Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mimi nilijua demokrasia ni nini baada ya miaka fulani ya nyuma sana kufuatilia primaries za both republican and democratic Kwanza unajiuliza hawa wote wanatoka chama kimoja kwanini wanapondana...
1 Reactions
2 Replies
144 Views
Wajumbe tunaishi nao mtaani Binafsi pia ni mjumbe wa mkutano mkuu Nina marafiki zangu zaidi ya 50 hawakubaliani na Mbowe kuendelea!! Pia ndio tunaishi nao humu mitandaoni Kwani wenyewe hawapo...
6 Reactions
15 Replies
581 Views
DJ, DJ, DJ nimekuita mara tatu wahi chato ukaombe radhi... Sasa umekufa kisiasa umebakizwa kuzikwa. Ulimsema sana mzilakende kwa ukabila na kuzusha uongo mwingi leo sacos yako inaenda kufa iko hoi...
6 Reactions
52 Replies
1K Views
Huwa najiuliza mantiki ya kuvipa vyama vya siasa ruzuku kila mwezi. Zaidi ya makelele, migogoro, kelele, na usanii vinazalisha nini ikilinganishwa na wakulima na wafugani kwanza, na pili...
0 Reactions
3 Replies
124 Views
Wakuu.... Kati ya watu waliopata hasara pale CHADEMA Lisu anaongoza , Kwanza alihatarisha maisha yake kwa kupigania misingi ya Chama. Kuna pesa chafu zinazoingia CHADEMA Ili kuwaziba mdomo watu...
18 Reactions
53 Replies
1K Views
Baada ya kelele za kutosha..wote wanaoitakia mema CHADEMA tuseme..Let the Will of God be Done! Asante.
2 Reactions
0 Replies
114 Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda Wake, atazungumza na Dunia kupitia Waandishi wa Habari muda wowote kuanzia sasa. Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi...
25 Reactions
161 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Mama ameifungua Nchi na Sasa Asali na Maziwa vinatiririka na kumiminika Tu hapa Nchini.kwa hakika kila mmoja analamba asali Kiganjani mwake.Embu nisiwachoshe na...
4 Reactions
65 Replies
2K Views
WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA SOMALIA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Kama ulivyosema mwenyewe: 1. Ngoma hii ilianza na Mkapa, akaiwamba mara moja. 2. Ikalia na Kikwete, akaiwamba mara nne. 3. Ikalia sana na Magufuli, akaiwamba mara nane. 4. Ikaendelea kulia kwa...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Watanzania na wanachadema, wapenda mageuzi, wapenda mabadiliko, wachague mwenye hoja na sio blah blah, I'li tuone democrasia ndani ya chadema inafanyika
1 Reactions
15 Replies
541 Views
Kwa namna hali ilivyo kwa sasa Mh. Mbowe anapigwa mawe sana na wanachadema wenzake na hata wasio wanachadema. Sababu kubwa ya yeye kupigwa mawe sio kwamba watu hawatambui uwezo wake na mchango...
2 Reactions
8 Replies
297 Views
Kuna wavaa magwanda wa miaka mingi sana lakini ndani ni wa kijani na wanafanya kazi kwa faida ya kijani Je kijani halisi na kijana wavaa magwanda wataruhusu TL awe Mwenyekiti? Je tumshauri au...
1 Reactions
10 Replies
293 Views
Mtu anayeenda kulazimishwa anaandaje mazingira ya kwenda kulazimishwa? Anakodisha muziki kabisa na kujaza viti nyumbani kwake ili watu waende kumuomba agombee kweli tumekuwa watoto kiasi hicho ?
28 Reactions
104 Replies
3K Views
Watu wengi tulimwamini sana Mbowe kama anaweza kuendesha chama na hana maslahi yanyoambatana na CCM lakini huu uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA umemprove wrong kuwa haaminiki. Hebu angalia...
1 Reactions
0 Replies
193 Views
Chama cha Chadema hakina heshima kwa viongozi wake, kinataka kumwondoa Mh Mbowe kihuni bila kujali mchango wake mkubwa ndani ya Chama hiki, Mbowe alitakiwa kustaafishwa kwa heshima kubwa Mh Mbowe...
3 Reactions
39 Replies
817 Views
Jamani wa afrika sijui nani katuloga? Tunaullooo sanaa na ubinafsi uliozidi. Kwa upepo ulivyo ndani ya chadema Mbowe hawezi kuachia uwenyekiti wa chadema. Maana kuna chawa wengi wamepewa...
2 Reactions
36 Replies
819 Views
Mwenyekiti anaye maliza muda wake, Freeman Mbowe amesema ya kwamba iwapo ataona chama chake Cha CHADEMA kinataka kuzamishwa basi ataingia mzigoni. Kwa maana nyingine atagombea uenyekiti wa...
19 Reactions
134 Replies
4K Views
Cc: Chama Cha Demokrasia
1 Reactions
11 Replies
263 Views
Great thinkers. Shida ya wapinzani wetu nini?. 1.Milungula kutoka CCM? 2.Urafi wa madaraka?. Mara zote Hakuna mkate.mgumu mbele ya chai. Acha CCM watunyooshe kama tutaemdelea kuwategemea...
0 Reactions
4 Replies
139 Views
Back
Top Bottom