Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
@freemanmbowetz anaashiria maridhiano yalikwama Kwa sababu ya negative energy kutoka Chadem “team Lissu” Kwa sehemu kubwa ya hotuba ya @freemanmbowetz , @SuluhuSamia is just a pure soul. Anasema...
0 Reactions
1 Replies
176 Views
Boniface Mwabukusi @Mwabuk2Boniface · 1h Walio dhihaki TLS kuhusu Samia Legal Aid? Vipi leo wamesema lolote kuhusu TBC LIVE Coverage?hawawezi kusema 🤣🤣🤣 Hivi huyu jamaa anapambana na Mbowe...
1 Reactions
9 Replies
708 Views
Katika hotuba yake ya Jana, Mwenyekiti wa CHADEMA alitumia muda kutetea maridhiano na kuonesha ya kwamba Kuna mafanikio tumepata baada ya kufanya maridhiano. Kwa mfano anadai tumeweza kujenga...
4 Reactions
15 Replies
372 Views
Nadhani Gerson Msigwa aanze kupima utendaji wa sektretariat za habari kwa kuangalia social media engagement. Na wakifanya hivyo, Makao Makuu ya Idara ya Habari (Maelezo) iwe inapewa taarifa...
1 Reactions
3 Replies
183 Views
Habari za chini chini ni kuwa wajumbe wengi wanakubaliana kwamba hakuna mwingine atakayeweza kupeperusha bendera ya kuwania Urais zaidi ya mwamba. Hii inatokana na ukomavu wa kisiasa anaozidi...
0 Reactions
5 Replies
212 Views
MAHOJIANO YA LISSU NA VOICE OF AMERICA (VOA) VOA: Nini kimetokea na uongozi wa sasa? Lissu: Umekuwa madarakani kwa miaka 20 na muafaka tunatakiwa kufanya mabadiliko ya lazima ili tuweze kupeleka...
34 Reactions
221 Replies
6K Views
Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amedai DP World kwa miezi mitano tangu ianze kazi imekusanya Bilioni 325. Hii ni sawa na Bilioni 65 kwa wastani wa kila mwezi mmoja. Natuzingatie hii ni miezi...
28 Reactions
92 Replies
3K Views
Wanabodi, Hakuna ubishi kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema kiko kwenye mgogoro mkubwa!. Ushindi wa Zitto kwenye pingamizi, ni nusu shari tuu, shari kamili ni ushindi wake kwenye...
19 Reactions
158 Replies
28K Views
Wanabodi, Najua wengi wetu wameumizwa sana na kifo cha kikatili cha Mzee Ali Mohamed Kibao, natoa tena pole kwa wote. Watu wamekasirika hadi kuwasomea Albadir, hivyo mimi kama kawaida yangu...
21 Reactions
72 Replies
4K Views
Ni habari ambazo zimepatikana na Dr. Slaa amezitoa usiku wa kuamkia leo katika Clubhouse. Kuwa amezinyaka hizo taarifa. Ijumaa ya tarehe 20 Mbowe alikuwa tayari atumie busara aachie nafasi...
15 Reactions
60 Replies
3K Views
Huwenda nimechelewa kufahamu hili kwasababu ya umri wangu na uzoefu wangu, nimegundua Tanzania hakuna upinzani wa kweli. Vijana wanapoteza maisha yao, wanaumizwa hata kupotezwa, yote ni kwasababu...
6 Reactions
28 Replies
576 Views
Tanzania ni nchi safi sana kufanya clean politics. Wananchi wake ni wepesi kukufollow na ni wepesi kukuona mchumia turbo, mlafi na mazabizabina. Mpenda kula, mpenda biashara badala ya kutembea...
2 Reactions
30 Replies
903 Views
Hivi huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku. Sasa leo watu wamempa makavu kwamba asepe...
15 Reactions
159 Replies
2K Views
Siasa za Tanzania zimeadvance sana hakika Siasa siyo Uadui CCM tumewekewa screen kubwa tujichotee yatakayotufaa wakati wa kampeni za Uchaguzi mkuu wa Rais na Wabunge CCM ni chama Kikubwa 🌹
8 Reactions
35 Replies
918 Views
Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe alikimbilia Kenya na Dubai kwa mikwara ya DC Ole Sabaya tu sasa atasemaje hakumuogopa Shujaa Magufuli 😀 Aziz ndiye alikuwa hamuogopi Shujaa Magufuli na mara kwa...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Sijajua Kwanini Viongozi wa vyama vya Upinzani huwa Wanapenda kusoma hotuba zilizoandikwa kana kwamba wanajibu maswali ya Msingi bungeni Nyerere alikuwa hasomi hotuba kabisa Hata mchungaji...
2 Reactions
10 Replies
391 Views
Wakuu nawasilimia kwa jina la kivumbi cha Lissu :BearLaugh: Hii ndio sehemu CCM inawapiga gap sana CHADEMA na vyama vingine vya upinzani. CCM hawakurupuki kwenye moves zao, kuanzia juu mpaka kwa...
12 Reactions
96 Replies
1K Views
Wakuu, Akiwa anazungumza leo, Mbowe amesema kuwa mojawapo ya faida ya maridhiano ni chama hicho kununua jengo lao la Bilioni 1 na laki 6 ambalo liko Mikocheni. Mbowe amesema kuwa kupitia...
2 Reactions
13 Replies
659 Views
Na : Twahir Kiobya (The Man) Ni rasmi sasa Lissu anautaka uenyekiti ndani ya CHADEMA. Ametangaza nia yake kupitia vyombo vya habari na umma umesikia. Azimio hili la Lissu ni uamuzi mzito na ni...
7 Reactions
17 Replies
753 Views
Takribani hii miezi mitatu mfululizo Chadema imekuwa hot sana. Mitaani kote habari ni Lissu na chadema. Baadhi ya Watoto ukiwauliza nani Rais wa Tanzania wanasema ni Tundu Lissu😅 Facebook...
1 Reactions
21 Replies
498 Views
Back
Top Bottom