Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Nilikuwa mmoja wa Watu nilioamini Makamanda wa Chadema Wana uwezo mkubwa hasa kutokana na Vikao vyetu na Halima Mdee alipokuwa mbunge wangu wa Kawe kadhalika Peter Msigwa alipokuwa mbunge wa...
0 Reactions
5 Replies
306 Views
Wananchi wa Mtaa wa Murieti, Kata ya Murieti, jijini Arusha wamefunga barabara ya kuelekea Intel kwa zaidi ya saa tatu siku ya Jumatatu Desemba 16, 2024, wakishinikiza serikali kutengeneza...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwahiyo hapo Chadema mmejaa Magubeli watupu mlioshindikana so hamtaki Damu Mpya Uongozini Nimecheka sana aiseee 🤣 hakika sumu haionjwi Ukurasani X
4 Reactions
50 Replies
842 Views
Habari za ndani ya kambi ya Lissu ni kwamba ameandaa orodha ya watu ambao yeye anawaita chawa wa Mwenyekiti, na kwamba amejiapiza kuwafuta kazi pale makao makuu. Tetesi zinasema sababu kubwa ni...
0 Reactions
2 Replies
258 Views
Katika miaka zaidi ya 15 sasa ya kuipenda na kuifuatilia Chadema, nimekuwa nikisikia na kusoma kuwa malengo yake makuu yamekuwa ni; Kushika Dola; Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Mh. Mbowe...
3 Reactions
9 Replies
283 Views
Wakuu, Siku ya leo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa ananguruma wakati anazungumza na vyombo vya habari Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea kwenye mkutano huo. Katika...
36 Reactions
348 Replies
18K Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amejibu tuhuma za Tundu Lissu, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama "Ikiwa kuna kiongozi yeyote au mtu yoyote kwa maana ya...
3 Reactions
60 Replies
3K Views
Video fupi Je, pia ni sababu kwa nini nchi nyingine zenye rasilimali ni masikini wa kutupwa ?
9 Reactions
88 Replies
3K Views
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda amesema isingekuwa katiba ipo “tight” kidogo, basi angetamani kuona Rais Magufuli akiongeza miaka mingine mitano baada ya muda wake kuisha. "Ni kwakuwa tu katiba...
19 Reactions
325 Replies
32K Views
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde Dkt. Steven Kimondo, ameeleza kusikitishwa kwake na mwenendo wa uchaguzi wa Serikali za mitaa, vitongoji na vijiji...
1 Reactions
1 Replies
145 Views
Wakuu Kwa hali inavyoendelea Sasa naona yanaenda kutokea Yale yaliyotokea katika uchaguzi wa mwenyekiti Kanda ya nyasa baada ya mchuano mkali wa hoja na msigwa kupigwa chini akajiunga chama dola...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amezungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam, leo Desemba 16, 2024. Akijibu swali kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kutoa tuhuma za...
2 Reactions
16 Replies
779 Views
LISU ATARUDISHA ITIKADI/IMANI YA WATU KWA CHADEMA. CHADEMA MPENI UENYEKITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watanzania ni watu ambao huwaamini kama wanaweza kuishi bila kuonewa. Bila...
29 Reactions
170 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu Wakuu kuna mambo mengine yanashangaza sana, kiasi ya kwamba sometimes mtu unajiuliza kwamba haya mambo yanayotokea huwa yanakuja tu yenyewe au kuna mtu/watu...
1 Reactions
3 Replies
416 Views
Kanuni ya maisha matendo huzingatiwa kuliko maneno ,mfano hai mkataza watu ulevi akiwa ni mlevi hakuna atakaye msikiliza wala kumuelewa. Kilipofikia chama cha CHADEMA makundi na uhalisia wa mambo...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Kuna habari nilizisikia zamani na sasa pia nazisikia kuwa wafugaji wa nguruwe wanawapa nguruwe wao ARV ili wanenepe.Naomba kufahamu hii haina madhara kwa mlaji?Ninyi wahusika mmewahi kufatilia...
0 Reactions
10 Replies
391 Views
Ukiangalia na kuchunguza kisa kizima cha kuzaliwa Yesu, unamshangaa yeye, mama yake, baba yake hata Mungu wake. Eti bikra alipata mimba kwa roho mtakatifu! Hii maana yake nini wakati tunaambiwa...
6 Reactions
84 Replies
2K Views
Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amepongeza jitihada za maendeleo zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Kwanza hongera Sana Mh Mbowe Pia hongera Kwa uongozi wako wa miaka 20 Kama mwenyekiti wa chadema na miaka 15 Kama Mbunge. Swala la wewe kuwa mwenyekiti wa hicho chama hautaweza na ukilazimisha...
7 Reactions
8 Replies
361 Views
Ukiona adui Yako anafwatilia mambo Yako ya ndani jua anakuogopa na pia ukiona anachochea migogoro dhidi Yako ujue uko IMARA kuliko yeye. CHADEMA hakuna MPASUKO kama wengi wanavyodhani hizo ni...
4 Reactions
17 Replies
577 Views
Back
Top Bottom