Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tundu Lisu kuacha nafasi ya umakamu mwenyekiti kirahisi vile haikua bure, bali ilikua mipango mikakati ilopangwa kwa umakini mkubwa na makachero wa Chadema, ili kuhakikisha kwamba mwamba...
5 Reactions
108 Replies
3K Views
Kumbuka heshima aliyokuwa nayo Prof.Lipumba kipindi hicho CUF kikiwa Chama kikuu cha upinzani. Tazama heshima ya John Cheyo kipindi hicho akiwa ni moja ya wabunge wa upinzani wakihoji serikali...
2 Reactions
7 Replies
292 Views
Mwenyekiti wa CHAFEMA, Freeman Mbowe akiwasili tayari kuzungumza na wanachama waliojitokeza nyumbani kwake leo Desemba 18.2024.
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu, William Mungai mwenyekiti wa CHADEMA Iringa amempamba Mbowe na kukubujisha wahudhuriaki kwa machozi kuwa Mbowe ni role model kwa wengi. Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa...
0 Reactions
9 Replies
413 Views
Tunakumbushana tu Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe akihutubia mkutano wa BAWACHA pale Mlimani City aliahidi kustaafu rasmi 2023 na kwamba anatamani mrithi wake atoke BAWACHA Kadhalika mh Zitto...
7 Reactions
93 Replies
4K Views
Wanachama wa CHADEMA mkoani Iringa wamependekeza mchungaji Msigwa agombee uenyekiti wa CHADEMA 2023. Joseph Kibiki anasema CHADEMA Iringa na kanda ya Nyasa kwa ujumla watafanya kila...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Wakuu! CHADEMA ndiyo msingi mmoja wapo kwamba wanasiasa wakiteseka huko kwenye vyama vyao waje kwao waenjoy siasa safi? Ila hii game bado ni ngumu ngoja tuone nani atashinda! ==========...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Mtu wa mwisho kabisa Hapa Tanzania anayeweza kupokea Rushwa ni Tundu Lisu. Yaami Tundu Lisu na Rushwa ni kama Islam na kitumoto. Sasa kama mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema alikuwa ni wakala wa...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Ni mpambano wa Mbowe dhidi ya Lissu. WanaCHADEMA watagawanyika si muda mrefu.
3 Reactions
14 Replies
324 Views
Ni jambo la kusikitisha kwamba mahakama ya Mwanzo Ilala haina njia mbadala ya kufanya shughuli zanazotegemea umeme kuendelea kama kawaida pale umeme unapokatika. Kuna watu waliahidiwa kufuata...
2 Reactions
9 Replies
323 Views
Wakuu, Akizungumza kwenye moja ya hoja zale kwanini Mbowe aendelee kuwepo, Mwenyekiti wa CHADEMA Iringa amesema kuwa ilikuwa ni kidogo tu Mbowe anyongwe iwapo ile kesi yake ya ugaidi...
2 Reactions
9 Replies
418 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza kuachia uongozi wa chama mwaka 2023 Pia, amewataka viongozi wa chama hicho Kanda ya Magharibi kutodumazwa na changamoto zilizojitokeza katika...
9 Reactions
203 Replies
16K Views
Mbowe alishatangaza kustaafu nafasi ya Mwenyekiti ifikapo 2023 na alitamani sana nafasi yake irithiwe na Mwanamke toka Bawacha Tangazo hilo alilitoa katika mkutanio wa Bawacha pale Mlimani City...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Wore tunakumbuka kuwa Freeman Mbowe aliahidi kuachia nafasi ya mwenyekiti wa Chadema ifikapo 2023 Tena alisema anatamani nafasi take ichukuliwe na mjumbe wa Bawacha Ila kea hiki kikosi kazi...
2 Reactions
14 Replies
992 Views
Je, CHADEMA watu wenye hakuna uwezo wa kuwa wenyeviti? Mbona kina Mtei na Bob Makani walimuamini inamaana baada ya yeye hakuna mwingine mwenye uwezo? Ni kipi kinafanyika kwenye chama chetu...
10 Reactions
65 Replies
3K Views
Mambo yanazidi kunoga huko jamani. BAWACHA Pwani wamesema watatoa Tsh. Milionin1.5 kumchangia Mbowe achukue fomu ya kugombea uenyekiti CHADEMA sababu wanaamini kwenye uwezo wake. Pia soma...
0 Reactions
2 Replies
223 Views
Maaskfu kutoka Madhehebu mbalimbali ya Kikristo nchini wamekutana leo, Jumatano Desemba 18.2024 katika ukumbi wa Kurasini Conference and Training Center uliopo makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa...
3 Reactions
8 Replies
394 Views
Yericko Nyerere sasa hivi anamuunga mkono Mbowe. Familia ya Nyerere haimpingi Mbowe isipokuwa ni lazima wakati kama huu kusema kwamba tunafuatilia huo Uchaguzi wa Chadema kama wengine...
6 Reactions
24 Replies
848 Views
Mpo salama! Watu wenye ndimi mbili. Watu wenye mawe mawili ya kupimia ni watu Hatari Sana popote walipo. Ni watu wanafiki na muda wowote wanaweza kukuuza. Alipokuwepo Magufuli, Chawa wake...
41 Reactions
176 Replies
4K Views
Ikumbukwe mwaka 1985, Mwalimu Julius Nyerere aling'atuka madarakani huku bado wananchi wengi wakipenda aendelee kuongoza. Hali hiyo ilijiri wakati nchi ilipokuwa ikikumbwa na changamoto kubwa za...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
Back
Top Bottom