Lojiki ya kufikiria ya Watanzania wenzengu mara nyingine inaniacha nashindwa kuwaelewa. Sielewi kwa nini suala la Mbowe na Lissu kugombea uenyekiti liwe jambo linalotishia uhai wa Chadema...
Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ametupa kijembe kwa vyama vya upinzani ambavyo vimezoea kutoa kasoro katika miradi mbalimbali na kusema ndo wanaanza
Kwa mujibu wa Hussein mwinyi amesema sasa...
Hakika hii ni wiki mbaya sana kwa chama cha Mbowe. Kitendo cha makada kutukanana mitandaoni ni kukivua nguo chama. Kilichonishtua sana leo ni kuona bingwa wa kulea vijana wasio na nidhamu ndugu...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu amemtaka Mwenyekiti Mpya wa Kanda ya kati Devotha Minja akawatendee haki waliomchagua ndani ya Kamati Kuu ya chama na asiwe mgonga meza
Lisu amesema...
Habari wakuu
Tumeona siku za hivi karibu ndani ya CHADEMA kumechamgamka sana baada ya Makamu Mwenyekiti Bara, Tundu Lissu kuweka nia ya kugombea Uenyekiti Taifa wa CHADEMA.
Swali langu kwenu, ni...
Mwaka 2015 wakati Lowassa anaenguliwa kugombea urais ndani ya CCM ukumbi mzima ulilipuka na kuanza kuimba 'Tunaimani na Lowassa' maana 80% ya Wenyeviti wa mikoa CCM walikuwa upande wake.
Lakini...
Haya nayasema baada yakuona mihemko ya wanachama katika uchaguzi wa ndani unaoendelea kufanyika nchini.
Niaibu kwa viongozi wa juu kabisa tena ngazi ya mkoa kufikia hatua kudhihaki kiongozi wake...
Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!!
1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per...
TANZANIA - SOMALI ZA ZASAINI HATI NNE ZA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO
Waziri Kombo apongeza mageuzi ya uchumi na utulivu wa kisiasa unaoendelea nchini humo
Wautaja umoja amani na usalama wa...
Elections are fundamental to democracy, but the digital age has introduced challenges such as misinformation, disinformation, and hate speech. To address these issues, JamiiForums, in...
Siwezi kupinga kwamba Raisi Magufuli ana nia nzuri tu na Tanzania hii - kama vile tu ilivyokuwa kwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Singapore, Lee Kuan Yew, kuanzia mwaka 1965, akaitoa Singapore katika...
Wakuu wana jf amani ya Bwana ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake.
Husika na mada tajwa hapo juu.
Kwa maslai mapana ya chama na kwa kuzingatia kwamba chama bado kinawaitaji mh Lissu pamoja...
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA wanaendelea kuvujisha siri za ndani kabisa. Bila shaka mpaka uchaguzi uishe kila kitu cha ndani na cha siri kitakuwa peupe kabisa .
Sasa katika muendelezo wa...
Akifungua Maonesho ya wiki ya Nishati,Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dotto Biteko ametangaza kumalizika Kwa mgo wa Umeme Nchini.
Dk. Biteko amesema wamefanikiwa kutekeleza Agizo la Rais...
Ukiangalia mambo ya kisiasa yanayoendelea hapa nchini nafikiri utakubaliana na Rais Samia kuwa waTanganyika hawahitaji KATIBA MPYA
Wanachotaka ni kuwepo kwa Uhakika wa chakula uwepo wa ajira...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu amesema Chadema ni Mali ya Wanachama wote kwani kila mmoja Kwa nafasi yake amekigharamia Kwa Jasho na Damu
Wapo waliouawa, wapo waliotekwa, wapo...
Ikumbukwe 2015 watu Wajanja waliitumia Chadema kama ngazi ya kuwafikisha bungeni na walipofanikiwa wakahama na ubunge akina Dr Mollel nk
2020 ndio yale ya COVID 19 waliokosa uzalendo na kusaliti...
Kwa mujibu wa Waziri wa Tamisemi bwana Mohammed Mchengerwa amenukuliwa akisema kuwa Rais Samia Ameridhia Iliyokuwa Halmashauri ya Rufiji kupewa Hadhi ya Mji ambapo Jengo kubwa la Makao Makuu la...
Kwa heka heka za uchaguzi wa chadema iliyogawanyika ngazi ya taifa zinazoendelea, wasomi vijana na wadau wa siasa nchini, wanapata fursa na nafasi muhimu sana ya kujifunza, kuelewa na kufahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.