Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu, Mchengerwa OR TAMISEMI ameng'aka huko kuwa wananchi wachukuliwe hatua ikiwa watafanya kilichotokea chuga - wa Chuga waliwapitisha viongozi kwenye matope waone adha wanayopitia. Sasa kama...
1 Reactions
5 Replies
271 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna malalamiko na manung'uniko makubwa sana yanaendelea miongoni mwa wanachama wa CHADEMA juu ya michango yao ambayo walichangia chama chao maarufu kama join the...
12 Reactions
252 Replies
9K Views
Ndugu zangu Watanzani, Wanasema chama cha siasa kilicho hai na uhai ni lazima kiwe mabarabarani na majukwaani. ni lazima kiwe midomoni mwa watu muda wote,ni lazima kitetewe...
4 Reactions
60 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Jinai huwa haiozi na wala kupitwa na wakati wala kuisha muda wake.jinai ni jinai tu.unaweza kutenda jinai leo hii halafu ukaja kuburuzwa mahakamani na kusomewa mashtaka na...
5 Reactions
93 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni lazima mfahamu ya kuwa CCM ndio tumaini la watanzania,ndio chama chenye kuaminika na kuaminiwa na mamilioni ya watanzania,ndio chama kilichobeba matumaini na hatima ya...
0 Reactions
6 Replies
259 Views
Makamu Mwenyekiti wa chadema Tundu Lissu amesema hana tatizo lolote na Mbowe kulazimishwa Kugombea kwani hiyo ndio style yake kwenye Kila uchaguzi Lisu amesema yeye amesharudisha fomu anasubiri...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Kama ndani ya chama wamemvumilia wamemchoka, wanamuita mropokaji na muongo, je kama taifa tunabidi tukae chini na kuanza kumtathmini Lissu upya? Kama ana nafasi ndogo tu katika taifa anaropoka...
8 Reactions
38 Replies
770 Views
https://www.instagram.com/p/C4IKzMCq3zK/?igsh=MWJuYmhjOGptYWk4Mw== Uongozi ni kuachiana Kijiti. Hivyo ndivyo amefanya bwana Zitto Kabwe baada ya kung'atuka nafasi ya Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo...
13 Reactions
131 Replies
7K Views
Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter. Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi! Wanahamasisha...
29 Reactions
363 Replies
20K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali kuhusu Chadema, kuwa ni sikio la kufa, katika safari ya kuelekea kushika dola, Chadema kinafanya makosa, hivyo kinashindwa kushika dola, wako watu wenye uono...
34 Reactions
230 Replies
22K Views
Naona Mwenyekiti anaendeleza janja janja za wakati wote Kuna aibu gani kusema nitagombea wakati kila mtu anafahamu hao Viongozi ni wewe umewaita tena kwa lazima na kwa gharama zako!! TUNDU...
0 Reactions
4 Replies
235 Views
Naskia ameteseka Sana aisee. Sasa Kama mwanaume mpaka Analia kwanini asiachane na hizi harakati. Inasikitisha Sana.
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Hii imetokea leo Kaloleni,Arusha ambapo Hawa vijana wa Chadema wamepokewa na viongozi wa CCM. Wamesema Mbowe ni kiongozi feki,na Lissu ni kiongozi feki na Godbless Lema ni kiongozi feki ambaye...
1 Reactions
26 Replies
739 Views
Igwe wanaJF Kutokana na fukuto ndani ya Chadema tumeshuhidia minyukano mikali huku wengine wakimtaka Mbowe aondoke maadarakani eti kwa sabbabu hana jipya. Ili kuweka kumbukumbu sawa nimeona ni...
14 Reactions
236 Replies
13K Views
Amani kwenu wana jukwaa Toka lissu atangaze kugombea uenyekiti wa chama taifa nimewaona wana CCM wakimsusa na kumsahau kabisa kumpigia makofi na mapambio mwenyekiti wao Samia Badala yake nguvu...
2 Reactions
15 Replies
307 Views
Hayo ndio yanayojili huko Chadema baada ya Tundu Lisu kumkejeli Mwenyekiti wake Kwa kusema eti aliyetuaminisha kwenye mapendano yao amekamatwa,hii iwe fundisho 🤣🤣🤣.👇👇 Pia soma LGE2024 - Lissu...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Naunga mkono hoja,Lisu amekuwa na tabia ya kumsema mtu badala ya kunadi sera zake. Yaani Kampeni ya Lisu inalenga kumchafua Mbowe na kudharau mchango wake Kwa maslahi ya uroho wa madaraka. Bwana...
1 Reactions
55 Replies
2K Views
Sina hakika sana ikiwa Tundu Lisu atashinda kuwa Mwenyekiti wa Chadema hapo Mwakani kama Chama kinaendelea zaidi au kitarudi kuwa chama Cha wanaharakati na omba omba ikizingatiwa Lisu na Wafuasi...
6 Reactions
103 Replies
4K Views
Mi huwa naamini kwamba kila mwenye degree basi ana akili sana ya utambuzi. Hii ni kinyume na mpina. Alifikiri zile ngonjera za kutukana na kukosoa na kushangiliwa na laymen wasiojua lolote bali...
4 Reactions
10 Replies
588 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Freeman Mbowe akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa ofisi ya CHADEMA wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Jumapili Desemba...
5 Reactions
60 Replies
2K Views
Back
Top Bottom