Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema...
16 Reactions
113 Replies
4K Views
Ukosoaji wake dhidi ya viongozi waandamizi ndani ya CHADEMA hususani kuhusu mambo ya rushwa na uchaguzi wa serikali za mitaa, ulionekana kama usaliti, hujuma, dharau na utovu wa nidhamu kwa...
1 Reactions
5 Replies
327 Views
❇️NEMBO (LOGO) RASMI YA UVCCM KIJANI AWARDS NA UVCCM ALUMNI FORUM! Tunaweka msingi wa kuwatambua vijana walio mstari wa mbele katika kufanikisha maono ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mustakabali...
0 Reactions
0 Replies
131 Views
Uchaguzi wa Chadema umeleta hisia kwasababu hii viongozi wengi ambao ndiyo wapiga kura wana muunga mkono Mbowe lakini wananchi wengi ambao hawana chama na diaspora wengi wanamuunga mkono Lissu...
3 Reactions
7 Replies
247 Views
Mwita Waitara akiwa Mbunge wa Ukonga aliwahi kusema Chadema inamilikiwa na Freeman Mbowe na Halima James Mdee Binafsi nilimbishia Lakini sikuwahi kufanya utafiti wowote Leo ghafla nimekumbuka...
0 Reactions
1 Replies
138 Views
Kama CCM ingekuwa na Katiba ya kurithishana isiyojali Ukomo wa Uongozi kama ya Chadema basi Leo hii Makongoro Nyerere angekuwa Mwenyekiti wa CCM na Vita Kawawa Katibu mkuu. Kamati kuu wangejaa...
8 Reactions
22 Replies
459 Views
My Take: Ukoo wa kina Manji sio vilaza na Kwa mara nyingine Wahindi wanaonesha jinsi gani ni vipanga kwenye sekta ya Afya na Hesabu. Hongera Prof Karim Manji Kwa kuitangaza Tanzania na Muhimbili...
13 Reactions
32 Replies
3K Views
Ile safari ya ujenzi wa demokrasia kuanzia vyamani inakwenda vyema. Kwamba sasa ni rasmi kuonja sumu kwa ulimi ni kapuni. Haya ni mafanikio makubwa kwani tuliko toka ni mbali! Hapa tulipo...
4 Reactions
40 Replies
728 Views
MBUNGE WA JIMBO APONGEZA VIJANA 32 WA MUSOMA VIJIJINI WALIOTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA BUTIAMA HADI MWANZA Leo ilikuwa siku ya Kikao cha Baraza la Vijana wa CCM (UVCCM) wa Wilaya ya Musoma Vijijini...
1 Reactions
5 Replies
179 Views
* Zitto amekaa muda mfupi na kupisha mwingine bila mabishano; * Mbowe wa CDM amekaa miaka mingi na hana utayari wa kuamini kuwa wapo wengine wawezao kuongoza CDM; CCM izidi kuwafundisha CDM...
1 Reactions
6 Replies
210 Views
Alianza Makala (Katibu wa Itikadi CCM) kutabiri "laja varangati la haja ndani ya Chadema." Na kweli utabiri huo umetimu. Uzuri wa CCM hukutumia na wakijridhisha huna madhara-wanakutupa kama ganda...
2 Reactions
8 Replies
404 Views
Ni kwa kutoa kauli kuwa Rais Kikwete ni dhaifu! Amekataa kufuta kauli yake na ametolewa nje ya Ukumbi.
14 Reactions
740 Replies
53K Views
Wanachama wa Chadema mliomtukana Mchungaji Msigwa Press yake iliporatibiwa na TBC pale Iringa mjini pokeeni msamaha wa dhambi zenu Kutoka Kwa mchungaji Wote mmeshuhudia Leo Press ya Freeman...
1 Reactions
18 Replies
936 Views
Wakuu, Humu mitandaoni uaweza kudhani kuwa UVCCM haina wanachama hai lakini hawa jamaa wana nyomi la kutosha. Hapa sijui ni watu wamefuata muziki au wamemfuata Mwenyekiti wa UVCCM, Kawaida...
3 Reactions
10 Replies
252 Views
Kama CCM safi, inaogopa nini? Lula wa Ndali-Mwananzela Januari 21, 2009 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo HIVI ukimuona mtu kwa mbali amevaa suti nzuri yenye rangi ya kupendeza, amevaa...
0 Reactions
59 Replies
7K Views
Lissu anawauliza wanachama, je ana uhakika wa kushinda? https://x.com/Lissu_2025/status/1870095911273091442/photo/1
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Ratiba Kamili Ya Uchaguzi Wa CHADEMA Taifa. Katibu Mkuu anawatangazia wanachama wote kuwa kutakuwa na uchaguzi wa viongozi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa utakaofanyika Januari, 2025...
3 Reactions
4 Replies
810 Views
Kikawaida kinachomweka MTU madarakani au kumpa kibali huwa ni nature . Na nature huwa inazungumza na watu Kwa majira tofauti , tofauti. Hivyo nature ilimchagua Lissu na kumpitisha kuwa...
1 Reactions
8 Replies
248 Views
Wanabodi, Kwa Tundu Lissu na Freeman Mbowe uwenyekiti wa CHADEMA ni title na umaarufu na wala hauta badilisha sana majukumu ya wote kwenye chama. Mjumbe ambaye anataka kuwa mwenyekiti na hayupo...
1 Reactions
2 Replies
334 Views
Wakati wanafanya mabadiliko ya katiba na kuweka ukomo wa miaka 10 kwa vipindi vya mihula miwili vya Urais ni wazi walisahau kuweka ukomo wa vipindi vya ubunge, sasa tuna wabunge wengi waliokaa...
1 Reactions
1 Replies
92 Views
Back
Top Bottom