Sijajua baada ya Kauli hii ya Freeman Mbowe yule Yeriko Mengele, Boni Yai na Ntobi wataficha wapi Sura zao
Mbowe amesema Katika Kipindi chake Cha Uongozi kilichobaki atasimamia nidhamu Ili...
Naona Polisi lipo na kasi ya 5G kuwakamata watuhumiwa waliofanya makosa kwa viongozi wa CCM ila upande wa vyama vingine uchunguzi unachukua muda mrefu sana.
Kwani kuna siri gani kwenye chunguzi...
Imagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa...
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amejibu juu ya Mhe. Freeman Mbowe kama atachukua fomu ya Uenyekiti wa Chama hicho, wakati alipokuwa akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, ambapo...
Wakuu,
Najua mtakuja na motoo kuwashukia askari kuhusu utekaji na mazonge yao mengine, hayo tuyaweke pembeni, hayahusiki kwenye muktadha huu. Hata kama kati yao wapo washenzi (ashakum) naamini...
Kiukweli Moja ya jambo limenifurahisha ni hili la Rais kukubali Dira ya Taifa Kujadiliwa Bungeni na kuidhinishwa na Bunge Ili kuipa Nguvu ya kisheria na uhalali wa utekelezaji wake tofauti na Dira...
Ukimtizama tu usoni unamwona ni mtu ambaye hana akili au uelewa. Jamaa ameamua kuwa Chawa Pro Max. Huwezi ukawa mwana demokrasia ukazungumza haya na huku ulikuwa unapinga kusudio la waliokuwa...
Boniface Jacob Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani;
"CHADEMA ni Taasisi imara ambayo imejikamilisha, (mimi) CHADEMA ilivyokubwa mpaka naiogopa, nikiwa na jambo langu naenda kuongea kwa mke...
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa makala za mwandishi nguli wa mtandao wetu wa jamii forum hususani Jukwaa la Siasa kwa muda mrefu sana. Huyu si mwengine ni Guru la uandishi na ufatiliaji wa mambo...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amemwangukia Rais Samia na kumwomba aangalie Kwanini Utekaji ni kwa Wenyeji wa Mkoa wa Kilimanjaro tu?!
Lema ametuma Maombi yake Ukurasani X
KUWENI BARAKA, SIO KITUNGUU KUWATOA MACHOZI WENGINE - DKT. BITEKO
- Amwakilisha Rais Samia hafla ya kutabaruku kanisa SDA- Magomeni
-Ataka watu kutengenezeana furaha badala ya kuumizana
-...
Wanabodi
Niko hapa ukumbi wa JNCC nikikuletea Live Mkutano wa Wahariri wa Habari, Wahariri wa TEF na Wamiliki wa Vyombo vya Habari, kuihakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050...
Nitawastaafisha so called majaji na kuajiri judges kutoak nchi zilizobobea katika common law jurisprudence
Why?
1. Wa hapa wameshakuwa machawa wa CCM, they will never give a righfull judgment...
Kama umemsikiliza vizuri Mbowe utaelewa kuwa hata yeye ameshachoka kuendelea kuongoza Chadema
Mbowe anasema " huu ni wakati wa Chadema kushika Dola hivyo tuwe na nidhamu Ili tupate viongozi wa...
1. Nchi kuwa na ufalme haimaanishi kutokuwa na demokrasia.
Kuna kitu kinaitwa constitutional monarchy/ufalme wa katiba ambao unadhibitiwa na katiba huu unaweza kuwa utawala wa kidemokrasia kabisa...
Suzan Lyimo amekuwa Mbunge wa Viti Maalum Kwa Kipindi kirefu sana na Sasa ameipa Chadema Jimbo la Kinondoni Nyumba yake yenye Thamani ya tsh million 100
Boniface Jacob Meya wa zamani Ubungo...
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Frederick Sumaye ameeleza kusikitishwa kwake kwa Mbowe kumtelekeza Mgombea wake mara baada ya kuona Rais Dr John Pombe Magufuli anashinda kwa kishindo.
Sumaye amesema hayo...
Kama Fr Kitima ana hofu St Joseph Cathedral inaweza kuvunjwa kupisha Bandari basi Majengo mengi y Serikali kule Kivukoni Yako kwenye Hatari hiyo
Ashukuriwe Shujaa Magufuli kwa uamuzi sahihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.