Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kuna nyakati watu wengi walikuwa wakisema mbowe ni wakala wa ccm mda mrefu watu wengi walibisha hususani machawa wake ambao kwa sasa ndoo wanaompigania kugombea tena kiti cha mwenyekiti wa chama...
0 Reactions
1 Replies
122 Views
Mwanahabari mkongwe na Mchambuzi wa siasa Absalom Kibanda amekosoa maamuzi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake 18. “Ni kweli Mdee na wenzake...
12 Reactions
105 Replies
7K Views
Hakuna ubishi ya kwamba Lissu ni moja ya akili kubwa tulizonazo hapa nchini ukiondoa mapungufu ambayo hakunaga binadamu asiekuwa na mapungufu. Kitendo cha Lissu kutaka kuwa Mwenyekiti wa chama...
0 Reactions
3 Replies
183 Views
Matumaini na imani ya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), yamebaki vile vile kama ilivyokuwa miaka 25 iliyopita, baada ya kumchagua tena Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mwenyekiti wao taifa...
4 Reactions
40 Replies
1K Views
Mwenezi wa CCM, Amos Makala akiongea na waandishi wa habari leo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa amesema kuwa kwa upande wa CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa unaosababisha wasisomane. Ametaja...
5 Reactions
55 Replies
9K Views
Sote tunajua baada ya kushambuliwa LISSU, MBOWE ndio alieongoza mapambano makubwa ya kuokoa maisha ya Lissu kama mwenyekiti wa chama na yeye akiwa mwanachama. Wengine akina Maryam Sarungi japo...
5 Reactions
108 Replies
2K Views
Tunasambaziwa taarifa ya fursa ya matibabu nchini Cuba na kuomba taarifa hii isambazwe kwenye magroup yote. Naomba kujua kama ni sahihi balozi kutupa namba yake ili hospitail na wagonjwa...
8 Reactions
64 Replies
3K Views
Jana ilikuwa uzinduzi wa kampeni za CCM sehemu mbalimbali na kwa maajabu makuu hoja kuu yao ni kumzungumzia Mbowe na Lissu kama sera yao. Wameamua kumuibua hadi yule mpiga kelele wa goli la mkono...
5 Reactions
21 Replies
852 Views
Shekhe Mwaipopo amesema huu ni Wakati wa Waislamu kuambiana ukweli kwamba ni lazima waanze kujenga Vitega Uchumi kama wenzao wa Dini jirani Mwaipopo amesema Wenzetu Wana Mashule na Mahospitali...
46 Reactions
155 Replies
11K Views
Wanabodi, Wale wa zamani kama mimi mtayakumbuka baadhi ya maneno ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP) akizungumzia upinzani wa kweli, alisema angependa kuona serious...
10 Reactions
190 Replies
29K Views
All the best wenye uelewa hakika tumekuelewa sana all the best my friend
10 Reactions
54 Replies
2K Views
Nitaenda kwa Mbowe ndani ya siku mbili hizi kumshauri asifanye dhambi kutufanya wafuasi wake tukafarakana kwa kipindi hiki muhimu kuliko nyakati zozote zile. Nitamsihi kuiona mbele ya CHADEMA...
21 Reactions
36 Replies
979 Views
Kwa hadhi ya Rais Mstaafu tulitegemea utoke hadharani kukemea uvunjifu wa waziwazi wa katiba unaofanywa na viongozi uliotuachia wewe mwenyewe. Legacy uliyoianza kwa kukubali kuanzisha mchakato wa...
13 Reactions
55 Replies
2K Views
Mchungaji Mmoja ambaye ni maarufu sana huko Mkoa wa Geita amesikika akihubiria Mamia ya umati wa watu akisema Mungu ana kusudi na Tundu Lissu. Amesema yeye angekuwa Lissu angeokoka na kuacha...
7 Reactions
41 Replies
1K Views
LISU WA CHADEMA ATASABABISHA ATOKEE LISU MWINGINE WA CCM. NDIO MAANA TUNAHITAJI LISU AWE MWENYEKITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Sisi Watibeli ambao kiasili ni wanafalsafa...
14 Reactions
32 Replies
931 Views
Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Professor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie...
47 Reactions
680 Replies
38K Views
Nawasalimu. MIMI NI MZALENDO.. Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote. Leo Rostam kaingia live kuelezea kuhusu...
44 Reactions
268 Replies
23K Views
Mimeona niwakumbushe ndugu zangu Wahenga huko Chadema kwamba Tundu Lisu alishakuwepo Chadema kabla hata hajakabidhiwa KADI Na ukiangalia kifalsafa Tundu Lisu na Mzee Marando ndio walileta Mageuzi...
3 Reactions
9 Replies
395 Views
Hivi vikao wanavyoitisha ni kinyume na katiba ya chama chao. 6.2.1 Kutakuwa na vikao vya aina nne; (a) Vikao vikuu vya maamuzi ya kisera. Hii ni Mikutano Mikuu ya kila ngazi ya muundo wa Chama...
0 Reactions
5 Replies
242 Views
Wanabodi, Preamble: Chadema ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo jina tuu, ila uendeshaji wake ni wa kidikteta wa hali ya juu!. Katiba yake inavipengele vya kidikteta vinavyokwenda kinyume cha...
7 Reactions
282 Replies
35K Views
Back
Top Bottom