Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Sisemi Mbowe hafai la hasha bali wasiwasi wangu umekuja baada ya kuona wana CCM wengi na members humu JF wakiongozwa na chawa wao mkuu Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable,Tlaatlaah, chiembe na...
17 Reactions
51 Replies
1K Views
Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie...
19 Reactions
120 Replies
4K Views
Katika miaka 20 ya Uongozi wa Mbowe ndio tumeshuhudia Wanachama wengi wa Chadema wapoteapo Uongozi haufanyi Juu chini kuwatafuta Hata Tundu Lisu aliposhambuliwa kama si huruma ya mfanyakazi wa...
2 Reactions
8 Replies
162 Views
Kwema Wakuu! Logically, Ikiwa Rais hashtakiwi hiyo itamaanisha Hafuati na hayupo chini ya Sheria. Ikiwa mtu hayupo chini ya Sheria hiyo itamaanisha hatokani na Sheria. Hii ni kusema, ikiwa watu...
2 Reactions
17 Replies
506 Views
Katika uchaguzi ujao wa Chadema, kuna dalili kwamba Tundu Lissu huenda akakosa nafasi za uongozi bara na pwani, hasa (katika nafasi za umakamu mwenyekiti na uwenyekiti.) Hali hii inatokana na...
2 Reactions
16 Replies
606 Views
Huu ni ushahidi tosha kuwa Chadema ni saccoss ya Watu, tangu 2015 mpaka sasa, ruzuku ya Chadema imekuwa ikiingia mifukoni mwa wajanja wenye uwekezaji wao. Huku sio kula ni kubwia kabisa
5 Reactions
190 Replies
16K Views
Wakuu, Mambo yazidi kuwa moto! Kila CHADEMA mnavyojitahidi kutuaminisha mpo sawa mnakuja kuharibu. Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi...
2 Reactions
17 Replies
789 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo...
13 Reactions
32 Replies
2K Views
Maneno aliyozungumza Lissu leo wakati anarudisha fomu ni mazito sana, anasema mtu aliyemleta Abdul kwake ampe pesa na akamwambia hata wengine wameshapewa pesa ndiye anagombea kuwa makamu...
16 Reactions
68 Replies
2K Views
Uchaguzi wa wenyeviti wa chadema Kanda ya kati na kaskazini uliahirishwa. Ndiyo juzi hapa kamati kuu ya chadema ilikutana kupitisha majina ya wagombea. Unazijua sababu za uchaguzi huo...
0 Reactions
3 Replies
387 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imehitimisha ziara muhimu nchini Comoro kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu juu ya mifumo bora ya ushirikishaji wa Diaspora katika...
0 Reactions
2 Replies
201 Views
Maoni yangu yanatokana na jinsi Chadema wanavyopokea na kushughulikia majanga mbalimbali. Maone yangu yanaangazia ukurupukaji ndani ya vyama pindi panapotokea maswala mazito ya kichama na...
1 Reactions
11 Replies
944 Views
Vyombo vya habari vinaripoti kuwa wanachama wamevamia nyumbani kwa mBOWE kumsihi achukue fomu za kugombea uenyekiti wa chama hicho ili akamkabili msanii Tundu Lissu. Pia soma: Kuelekea 2025 -...
14 Reactions
32 Replies
1K Views
Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe. Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa...
4 Reactions
82 Replies
2K Views
1. Mbowe alizingua kwa Zitto. 2. Mbowe alizingua kwa Dr. Slaa. 3. Mbowe alizingua kwenye maridhiano. Kote huko alifanikiwa kuwapiga sound watanzania wakaingia king. Sasa;- 4. Akizingua kwa...
19 Reactions
67 Replies
2K Views
Leo tumeshihudia Mzee Mbowe akiwahda watanzania kwa kuandaa vijana ili aonekana bado anapendwa ndani ya chama. Watanzania wenzangu tunalo jambo kubwa sana la kujifunza kwa huyu mzee kuwa ni...
2 Reactions
5 Replies
280 Views
Kwa nini pale tu Lissu alipotangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ndipo anapoonekana anataka/anakipasua chama? Yeye ni makamu Mwenyekiti, nani alimchagua kuwa makamu...
1 Reactions
2 Replies
187 Views
Kwa hii sinema amefanya leo Mbowe hakuna ubishi tena kuwa yeye ni CCM. Kule CHADEMA yupo tu kuchangamsha genge. Hata kashkash anazopitia ni maigizo tu aonekane kumbe naye yumo. Kapita mule mule...
5 Reactions
14 Replies
740 Views
Katika historia ya nchi hii, sijawahi kuona mtu anayekebehi, kudharau, na kutoheshimu hadhi ya mama kama Tundu Antipas Mughwai Lissu. Ukimdharau mama mmoja, umedharau mama wote nchini na...
0 Reactions
38 Replies
953 Views
Uwanzishwaji na uwendeshaji wa vyama vya siasa vya Tz nigiza nene kiasi ukiingia nikama umenasa kwenye ulimbo usijuwe palitokea. Hakuna mtu atakaye nielewa kama hukuwahi kugoma kwenye vyuo huwezi...
3 Reactions
8 Replies
331 Views
Back
Top Bottom