Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wasamalia wema wamevujisha Taarifa hii kwa Katibu Mkuu wa Chadema, Kwamba Watu wa Mfumo wametumwa kuvuruga Uchaguzi wa Chadema kwa faida ya Mamluki anayewatuma Taarifa kamili hii hapa Nimepata...
17 Reactions
82 Replies
2K Views
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar. Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
10 Reactions
358 Replies
15K Views
RC Chalamila leo 23 Desemba, 2024 akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Johari Rotana iliyopo jijini Dar es Salaam amewataka Watanzania kuwa wavumilivu kuhusu suala la mauaji ya Mzee...
0 Reactions
2 Replies
245 Views
Ndugu zangu, hapa nilipo nabubujikwa na machozi ya furaha baada ya mjomba wangu kufanikiwa kukomboa kikoba cha ukoo kilichokuwa kwenye hatihati. Wanachama wa kikoba tafadhali malizieni ada zenu...
7 Reactions
15 Replies
492 Views
Wana jf (hasa wabangaiza wezangu) amani ya Bwana imetawala ,kila mmoja kwa imani yake . Mada hapo juu yahusika . Mimi kama mbangaizaji wa kila siku ,tafadhali sana naomba mwaliko wa sikuu kwa...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Ni mambo yakikuda sana wanayofanya makamabda wa CHADEMA. Eti ebu wewe mwenyewe fikiria. Mbowe aliitisha maandano ya kupinga kutekwa na kuuawa kwa wananchi ila cha ajabu hakuna kamanda hata mmoja...
3 Reactions
27 Replies
858 Views
Wanaomfuatia ni pamoja na Lipumba. Subirini mtaona mengi.
4 Reactions
30 Replies
606 Views
Ila sasa ni afadhali Mno vile Vyama 14 Vya upinzani kwani urafiki Wao na CCM siyo wa kificho Chadema Mchana wako Ufipa na Usiku wako Lumumba Ndani ya Tashrif naelekea Monduli kula Christmas 😄🌹
0 Reactions
3 Replies
125 Views
Ndivyo alivyosema hayati Lyatonga Mrema baada ya kuhamia Nccr Mageuzi akitokea CCM Sijajua huo Ukabila aliouhofia ni wa Jamii gani? Ahsanteni sana 😄
0 Reactions
2 Replies
145 Views
Siasa ni mchezo mchafu. Vita vya kiti cha Uenyekiti chadema kati ya chawa wa pande mbili ni vita vilivyotengezwa na Tiss. Wakiwatumia vijana wao kuna yeriko. Ni vita vya kupigania pesa za rushwa...
0 Reactions
1 Replies
173 Views
Hii nchi tunakwama pakubwa mno, tunakwama sana kama Taifa. Alfred Mutua acclunt yake, angakia tu profile photo. Account hio ya Riziwani Kikwete angalia Profile Photo yake, ina zungumza yenyewe...
32 Reactions
218 Replies
6K Views
Haya ni maoni yangu binafsi, Mimi nimekua mkereketwa wa Chama hiki nikiamini kua ni chama cha ukombozi, nimekua nikishiriki harakati japo kwa ngazi ya chini, tukipiga kura. Tunabaki kulinda...
6 Reactions
15 Replies
435 Views
Huu ndiyo ukweli mchungu na ndiyo maana labda hata TBC taifa ikawepo kuuhabarisha umma: Mbowe anaashiria maridhiano yalikwama kwa sababu ya negative energy kutoka Chadema “team Lissu.” Kwa...
2 Reactions
7 Replies
385 Views
Ndugu wana JF, Ni ukweli usiofichika mpaka sasa CHADEMA imeshaingia kwenye mtego wa CCM na kazi nzuri iliyofanywa na watu ambao ni very smart na kwa uangalifu mkubwa ni kama imeshamalizika ikiwa...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Kuhusu Mbowe, Mandela, Nyerere na Maalim Seif... Mlisoma kitabu cha Nelson Mandela cha The Long Walk to Freedom, kiongozi huyo wa zamani wa ANC na baadaye Afrika Kusini anasema wakati alipoanza...
0 Reactions
2 Replies
240 Views
Ndugu zangu Watanzania, Huyu Mwamba apewe Maua yake tu,apewe heshima yake tu.Atambulike na watu wote angali hai kuwa ndiye Mwamba aliyetumia ujana wake wote Kuitesekea na kuijenga CHADEMA kwa...
-2 Reactions
96 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba kwa sasa upepo wa siasa unavuma CHADEMA, macho na masikio ya wengi yameelekea huko. Chama tawala ni kama wamesahaulika kwa muda, je hii ni ishara njema kwao kuelekea 2025? Nini...
6 Reactions
30 Replies
682 Views
Kwa joto lilivyo hadi sasa 2025 CHADEMA itapoteza wanachama wengi sana hasa hasa wale wenye ushawishi na huu ndio utakuwa mwanzo wa mwisho ya CHADEMA Hadi hapa walipofikia hakuna namna ya kufanya...
0 Reactions
7 Replies
238 Views
Demokrasia Imevuliwa Nguo, sura Mpya ya CHADEMA inaanika Changamoto kubwa Iliyokuwa ikifichwa na wengi ya Uongozi wa Milele imebaki wazi na Kuonekana.. Kilichotokea leo, pale FAM alipotangaza...
15 Reactions
50 Replies
1K Views
Nimeona mitandaoni na kwenye vyombo vya habari inaonekana ccm pamoja na serikali wana matumaini makubwa sana na Mbowe kuliko Lisu. Wako tayari kumpigia kampeni Mbowe na kupiga kampeni dhidi ya...
1 Reactions
10 Replies
467 Views
Back
Top Bottom