Wakili Msomi na Rais wa TLS Boniface Mwakubusi ameuliza kupitia mtandao wa X kama wale walioidhihaki TLS kuhusu Samia Legal Aid kama wamesema lolote kuhusu jambo fulani kupewa LIVE Coverage na TBC.
Hizi taasisi mbili za CCM na TLS ndio pekee Chaguzi za Viongozi wake hazinaga figisu
Ni taasisi zinazoheshimu demokrasia ya kuchagua na kuchaguliwa
Ahsanteni sana 😄
Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na maswali ya waandishi wa habari aliyoyajibu leo ni masterclass ya siasa za upinzani katika nchi yetu. Kuongoza upinzani sio oya oya kama...
Wajumbe najua wengi mpo humu na mnasoma haya na mnaziona harakati na vikao vya siri na vya wazi mnavyo endelea navyo huko mafichoni, sasa kama mtajichanganya shauri yenu na heshima ya chama chenu...
Mara nyingi Wanasiasa huangalia Mwisho Kwa kuanzia Mwanzo na hapo ndipo huwa wanakosea sana
Manabii huungalia Mwanzo kuanzia Mwisho
Kwa mfano CCM inaona Mbowe ni mwepesi ukiangalia Siasa za...
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa, Chadema ni chama cha Kitaifa hivyo haya yanayoendelea ndani ya Chadema katika huu mgogoro wake na...
Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya Mbowe leo kuongea na waandishi wa habari.
Tusisahau kuwa kwa sass Lissu hana tena cha kupoteza baada ya Mbowe kutangaza kugombea na kama kuna mambo...
Mbowe leo amemshangaza karibia kila mtu mwenye uwezo wa kutafakari.
Mbowe ametumia muda mrefu sana kusifia mafanikio yaliyotokana na mwafaka uliofanywa kati yake na Rais Samia. Hakuthubutu...
Ukikabidhiwa Mamlaka kamili kama Mwenyekiti wa CHADEMA rudisha Ile misingi ya kudai Haki. Sio kuomba Haki kama alivyofanya mtangulizi wako.
NB: Mwenyekiti aliyepo kila mara analia Lia kama Kada...
Kwa vile CCM huwa wanaiba agenda za CDM basi ningeshauri na hili la kuondoa ukomo wa madaraka walipeleke bungeni. Kwa vile Wabunge wanawakilisha wananchi kisha waamue kama ukomo uendelee au...
Dalili ziko wasi kwamba TLS sasa imemshinda Mwabukusi. Kuna mpasuko mkubwa na viongozi wenzake wameanza kumkimbia.
Ukimuona Mwabukusi anavyowananga wengine, unaweza kudhani anaweza hata...
KWAHERI KWA HERI NDUGU LISSU
Lissu, mwana wa siasa mashuhuri kweli,
Aliyejaa uthubutu, mwepesi wa maneno,
Kwa haki ulisimama, sauti ya wanyonge,
Leo tunakuaga, moyo mzito na huzuni.
CHADEMA...
Habari zenu wana JF wenzangu, bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada husika ili kuwarahisishia wasomaji wasiopenda kusoma maandishi mengi.
Ni hivi... baada ya mama mwenye nyumba kufanikiwa...
Hapa anajifanya anatoa ushauri na blaa blaa kibao ila yote hii ni nongwa maana Hawa ndio walitamani Kila kitu kiporomoke Ili wapate pa kumnangia mwanamke mwenzao 😁😁😁😁
Unajaribu kujiuliza hayo...
Ndugu wana bodi.
Kupitia vyanzo vyangu makini vya kimtandao nimepokea taarifa kuwa kamati kuu ya CHADEMA imefanya uamuzi kwa kupiga kura. Uamuzi wa kupendekeza nani awe mpeperusha bendera mkuu wa...
Kuna viashiria vingi vya chama chenye nguvu na wafuasi wengi. Mojawapo ya viashiria hivyo ni wingi wa watu wanaojitokeza wakati chama hicho kikifanya michakato yake ya ndani kama vile uchaguzi...
Kwa yanayotokea CDM hakika zitto anaijua SIASA na demokrasia sintoshangaa kama siku moja kitengo kitaamua kumpa nchi maana ameonyesha ni mwana demokrasia sana
Note: Ni mstaafu wa Chama chake Cha...
CHADEMA na CCM niliwaambia ni chama kimoja.
Hata huyu mnayemuita Lissu ni tajiri mkubwa tu Ila yeye alichofanikiwa ni Ku-play low key na kuendana na watu wanaoitwa wanyonge, hii mbinu pia alikuwa...
Katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo.
Mchungaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.