko ya kweli. Ulikuwa mstari wa mbele...
0 Reactions
11 Replies
527 Views
Hanang watu wamepata majanga serikali ya Samia imejenga nyumba na kuwakabidhi waathirika. What love is this? 💝💝 Magufuli angewaambia kwani Mimi ndio nimeleta majanga. Refer tetemeko la ardhi...
2 Reactions
22 Replies
653 Views
Wakili msomi maarufu Nchini Tanzania na ambaye mara zote hujizolea sifa kemkem kwa uhodari wake asimamiapo kesi za Wana-CHADEMA na hususani Viongozi wake inaelezwa ame-wataarifu watu wa karibu...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Nyote mmejionea kilichotokea leo kuwa siasa ni uongo . So usiandamane , usimwage damu na kutukana MTU kisa siasa.
2 Reactions
7 Replies
235 Views
Siku chache zijazo, waumini watasherehekea kuzaliwa kwa Yesu aka Kristo aka Issa Masihi aka Mwana wa Joseph aka Mwana wa Maria aka Issa bin Mariam aka Son of Man aka Mwana wa Adam aka Mwana wa...
2 Reactions
23 Replies
647 Views
Lema ameandika Ukurasani kwake X Lala salama my brother Alphonce Mawazo Ameweka video clip tumejikuta Wote tunalia japo tupo Bar Yaaani Chadema 🐼🐼🐼
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Kumekuwa na mjadala unaoibuka na kufa kila mara. Nao si mwingine bali wa kuruhusu uraia pacha katika Tanzania. Serikali imekuwa ikipiga danadana wakati huo ikipigia chapuo uwekezaji wa watanzania...
0 Reactions
0 Replies
150 Views
Mara paap ghafula bin vuu unakutana na Abdul ,mtoto wa Rais somewhere kwenye function tusikokujua sisi watazamaji kufumba na kufumbua ukataladadi umekaa na kijana amevaa kanzu.wewe Wenje mara...
2 Reactions
3 Replies
306 Views
Nashangaa sana wazee wa mwanzoni akina Mtei na Makani walifanya uenyekiti wa CHADEMA kama nafasi huru hawakutaka kukaa madarakani mpaka waondolewe kwa nguvu. Kwa Sasa ni CHADEMA imejenga mtindo wa...
9 Reactions
20 Replies
499 Views
Am still trying to figure out why ? Wanachama wa CCM asilimia Kubwa kama sio wote wanapambana kuhakikisha FAM anabaki kua Mweyekiti. Ninawaza tu yaan katika Siasa ya Vyama zaidi ya 15 vyenye...
1 Reactions
5 Replies
211 Views
Mda ndio huuu Msisubiri sijui uchaguzi ufanyike Wale mnaotoka CHADEMA hamieni CCM. Nafasi zimebaki chache Na hiii kujitoa sijui kwenye kamati flan iendane na uhamisho WA jumla Unajivua uongozi...
1 Reactions
6 Replies
145 Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la pongezi kwa jeshi letu la polisi. Wewe kama ni mmoja wa wale wenye allergy na pongezi zozote kwa awamu hii ya tano, naomba nikushauri, uishie hapa ili tusiharibiane...
28 Reactions
168 Replies
17K Views
1. Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019. Katika uchaguzi huu, Wagombea wote wa CHADEMA walienguliwa. Freeman Mbowe hakuongoza mapambano ya kufa na kupona ili kupigania haki( Mfumo ulimpa chake...
2 Reactions
15 Replies
465 Views
Siku zote huwa nawaambia vijana fanyeni siasa, fanyeni ushabiki wa kisiasa, wapendeni viongozi wa kisiasa lakini kamwe msije kujitoa mhanga kiasi kwamba mnahatarisha maisha yenu kuwapigania...
1 Reactions
5 Replies
183 Views
Kizazi cha 1940-1989 hiki ndo kizazi cha hovyo kuwahi kutokea. Utawakuta akina Lipumba Mbowe Dr slaa Mkwele Jiwe Chenge Makonda Kiufupi kizazi kitakacholeta mapinduzi ni hiki cha 1990s Umu...
6 Reactions
25 Replies
588 Views
Wahenga walisema ukweli huwa una tabia ya kuchelewa lkn siku ukifika huwa uwongo unakimbia kama giza kwenye mwanga. Waathirika wa kusingiziwa kuwa ni wasaliti ndani ya chadema hatimaye leo...
8 Reactions
16 Replies
578 Views
Nawaza tu Kuna wakati vyama 6 vya Siasa vilikuwa na Ngome Moshi Kilimanjaro lakini sasa imebakia Chadema peke yake 🐼
1 Reactions
4 Replies
195 Views
Naona kuna wimbi la wasusiaji wa Chadema hasa wale wanaharakati kwasababu wanataka Lissu awe mwenyekiti. Hata mimi nafikiri ni wakati Lissu angetakiwa kuwa mwenyekiti lakini tupiganie sababu za...
4 Reactions
11 Replies
423 Views
Kuna hiki kitabu Honest to My Country by Candid Scope Jina ambalo ni pen-name, je kiuhalisia ni Nani? Alikuwa mwanasheria kwa mujibu wa maelezo kwenye kitabu
0 Reactions
5 Replies
179 Views
Back
Top Bottom