Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndivyo alivyoandika Zitto Kabwe Ukurasani X Mnara wa Babeli
1 Reactions
0 Replies
201 Views
Mbowe ili uendelee kuwa Greatest of all time , usigombee Cheo chochote hapo Chadema. Taifa litakukumbuka Kwa Mambo mengi. Linda heshima yako usikubali kudanganyika . Umri wako Heshima yako...
2 Reactions
5 Replies
208 Views
PENGINE LISSU AMESHITUKIA HILO LIMCHEZO KONGWE NA ATATAKA SASA KUKIFANYA KIWE CHA UPINZANI HALISI CDM walioganda na Mbowe na kuona Lissu kugombea ni kama usaliti wajitafakari sana uelewa wao wa...
35 Reactions
56 Replies
2K Views
Ukitazama kwa jicho la maendeleo, uzalendo, weledi na mapenzi Tundu Lissu ana fanana kwa asilimia 90% na Hayati Dr Josef Pombe Magufuli Aliyekuwa Rais wa JMT awamu ya tano. Jambo moja ambalo sote...
29 Reactions
116 Replies
3K Views
Ninaongea haya nikiwa najua mengi !! Kwa sasa una maadui wawili 1. Ndani ya chama ambao mr Slaa alisema wamo na wanaua 2. Ndani ya Serikali watakaotumia nafasi ya nayotokea kutimiza adhma yao...
10 Reactions
25 Replies
1K Views
Ni kiri wazi kuwa kwa maelezo haya ya wenje baada ya kumsikiliza kwa makini! Kuna maswali mengi yanakosa majibu kutoka kwa wenje! Ni upumbavu wa hali juu kuwa haki yako iliyo kisheria mtoto wa...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwa mara hii tumepishana njiani kitofauti kabisa. Sisi miaka ya nyuma tulimhitaji Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema taifa kwenye kila chaguzi na CCM walikuwa wanawahitaji zaidi wapinzani wake...
13 Reactions
30 Replies
884 Views
Mpo wazima! Awe Chawa wa CHADEMA! Awe Chawa wa CCM au chama chochote. Awe Chawa wa mtu yeyote Yule. Karibu wote ukiwafuatilia ni Low battery. Huwezi ukawa Chawa kama kichwa chako kinachaji ya...
21 Reactions
107 Replies
2K Views
Mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa ila ni mfatiliaji mzuri wa masuala ya siasa.Mbowe na Lisu ni viongozi wazuri na wote wamepitia mengi sana ila kwa ukomavu na utulivu wa mambo...
3 Reactions
6 Replies
207 Views
Jamani napata shida sana,kusikia Mbowe anasema yeye ndio amekijenga CHAMA, eti kwa fedha, mawazo,nk, nijuacho mm kiongozi mzuri na mwenye hekima hawezi kusema yeye ndio umekikuza CHAMA na...
1 Reactions
22 Replies
671 Views
Wanabodi, Nimesoma maamuzi ya CC ya CCM kuhusu wanaotuhumiwa kuanza harakati za kuusaka urais wa 2015. Uamuzi wenyewe ni huu Kwa maoni yangu, maamuzi haya ni ya kipuuzi kupita maelezo...
22 Reactions
92 Replies
13K Views
Wanabodi Japo Mimi nina chama na nina upande ila kwa hali niliyoishuhudia leo Viwanja vya Tanganyika Peckers Kawe, kama watu wote hawa ni mashabiki wa Lowassa, Chadema na Ukawa, na wote...
52 Reactions
263 Replies
32K Views
Salaam wana jamvi, Nimesoma maazimio ya kikao cha NEC ya Chama cha Mapinduzi, yameniacha na maswali bila majibu. Kuna wengi hawajui,wanadhani CCM ni chama tuu cha siasa,kama vyama vingine, CCM...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Wanabodi, Baada ya vyama vya upinzani kupata ushindi wa matumaini na CCM kuporwa mitaa na vijiji kadhaa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, kumefufua matumaini ya uwezekano wa CCM kushindwa...
13 Reactions
94 Replies
13K Views
Preamble!. "Ukiona mwenzako ananyolewa!" na "Ukiona kwa mwenzako kuna ungua!, kwako kunateketea!" Wale wote wenye matumaini na mategemeo kuwa kuna siku upinzani wa nchi hii, utakuja kushika...
26 Reactions
173 Replies
21K Views
Wanabodi, CCM sasa ni "sikio la kufa..." na kama ni tunda, basi ni "lakuvunda..." CCM imechokwa, Wananchi wameamka na sio watu wa kuswagwa na kupelekwa pelekwa tuu kama ling'ombe!. Chadema...
12 Reactions
151 Replies
32K Views
Chama cha Mapinduzi unaweza kukifananisha na vitu vingi sana; kwa uzuri na kwa ubaya. Kwa uzuri nitawaachia wengine waseme lakini miaka kadhaa nyuma niliwahi kuifananisha CCM na Buibui mwenye...
12 Reactions
83 Replies
8K Views
Wanabodi, Nimenote baada ya matokeo ya Kinondoni na Siha, kuna watu wanajifanya na kujidai wamekasirika sana!, na wako tayari kwa lolote na kufanya lolote kuiondoa CCM madarakani!. Ushauri wangu...
66 Reactions
276 Replies
22K Views
...Ya Rasimu ya Katiba ya Muundo wa Serikali Tatu?!. Wanabodi, naomba nianze na Preamble ya sarufi ya lugha yetu adhimu ya Kiswahili kuhusu semantiki ya neno "kinyume cha maumbile" kwa maana safi...
17 Reactions
157 Replies
15K Views
Hua namsikiliza sana Peter Msigwa na vichambo vyake dhidi ya CHADEMA sasa sijui tatizo ni ulimbukeni au ugeni au ushamba. Nijuavyo mimi vyama vyote vina matatizo. Ila ndugu Msigwa anataka...
1 Reactions
12 Replies
390 Views
Back
Top Bottom