Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwenye Somo la Chemistry tulisoma kitu kinaitwa Buffer na PH. Yaani kemikali ikiwa kali inabidi uizimue kwa kuweka chemikali nyingine inayoitwa Buffer ili kupunguza ukali wa kimiminika hicho...
3 Reactions
13 Replies
388 Views
Kumbe ni kweli umekuwapo mvutano mkubwa kati ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na Makamu wake Tundu Lissu. Lakini mvutano huo sio ugomvi kama mnavyo aminishwa na wapiga propaganda wa CCM...
12 Reactions
41 Replies
2K Views
Source Mtanzania. Msajiri wa vyama vya siasa nchini Tanzania bwana John Tendwa inadaiwa anakalia ofisi hiyo kimakosa huku mkataba wake wa ajira ukiwa umeshakwisha kwa maana hiyo anaendesha ofisi...
1 Reactions
74 Replies
8K Views
Leo katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV, mzee John Tendwa ambaye ni msajili (mlezi) wa vyama vya siasa nchini amekosoa harakati mbalimbali za kisiasa zinazoendeshwa na CHADEMA nchini...
5 Reactions
70 Replies
5K Views
Ninataka kujua mchango wa Chawa Yeriko Nyerere chadema Zaidi ya kukitumia chama kuuza vitabu fake ana mchango gani kwa chama?
7 Reactions
26 Replies
589 Views
Katika sehemu nyingi za dunia jamii zimekuwa zinawajenga au kuwatengeza wanaume kuwa viongozi kimfumo kwa kipindi chote cha maisha ya binadamu. Tukichukulia jamii zetu mtoto za sasa kwa mfano...
0 Reactions
0 Replies
123 Views
Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo. LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani...
7 Reactions
169 Replies
5K Views
Taarifa ya Chama cha ACT Wazalendo imeeleza "Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aghakhan, Dar es Salaam kutokana na kuumizwa kwa...
11 Reactions
109 Replies
6K Views
Kila siku nasema kuwa akili ni nywele. Ukiwa na akili timamu, utajua tatizo ulilonalo ni lipi na utaweka na kutekeleza mipango sahihi ya kulitatua hilo tatizo. Wenzetu Kenya waligundua wana...
1 Reactions
2 Replies
147 Views
CCM ni akili kubwa sana halafu wengi wanauliza kwanini huwa tunatoa Fomu Moja katikati ya Mihula ya Rais wa JMT Ni simple, huwezi kumpambanisha Amiri Jeshi mkuu na mwanachama mwingine yoyote...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Kumekua na mijadala miingi mitandaoni zikimtaka Mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Mbowe kuondoka madarakani kwa kisingizio cha kuwa amekaa mda mrefu na hata kusema hana jipya tena kukipeleka chama...
1 Reactions
2 Replies
158 Views
Asubuhi ya Leo nimewiwa kuwaachieni Neno hili Kutoka katika Injili kama alivyoandika Mathayo Mtakatifu mwenyewe akimnukuu Yesu Kristo alipowaketisha na kuwaambia " Nitampiga Mchungaji na kondoo wa...
1 Reactions
1 Replies
108 Views
Ndugu Yericko Nyerere , naona mrija wako upo hatarini kukatwa . Baada ya ujio wa Tundu Lissu ndo tujaua ukweli ikiwa kilimo cha Bamia kinalipa hadi mtu kujenga hekalu na maghorofa.
1 Reactions
1 Replies
140 Views
Chadema Imebakisha Mwezi mmoja tu kufa au kupona. Kumpa uenyekiti Tundu Lissu au kukiua chama chao.
3 Reactions
10 Replies
247 Views
Kanda ya Pwani-Boniphace Jackob atasimamia shughuli ya kumshona Lissu bila ganzi. Kanda ya Nyasa-Sugu, the bilionea, atamng'oa Lissu jino bila ganzi. Kwa kujipanga na wajumbe wake. Kaskazini...
2 Reactions
4 Replies
337 Views
Baada ya Lissu kutangaza nia yake ya kugombea Uenyekiti wa wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendelleo (CHADEMA), mitandaoni kulichafuka na kunaendelea kuchafuka kwa maoni ya watu fulani...
8 Reactions
30 Replies
944 Views
Amos Makalla amewataka CHADEMA wamalize migogoro ndani ya chama chao na wasiwahadae Watanzania kwa kuwasingizia TAMISEMI, na kuwalaumu Chama cha Mapinduzi (CCM) bali wajilaumu wao wenyewe...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Tutateka, kutekwa, na kutekana hadi lini Na Nkwazi Mhango Fyatu Mfyatuzi Japo kadhi hii inaonekana kuzoeleka kama siyo kukubalika, fyatu sikubaliani na jinai hii. Siku hizi, katika kaya yetu...
1 Reactions
3 Replies
356 Views
Naonakuna genge limejikita kusema Mbowe asigombee, huu ni upuuzi mkubwa sana kufanywa na wanachama wa chama kinajiita cha demokrasia. Katiba yao inamruhusu agombee, kwa nini Mbowe asiachwe...
1 Reactions
3 Replies
126 Views
Ukiangalia kwa jicho la ndani utaona kuna mawazo kinzani juu ya hili swala la utekaji. Serikali inasema hilo jambo halipo na watu wanajifanyisha tu maigizo ila utekaji haupo. Rejea kauli ya Rais...
1 Reactions
12 Replies
782 Views
Back
Top Bottom