Wanabodi,
Makala yangu ya leo kwenye gazeti la Mwananchi.
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/katiba-ya-zanzibar-inavyokinzana-na-ya-jamhuri-ya-muungano-wa-tanzania-4853314
Kuna msemo wa...
Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru.
Rais mpole na msikivu
Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama...
Takwimu zinaonyesha na ukweli unadhihirisha kwamba vitendo vya kishoga nchini Tanganyika ni vichache kuliko ilivyo nchini Zanzibar, hadi kufikia hatua ya kukemewa na viongozi wa dini wanaokerwa na...
Mtaka yote kwa pupa, hukosa yote, na usiache mbachao kwa msala upitao.
Kwa mazingira yaliyopo mpaka sasa, na kwa namna ambavyo hana mpango mikakati wowote wa kushinda uchaguzi huo zaidi ya...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimekosoa kauli ya Dk. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria; na kusema chama hicho kiko imara na kitaendelea kuishauri Serikali, Bunge na Mahakama...
Laiti Chadema wangeruhusiwa na Serikali kufanya Mikutano basi ingekuwa ni ya kukashifiana na kuleta vurugu tu
Kama unabisha jaribu Kufuatilia mzozo wa Wafuasi wa Mbowe na Lisu yaani Chama kina...
Ni muhimu sana Mbowe atoke hadharani na aseme hata gombea vinginevyo mambo yatakuwa mengi mno ,madudu yote watanzania tutayajua, unavyozidi kuchelewa ndio siri nyingi za chadema tutazijua chini ya...
Kwa namna alivyouawa mzee Ali Kibao bila wahusika kujulikana, kutafutwa wala kuchuliwa hatua, ni mwendawazimu pekee anayeweza kujiamini mbele ya makatili na wauaji ambao wameshika kani chini ya...
Lissu aliwasilisha kwa Katibu Mkuu taarifa rasmi ya kuondoa kusudio la kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti tangu mwezi wa 8 lengo likiwa ni kuja kugombea uenyekiti.
Tarehe 10 Dec 2024 Mbowe na...
Ni lini Lissu amewahi kupendekeza kuweka ukomo kwenye uongozi wa chama cha chadema akakataliwa?
Kwanini anaisema katiba kwenye mkutano wa bayana/hadhara badala ya kutumia vikao vya chama?
Kama...
Ni suala la muda tu kabla ya Mzee Mbowe kuchukua form ili atetee nafasi yake ya uwenyekiti ambayo alibadilisha katiba ili awe mwenyekiti wa kudumu.
Tutegemee yafuatayo toka kwa huyu Mzee:
1...
Unaleta mchezo na Viete wewe? Ukija kusikia matamko njaa tena kutoka TLS uni tag.
--
Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imekabidhi gari jipya aina ya Land Cruiser Prado kwa Chama cha...
Kama wewe ni kiongozi katika chama cha siasa au taasisi yoyote kubwa na chini yako kuna wafanyakazi wengi kufikifi kuwa bila wewe kampuni au chama kitakufa basi wewe ndio utakuwa tatizo katika...
Naomba upendekeze memes unazodhani zinafaa kupeleka salamu kwa rahis wetu kistaarabu ili ajue nasi tuna akili mbali na mawazo yetu ambayo yanaweza kumsaidia kurekebisha au kuboresha mambo...
Japo wengi wanachukia kifo, kuna ukweli kuwa kifo ndiyo kitu pekee kinachotenda haki kuliko vingine. Mvua inaweza kunyesha lakini si dunia nzima. Kifo kipo kila mahali dunia nzima. Furahi ipo...
Wakuu
Jana kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu ambaye pia ni Mgombea Uenyekiti wa Chama hicho, alisema watu wasiojulikana wanapanga njama za...
Nimemsikililiza waziri Bashungwa alipokuwa anatoa maelekezo kuhusu vitambulisho vya NIDA.
Kwa bahati mbaya hawa mawaziri wetu hawajishughulishi sana kutafuta majibu ya kero halisi za wananchi wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwaka 2020 Lissu kwa kujazwa upepo na wafuasi wake kiduchu na wale waishio nje ya Nchi na kwa kudanganywa na waliokuwa wamempa makazi huko ulaya akajiona kuwa ana uwezo wa...
Msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa amesema sasa amechoka kusikia mauaji kwenye mikutano ya kisiasa ya CHADEMA na atatumia rungu lake kufutia usajili chama chochote kitakachoshindwa...
Tundu Lissu mwanasiasa machachari, mtata, mwenye msimamo usioyumba, asiyetishwa wala kubabaishwa na chochote, mtu mwenye ufahamu na maarifa mengi kwa sababu ya kusoma kwake kwingi, mtu asiye na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.