Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS katika Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika kwa mwaka 2024
Wanadai hana sifa ya kugombea...
Tamisemi imesema , kwa sasa hakutakuwa na kuhama kituo mara baada ya kuajiriwa..
Katika taarifa hiyo hawajaeleza kama sheria imebadirishwa kuzuia watumishi kuhama kutokana na ssbabu mbalimbali...
MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Kazi, Januari 6, 2025 inatarajia kuanza kusikiliza maombi ya waandishi wa habari Maregesi Paul na wenzake 9 wanaotaka Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dudley...
Bila kupiga chenga naingia kwenye mada na leo nazungumzia kujitambua kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA.
Mara kadhaa nimekuwa hapa JF nikiuponda upinzani khasa CHADEMA kwamba wapo kuisindikiza...
Wakuu,
Ila Muliro😂😂 hapa wameshindwa tu kumuita mchochezi na mzua taharuki, si ndio haya mapuuzo yalipekea mtu akafanyiwa assassination attempt? Hii statement imenishangaza kwakweli, leo ndio...
Polisi wa Tanzania wamerejesha gari la Alphonce Lusako, lililoporwa siku alipoteleza na kunusurika kutekwa.
Baada ya kumkosa Watekaji hao waliojiita Polisi waliamua kuondoka na gari lake...
definition ya wapambe /machawa ni watu wasiokuwa na tafakari, ni bendera fuata upepo. Hawana reasoning yoyote from higher mental faculties. Wanatumia matumbo yao kufikiri. Ni watu wa hovyo ambao...
Kwa kweli ukiangalia Jamii Furums, WhattsApp, Instagram, n.k. kati ya post 10 za siasa, 9 ni kuhusu CHADEMA. Ni kama vile CCM imeondoka kabisa kwenye ulingo wa siasa wa Tanzania, na hili jambo...
Niliwahi kuandika hapa juu ya kinachoendelea katika baraza la La Ardhi wilaya mwanza
Nina Mambo mengi ambayo nitayaongea huko mbele baada ya kesi kuhukumiwa. Na ushahidi wetu uko kwenye sauti na...
Mbali na mapungufu ya kibadamu, hawa wote wana uzalendo
Wote ni maradical
Wote ni wanachukia Rushwa
Wote wanachukia uzembe , uvivu
Wote wanamsimamamo mikali
Wote wanahulka ya kusema ukweli.
Wote...
Wakuu,
Hivi karibuni kulikuwa na video inayotembea mtandaoni ikiwaonesha wananchi wa Arusha wakimtembeza diwani wao kwenye dimbwi la maji machafu.
Akiongea hivi karibuni, Makonda amewapongeza...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Askari mmoja wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwananchi mmoja tukio ambalo lilitokea Novemba 26,2024 majira...
Hivi ni kwa nini CCM wanaumizwa na Lissu kuwa mwenyekiti?
Wanahofu na nini?
Ghafula wanaanza kuihurumia CHADEMA kuwa itakufa Lissu akiwa mwenyekiti, mara ooh hawezi...
Friends and Our Enemies,
Siku zote tumekuwa tunasema hapa kuwa shida kubwa cha CHADEMA na hususani mwenyekiti wa chama hiko ni kushindwa kuandaa succession plan ya chama chao.
Sisi hatuna shida...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara ambaye pia ni mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ameeleza hayo alipofanya mahojiano maalum na Clouds FM kupitia kipindi cha...
Wanatunishiana misuli
Msajili wa Vyama vya Siasa mstaafu, John Tendwa, amesema suala la ukomo wa uongozi lililoleta malumbano kati ya ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini wa sasa na Chama...
Askofu Mwamakula aliwahi kuonya kuwa siku akigundua kuwa ndani ya chadema kuna ufinyaji wa haki hatawatetea tena.
Sasa kwa hili la Tundu Lisu kuandamwa na wanachadema wenyewe baada ya kutangaza...
Akiwa Singida katika mikutano yake hivi Juzi, Mh. Tundu Lissu alidai tena kwamba, anawindwa na watu wasiojulikana kama ilivyokuwa kipindi cha miaka ya 2016, 2017 pindi akiwa mbunge wa Bunge la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.