Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwenye hotuba yake ya kutangaza kuendelea kuutaka uongozi wa CHADEMA, alisema kuwa kuna watu wanasema Mbowe amechoka, katika kulijibu hilo, akasema kuwa yeye bado ana nguvu, ana uwezo wa kufanya...
7 Reactions
18 Replies
471 Views
NIPASHE JUMAPILI MAKALA Vyombo vya habari viwezeshwe kuwatendea haki Watanzania By Pascal Mayala , Nipashe Jumapili Published at 07:50 AM Nov 24 2024 NIMEBAHATIKA kuhudhuria mkutano wa wadau wa...
2 Reactions
2 Replies
188 Views
Mwenyekiti wa chadema Mh Freeman Mbowe anesema Rais wa Awamu ya 5 Shujaa Magufuli alimuahidi Kila aina ya Cheo Lakini alimkatalia Source Jambo TV Lucas Mwashambwa muulize aliahidiwa hadi ucdf...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Siku chache kabla ya kupotea katika mazingira yasiyoelezeka, kada wa CHADEMA, Ben Saanane alifanya mambo mengi kama mawasiliano yake binafsi na pia ya chama chake. Hata hivyo, kati ya mawasiliano...
13 Reactions
48 Replies
4K Views
Wasalaam. Kufuatia kushupaza shingo kwa bwana mbowe na kuamua kugombea uenyekiti wa chadema licha ya familia yake na wazee wenye busara kumsihi asigombee nimekumbuka maneno ya Dr slaa aliposema...
20 Reactions
30 Replies
1K Views
Chadema msingi wake siyo kushika Dola bali kukamata Fursa za kiuchumi na hii ilifafanuliwa vizuri sana na muasisi wake Mzee Tuntemeke Sanga Lakini pia imefafanuliwa vizuri na Ezekiel Wenje juzi...
1 Reactions
7 Replies
262 Views
Ndugu zangu Watanzania, Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo. Amekuwa msajili tangia wakati wa...
19 Reactions
142 Replies
6K Views
Hii habari inashangaza, mtu kaona ghorofa lake ni chakavu, lina nyufa, na linatumiwa na watu na juu ni stoo ta mizigo. Kaamua kulivunja pengine ajenge lililo imara zaidi. Mkuu wa Wilaya wa eneo...
4 Reactions
11 Replies
621 Views
Japo tunaambwa Yesu alizaliwa kwa miujiza, haitwi mwana wa miujiza bali mwana wa Mungu. Waarabu wanamwita mwana wa Mariam. Ukiangalia geneology au mti wa ukoo wake, Yesu ni mwana wa Joseph. Hii...
1 Reactions
4 Replies
190 Views
Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia, Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha...
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Naona Viongozi toka Kanda ya PWANI inayoongozwa na Boniface Jacob ( Boni Yai ) wameamua kusimama kinyume na msimamo wa Mwenyekiti wao huyo. Mtakumbuka Mwenyekiti huyu wa Kanda alitoa kalipio...
3 Reactions
68 Replies
2K Views
Toka lini watu waliokuwa hawawezi hata kutangaza habari za chama miaka zaidi ya 20 nyuma Leo wanaratibu press ya Mbowe?? Hapa ndio naamini 100% mbowe ni tapeli na sio mpinzani kabisa Poleni...
39 Reactions
97 Replies
4K Views
Wakuu, Hivi kuna ulazima gani wa Tulia kwenda na media kila sehemu anapoenda kutoa misaada? Kwenye hii video anasema anaita vyombo vya habari kila anapotoa misaada ili awape motisha mwingine...
1 Reactions
6 Replies
274 Views
Prof Kitila Mkumbo: Sasa Kila Kitu Kiko wazi wote mmejionea na kusikia Zitto Kabwe: Mnara wa Babeli Mlale unono 😄
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu, Yaani Mbowe ni kama anampigia kampeni Rais Samia, maana vyote anamsifia yeye tu. Kwani hajui hayo yalifanya kwa uonevu na Rais Samia ku act right ni jukumu lake? ==== Mbowe amesema...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Nimesikiliza hotuba yote ya Ndugu Mwenyekiti F A. Mbowe. Pamoja na mambo mengi ya kushangaza katika hotuba ile ikiwemo kuonekana Mwenyekiti amekamia kukomoana, lakini binafsi nimeshtushwa sana na...
5 Reactions
16 Replies
633 Views
Nchi yetu ina Rais mmoja tu Samia Suluhu, ningeomba hizi Rais wa shirikisho au TFF zitoke, wawe na vyeo vyao. Wanapunguza heshima ya neno Rais, unakuta mtu ana vumbi, Rais hawezi kuwa na kiatu...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema Jimbo hilo lina Vituo vya Afya katika Kata za Mkuyuni...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mbunge Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale amesema kukaa kwake kimya Bungeni haimaanishi hana uwezo bali hakuna cha kuhoji jimboni Kwake. Babu Tale amesema Rais Samia anaupiga mwingi...
2 Reactions
8 Replies
624 Views
Mbunge wa Morogoro kusini mashariki Khamis Taletale aka Babu Tale amemshukuru Rais Magufuli kwa namna alivyombeba kutoka chini na kumpandisha akiwa kijana mdogo kabisa kule bungeni. Babu Tale...
4 Reactions
109 Replies
11K Views
Back
Top Bottom