YAH: MALALAMIKO KUHUSU ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)
Mhe. Waziri wa Afya,
Katibu Mkuu wa Afya,
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF...
Salaam!
Naomba kutoa hoja hii kuhusu barabara tajwa! Ina changamoto kubwa sana ya msongamano wa magari makubwa na madogo. Na hii inatokana na ufinyu wa barabara kutokana na mahitaji ya sasa...
1. Majuzi nilipata msiba wa Kaka yangu hapo Muhimbili basi akapelekwa Mochwari.
2. Siku ya kutoa maiti kwa ajili ya ibada na Maziko (mhudumu anataka TSH 200,000) mbali na zile gharama ambazo...
Huku wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo kubwa sana la umeme, kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 10 au zaidi. Tatizo ni nini?
Nchi sasa hivi haina shida ya umeme, kuna nini huku...
Aisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri.
Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo.
Kwenye kituo kuna...
Wenye nyumba maeneo ya Masaki/Mikocheni n k wengi bado wanashinikiza malipo ya Dola (US $) Wakati nchi haina udhibiti tena wa sarafu hii.
Bei ya Dola inazidi kupanda na haitabiliki kesho itakuwa...
Waziri, wakazi wa Kawawa Road na vitongoji vyake tunapitia changamoto kubwa sana ya kupata maji.
Pamoja na kuwa tupo chini ya mlima Kilimanjaro ambapo kuna vyanzo vingi vya maji lakini suala la...
Ni juzi Waziri alitembelea na akatoa maamuzi mbalimbali cha kushangaza hadi sasa hakuna maji.
Watendaji wenu wanatuletea mambo ya mgawo wa maji siku moja kwa wiki Alhamisi cha ajqbu hiyo Alhamisi...
Wasalaam,
Nimefatilia ziara ya Rais huko Katavi na Musoma kilio kikubwa cha wananchi ni maji safi na Salama. Kama taifa tumeongozwa na CCM kwa miaka 60+ na bado na hakuna uhakika wa kutatua...
Nina siku kadhaa nipo Geita lakini hii trend ya kukatika umeme isiyo na ratiba maalumu inatia shaka utendaji kazi wa watumishi walioko huko ofisini
Wenyeji mnaonaje?
Tupazie sauti Sisi wakazi wa Kigamboni hali ya karudi majumbani kwetu ni mbaya Sana
Sasa tunalazimika kuvuka Kwa mitumbwi ya Kasia bila life jacket na Hali ya hewa ya mvua
Boti za Zanzibar na...
Wizara ya OR_TAMISEMI na Utumishi iangalieni halmashauri ya Singida kwa jicho la tatu, upandaji wa madaraja unaweza usiwezekane kwa uzembe wa maofisa wa ofisi hizo. Naomba wakubwa lifuatilieni...
Hii ni hakika. Tunetoka kwenye mvua kubwa, mifereji ya Jiji la Dar na vijito bado vinatirisha maji. Wananchi wachota hayo maji kwa matumizi Yao ya kila siku.
Bila haya maji, Jiji la Dar liko...
TAMISEMI inacheza na maisha ya watumishi wa umma , kwamba hawato pata stahiki zao za kupanda madaraja kwa kisingizio cha PEPMIS mfumo ambao unahitaji mda kuuelewa na unahitaji vitendea kazi ni...
Ukweli Tanganyika ni nchi ngumu.
Jimbo la lupa lililopo chunya, halina hata nusu Kilomita ya Barbara ya Lami.
Na Cha kufurahisha mbunge wake Yuko bungeni na anatarajia kurudi kuomba kura tena...
Uwanja wa CCM KIRUMBA unabeba Watu zaidi ya 35,000 lakini cha kushangaza kuna matundu manne 4 tu ya vyoo ambapo vyooni hamna maji.
Sehemu ya kukojoa kwa Wanaume mifereji imejaa mikojo na harufu...
Kuna shida ya ubovu wa barabara ya kutoka Mombo kwenda Lushoto ina mashimo mashimo na pili hakuna ufuatiliaji wa nauli za bei mfano bei ya kilometa moja ya lami ni shilingi 30-40 lakini wao...
Kumekuwa na sintofahamu kwa watumishi wa Halmashauri hii kulazimishwa kuhudhuria sherehe za Muungano zinazotajiwa kufanyika maeneo ya Kamsamba kuanzia tarehe 25/4/2024 na kilele chake ni tarehe...
Kama kuna aibu inayoinyemelea Halmashauri ya Mji Kibaha ni ubovu wa miundombinu ya barabara zake, na hasa zilizopo katikati ya Mji (Kata ya Maili Moja). Hii ni kero ya muda mrefu sana, kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.