Shilingi ya Tanzania imeendelea kuimarika dhidi ya Dola kiasi kwamba watu wanatafuta Shilingi kuliko kutafuta Dola.
Hali hii imejilo baada ya kuimarika Kwa Mauzo Nje ya Nchi na kumiminika Kwa...
Hakuna rais wala waziri wa fedha hata mmoja aliyewahi kuishusha us dola namna hii,
Hongereni sana, kutoka 2850/= mpaka 2400/=?
Hakuna kama Mama, kama mitaa tu ni hivi, je uchaguzi mkuu si...
Ukiangalia dini zote kubwa mbili za Uislamu na Ukristo zinazuia wanawake kuwa viongozi lakini ukiacha Uarabuni sehemu nyingine zote za dunia ikiwemo Tanzania hayo maelekezo na Tamaduni za dini...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili mkoani Tabora kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Tabora, na kupokelewa...
Uchaguzi wa CHADEMA unafanyika mapema mwaka ujao. Mimi nawasihi Wana CHADEMA twende na Tundu Lissu tuachane na Viongozi wanaoendekeza RUSHWA ndani ya Chama.
Tundu Lissu atakijenga Chama chenye...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiangalia aina ya watu wanaomuunga mkono lissu unabakia unasikitika,kushangaa na kucheka sana.ni watu wababaishaji,wasiojitambua ,wasio na ushawishi ndani ya chama na nje...
Wakati joto la Uchaguzi Mkuu katika nafasi za Udiwani na Ubunge unaotarajiwa kufanyika hapo mwakani 2025 likiendelea kupanda, imeelezwa kuwa baadhi ya wanasiasa waliopo madarakani wameanza kupata...
Hata baada ya viongozi wao kutekwa na kuuawa hadharani na vikosi vilivyotumwa, na hata baada ya RPC wa Songwe kutumikishwa kumkamata Mbowe kwenye Uchaguzi wa serikali za Mitaa, na hata baada ya...
Najiuliza uwajibikaji uko wapi? Ingekuwa nchi Kama Tunisia na Kenya au kwingineko kosa dogo tu linaondoa baadhi ya watu madarakani si kwa utashi wao!bali kwa Nguvu ya Umma na maandamano! Lakin...
Dar inapangwa upya, Sinza inasukwa upya, maeneo jirani na Mlimani City yanasukwa upya. Serikali inaenda kutwaa eneo la ukubwa wa mita za mraba 233,000 na kulipanga upya.
Maeneo kama Sinza yana...
Wakihutubia mkutano kwa pamoja Tundu Lisu,John Mnyika, na Godbless Lema (Singida mjini jana), walisema kuwalazimisha watu kuchangia mwenge ni dhuruma iliyopitiliza kwani mwenge kila mwaka...
Kidumu Chama cha mapinduzi. Nimeanza na salamu mapema ili ujumbe ufike vizuri kwa watu wote.
Lissu ame na atasaidia sana Chama changu cha Mapinduzi. Ni kama kioo. Anahitajika mtu kama Lissu...
Katika kipindi cha Julai 2023 hadi Machi 2024, Shirika la Madini Tanzania STAMICO lilipata kandarasi tatu (3) mpya za uchorongaji madini kama ifuatavyo;
Kampuni ya Fluxing Resources ya Chemba -...
Zambia, Hakainde Hichilema amekuwa Rais wa chama cha UPND kwa miaka 18
Kenya, Raila Odinga amekuwa Kiongozi mkuu wa ODM kwa miaka 20, ameachia uongozi kugombea nafasi ya uongozi AU. Uhuru Kenyata...
Mambo yetu ili yanyooke mtoeni jamaa nje alafu moja kwa moja aje nyumba mithili ya meli ! Pale wanapoingia kwa code maalumu na hawaitani majina wanaitana chifu pili ukienda ijumaa aga kabisa...
Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa .
Tabia hii ni...
Kutokana na maneno aliyoyasema mbowe akiwa nawaandishi wa habari nyumbani kwake Jana tarehe 18.12.2024 imejidhihirisha kuwa CHADEMA NI Mali ya mbowe maana kwa kinywa chake na nukuu" CHAMA CHANGU...
Chama changu cha Mapinduzi
Tukitaka kuendelea kuongoza nchi tubadili mbinu
Hakikisha hatuweki mtu anayetumia nguvu kubwa kijibrand badala ya kazi kumbrand, kuna Vijana ambao kwakweli tuwe wakweli...
Huwezi ukawa serious unataka mabadiliko Utapokea Rushwa toka chama tawala.
Huwezi kuwa serious unahubiri mabadiliko ukapokea maelekezo toka chama tawala nani agombeee na Nani asigombee.
Huwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.