Kichekesho juu ya kinachoitwa SGR nchini tumepigwa zaidi ya bilioni 500
Kwanza kuna aina 3 au 4 za reli kulingana na gauge/geji.....1.Broad gauge, 2.Metre Gauge, 3.Narrow gauge, and 4.Standard...
Aiseee....Mimi nachukizwa na neno kwa sasa tupo katika mchakato,au hili neno Vijana inabidi mkajiajiri msisubiri ajira serikalini!!
Haya ni maneno yanayoumiza moyo wangu kwani ni maneno yasiyokuwa...
Wanabodi,
Kuna msemo usemao numbers don't lie, hili ni bandiko la numbers na data, kama sio mzuri wa mathematics na arithmetics nakushauri bandiko hili bora ulipitie mbali and save your time...
Kibaya zaidi ndio vijana anaowaamini mwenyekiti, hivi Mbowe huyu Ntobi huoni kama anakuharibia hata hizo sifa chache ulizobakiza?
Sasa hivi chama kina watu walioamua kufanya “upinzani” bargaining...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema tunamtaka kiongozi atakaye himili presha za watu wanao mzunguka.
Nimeanza na nukuu hii,kutokana na Hali halisi ya uchaguzi gumzo kwa Sasa takribani miezi miwili...
Ilitarajiwa Lemma akabidhi ofisi ndio aondoke kwenda Canada kwenye ukimbizi wake. Haijulikani atakaa huko kwa miaka mingapi.
Lakini hajakabidhi ofisi kwa Mwenyekiti mpya wa Kanda ya Kaskazini...
Hii ndio taarifa inayosambazwa na mjumbe wa Baraza Kuu la Chadema Mh Ntobi mitandaoni
Kwamba Umoja wa Wenyeviti wa Mikoa ya Chadema Tanzania utaanza operesheni kabambe ya kukiokoa Chama hicho...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendesha mafunzo ya siku mbili kwa watendaji kwa ngazi ya halmashauri na majimbo katika halmashauri ya Iringa huku watendaji hao wakisistizwa kwenda kuifanyia kazi...
Katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika na Mjumbe wa Kamati Kuu Mh Godbless Lema wamerushiana Maneno Ukurasani X
Mnyika amedai Kuna watu wanatumiwa na Mfumo kuleta sintofahamy Ili ionekane Chadema Kuna...
Kama mlivyoona juzi mwakilishi wetu, Kiukweli katika uongozi wa mama watu wanajenga na nchi. Miradi mingi inafanya kazi hivyo kwenye sekta ya uhandisi kiukweli tunanufaika sana.
Asante mama, nina...
Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea...
Dunia ya Sasa ni ngumu sana
Enyi.ndugu wa MAREHEMU Afande Olomi niwekeeni barua ya Afande Olomi kuacha kazi jeshi la polisi,
Nijulisheni baada ya kuacha kazi aliendelea kusoma degree ya SHERIA...
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.
Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na...
Kwa wale wanaofatilia mtandao wa 𝕏 zamani Twitter hiyo battle hapo juu mtakuwa mnaikumbuka. Battle ni ya muda kidogo najua Hilo.
Nilikuwa nataka kujua chanzo ni nini? Nani aliyemuanza mwenzie...
Baada ya kumsikiliza Lissu ktk mahojiano yake ya vybombo vya habari kabla na baada ya kuchukua fomu na kurudisha.
Pia baada ya kumsikiliza Mbowe ,
Nimepitia faceboook, twitter ambayo X ya sasa...
Ni wazi wanachadema wamezinduka na kustukia dhamira na nia zenye mashaka dhidi ya baadhi ya wagombea uongozi wake wa kitaifa.
Kauli ya muwakilishi wa wazee wakati wa kuwasilishwa ujumbe wa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, amesema kuwa wanamuhitaji Freeman Mbowe kuendelea na uongozi ndani ya chama hicho.
"Mimi ni miongoni mwa wenyeviti wa CHADEMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.