Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Jamii za kiislamu wanapenda misaada sana as if they are always unable bodied. Ukienda Tabora, Ujiji, Zanzibar nk hata huduma za jamii ni duni hata kujenga misikiti tu hawawezi mpaka ajitokeze...
21 Reactions
187 Replies
4K Views
Ni kuhusu madai ya Mdee na wenzake kurejea CHADEMA ambapo Boniface Jacob kuptia Mtandao wa X, kaandika hivi: SIYO RAHISI NA HAIWEZEKANI KUWA JAMBO LA SIRI...! Nimeona mjadala wa kuhusu kurejea...
11 Reactions
22 Replies
2K Views
Tumekuwa tunawapima viongozi wetu kulingana na utendaji wao wa maeneo wanayosimamia, na kuweza kuona mazuri na mapungufu yao, Kwa mwaka 2015 yalikuwapo magwiji wawili ambao ni Magufuli na...
29 Reactions
196 Replies
18K Views
Sikuelewa Mbowe ana maana gani aliposema atautazama mwenendo wa kampeni kabla ya kuamua kugombea uenyekiti. Lakini sasa hivi kinachosubiriwa ni Mbowe tu aseme ameamua nini. Kwa jinsi ilivyo sasa...
1 Reactions
18 Replies
493 Views
Wakati nimempa Mwaliko bwana mdogo ameniuliza Swali akasema hiv Mimi na Pascal Mayalla hatuwezi kumpa majibu? Akauliza maswali magumu kidogo 1.Hivi Rais akiwa anatibiwa walinzi wanakuwa wapi? Je...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Freeman Mbowe ni mwanachadema wa chadema kama walivyo wanachama wengine, yeye haimiliki Chadema kwa sababu chama Cha Siasa ni taasisi ya Umma Tunakumbushana tu Ahsanteni Sana 😃
5 Reactions
14 Replies
338 Views
Mbowe anaweza kulaumiwa kwa mambo yote lakini jambo moja kubwa ambalo hawezi kulaumiwa nalo ni kung'ang'ania au kukaa madarakani muda mrefu. Lissu mwenyewe ambaye ndiye mpinzani mkuu wa Mbowe...
1 Reactions
11 Replies
328 Views
Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT Wazalendo. Labda CHADEMA wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Wanabodi, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe, amesema kuna "kirusi" ndani ya Chadema ambacho kinakitafuna Chadema ndani kwa ndani kwa mtindo wa Kikulacho!. Jee unakijua...
26 Reactions
620 Replies
54K Views
Kama unabisha jibidiishe kufahamu maaskofu wa Anglican church na KKKT wanavyochaguliwa Kisha fuatilia vizuri sana uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unaendelea Kisha tuletee mifanano yake na...
0 Reactions
1 Replies
96 Views
Kuna habari inavuma mitandaoni kwamba Lissu amepanga kufukuza viongozi wote wa kanda, mikoa, na wilaya, pamoja na wajumbe wa mkutano mkuu kwa sababu ni team Mbowe. Hizi habari ni za kweli? Je...
0 Reactions
10 Replies
257 Views
Daily na waambia hapa Muda ni mwalimu mzuri sana mpaka tunafika 2030 Mungu atuweke ndo watu wataanza kushangaa kwamba pamoja na baadhi ya CCM wenye misimamo mikali huwa hata Chama kiteteleke vipi...
15 Reactions
57 Replies
2K Views
Helicobacter pylori (H. pylori) huu ugonjwa dawa zake bei zake ni kuanzia elfu 80. Hospital ya Kairuki hasa polyclinic Kairuki ya Mbezi Magufuli kila mgonjwa atakayepima choo wote wanaambiwa wana...
22 Reactions
71 Replies
7K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hifadhini sana huu uzi,shikeni sana haya maneno yangu,kaeni na hili andiko katika kumbukumbu zenu,kaeni na jiandaeni kwa jambo hilo na tambueni ya kuwa Baada ya uchaguzi...
0 Reactions
4 Replies
222 Views
Mkuu, Kama ulikuwa unabet basi umelenga palepale. Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa Pia soma...
131 Reactions
253 Replies
27K Views
Toka John Mrema ahitimu elimu ya Ualimu na kupata Gentlemen pass hajawahi kuwa na maisha nje ya Chadema au siasa. Gari ya kwanza kumiliki Mbowe alimpa zawadi ya Nissan Safari ambayo ilikuwa Mali...
1 Reactions
18 Replies
732 Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Mh Godbless Lema Leo anastaafu rasmi Lema amewashukuru Wananchi wote Kwa ushirikiano waliompa wakati wote na kipekee Kabisa amemshukuru Katibu wa Kanda...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
MBOWE KATAA MTEGO HUU WA KUOMBWA KUENDELEA KUWA MWENYEKITI. Mwl. Nyerere kila alipotaka kung'atuka wapambe waliandamana kumtaka aendelee wakimwambia Nchi hii changa bila wewe tutakwama, Bila wewe...
5 Reactions
21 Replies
637 Views
Nauliza tu katika mifumo ya Maadili ya Viongozi hii inakubalika? Naelewa Jaji amewapiga marufuku Mbowe na Mnyika kuhudhuria kikao cha Baraza Kuu la Chadema kusikiliza Rufaa za akina Halima Mdee...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Wengine hapa nchini hatuna majina lakini tuna macho ya rohoni (third eye) . Tangu nipate akili timamu za kiutu uzima na kujitegemea Mimi sijawahi kuwa mdau wa CCM. Nina kadi ya CCM na CHADEMA...
0 Reactions
2 Replies
181 Views
Back
Top Bottom