Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nimemsikiliza Mbowe kauli zake ktk hotuba aliyo itoa nafikiri sio yeye aliye iandika ametumika kama spika.Navyo mfahamu huko nyuma kariba yake jana nimewaza tofauti kabisa na nilivyo muheshimu...
1 Reactions
1 Replies
184 Views
*MBOWE ATOBOA MTUMBWI, UTANGULIZI Hatimaye ile habari iliyosubiriwa kwa kiu kubwa, imefikia tamati leo kwa Mwenyekiti Mbowe kutanganza kugombea Uenyekiti Chadema Taifa. Hii ni baada ya Lissu...
1 Reactions
4 Replies
219 Views
Wakuu, Wanachi Simiyu wamejichanga changa kwa mwenye mia tano, buku na zaidi na kufikisha Tsh. 553,000/- kwaajili ya mbunge na Rais Samia kuchukua fomu kwaajili ya uchaguzi 2025! Hayo yamejiri...
0 Reactions
7 Replies
361 Views
Ni raha iliyoje kuona kundi kubwa la watu likikulamba na kukunyenyekea? Hata Lissu mwenyewe anajua kuwa moto aliouwasha siyo wa kitoto ni ngumu sana kuuzima kimasihara. Wapo waliojaribu wapo wapi...
5 Reactions
17 Replies
248 Views
Habari JF ,Arusha kumenoga , kuanzia tar 28/12/2024 kutakuwa Churchill show kutakuwa na mtaa wa Bia na zitauzwa kwa bei rahisi , kutakuwa na mtaa wa Nyama Choma . Tar 31 ni mkesha mkubwa ...
9 Reactions
78 Replies
2K Views
Television ya Taifa au Radio ya Taifa hasa Taifa hili la Tanzania halirushi kitu live bila kuwa programmed. Mbowe alishapangwa na walishakubaliana nini akaongee. Hata Masheikh na Maaskofu ili...
7 Reactions
10 Replies
628 Views
Makamu Lissu amechafua kila mtu https://www.youtube.com/watch?v=K41w3m6jjT4
4 Reactions
53 Replies
2K Views
Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha kama kijana, ndugu zangu nimeiona na kushtuka Sana video inayomuonesha mh Mbowe akitutukana...
4 Reactions
202 Replies
10K Views
Leo Tundu Lissu ambaye ni makamu mwenyeketi wa CHADEMA ametangaza kuwania nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho. So sifahamu kama Freeman Mbowe naye atatangaza nia ya kugombea nafasi hiyo na kama...
2 Reactions
8 Replies
690 Views
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe alisema Maridhiano yaliwezesha Chadema Kupata Ruzuku na wakanunua Jengo la Makao Makuu Sasa miongoni mwa watu waliowezesha Maridhiano kufaulu ni ndugu yetu...
1 Reactions
4 Replies
192 Views
Ndugu zangu Watanzania, CCM ni chama kiongozi, ni chama kilichobeba Matumaini ya watanzania, ni chama kilichobeba hatima ya Taifa letu, ni bima ya watanzania na chama kilicho na heshima na...
5 Reactions
69 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amejitokeza hadharani kuwatakia Waislam wote Baraka tele za mwezi Mtukufu wa Ramadhan Ujumbe wake Muruwa huu hapa
7 Reactions
36 Replies
943 Views
Mbowe akiri kwamba 4R za Samia zimeibeba Chadema
0 Reactions
2 Replies
143 Views
Kile kiti ni zaidi ya siasa ni channel maalumu ya kufanya money laundering in anyway. Hivyo bora ufe kiti kibaki kwa mwenye nacho
0 Reactions
1 Replies
154 Views
Kiistoria, kila unapobaki mwaka mmoja au miwili kuelekea uchaguzi mkuu wa rais na wabunge nchini, ndani ya chadema kunaibuka minyukano. Hii ilikuwa kweli mwaka 2008 na 2009, kuelekea uchaguzi...
4 Reactions
13 Replies
539 Views
Ulitafakari kwa makini baadhi ya sentwsi na sababu za Lissu kuamua kuachana na umakamu hoja ya msingi kaificha. Lakini ukweli uliojificha ni hasira zake dhidi analoamini lina kiburi cha fedha za...
3 Reactions
15 Replies
877 Views
Kama ulidhani Wagombea wa Chadema ni hao waliojitokeza hadharani basi badili mawazo yako haraka sana. Taarifa mpya zinadokeza kwamba kuna kigogo mwingine mzito ndani ya Chama hicho atatangaza...
14 Reactions
111 Replies
3K Views
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Profesa Makame Mbarawa, ameipongeza Bandari ya Tanga kwa kuandika historia kwa kuwezesha kukusanya takribani bilioni 100 ndani ya miezi mitano. Hayo ni matokeo ya...
1 Reactions
2 Replies
217 Views
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum. Sasa nawataarifu...
57 Reactions
298 Replies
22K Views
UTANGULIZI Katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi mkuu, tumeshuhudia purukushani, vuta nikuvute ya ugombezi wa nafasi mbalimbali za kisiasa katika vyama, hasa vyama vya Upinzani. Zoezi hili...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Back
Top Bottom